Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,330
- 17,857
Heaven on earth kwani ulitumapo PM? LOLmmh Kaizer sa kwa nini hukutuweka wenzio wazi siku zoote hizo,
Last edited by a moderator:
Heaven on earth kwani ulitumapo PM? LOLmmh Kaizer sa kwa nini hukutuweka wenzio wazi siku zoote hizo,
heaven on earth kwani ulitumapo pm? Lol
mimisa yaani acha tu,hizi mbio za kuwania majimbo 2015 yataibuka mengi hum ndaniama kweli mapenzi kikohozi..
leo wamekohoa
mimisa yaani acha tu,hizi mbio za kuwania majimbo 2015 yataibuka mengi hum ndani
Mpenzi wangu Munkari hii ndio zawadi yako kutoka kwangu. Sio kwamba nakuonga ila nakupenda kwa dhati ya moyo wangu. Hii zawadi ni kukuonyesha ni jinsi gani nakupenda, nakupenda na nakupenda. Wewe ndie asali wa moyo wangu, mpenzi wa moyo wangu, barafu wa moyo wangu. Njoo utulie na mimi achana na maneno ya kinafiki ya jirani zetu hapa JF. Nakupenda kwa dhati mumie Munkari.....![]()
looh! Hadi cha kusema nimeshindwa!..aaa..aah..!
khe kwa hiyo hadi tutume pm mwee!!!!
sungura1980 kumuudhi wake yupi,wakati ndio huyo aliyemletea sapuraiziSema,''Asante,lakini samahani ninalo gari la kutembelea pia isitoshe sipokei zawadi,sitaki kumuudhi wangu''
mimisa yaani acha tu,hizi mbio za kuwania majimbo 2015 yataibuka mengi hum ndani
Heaven on earth ingekua jioni ama wikend ningedhani za brewwariz zimetumika..
but..asubuh tuuu
sweetie husikose cha kusema, ni mapenzi haya yaliyoko ndani ya moyo wangu
Munkari, unamfahamu sungura1980?looh! Ujue mwenzio had pressure next tyme ukitaka kunisurprise jaman uniambie utaniua mwenzio loh! Yani leo naomba nkutoe out tena uchague mwenyewe wapi wataka kwenda kuanzia lunch had dinner leo no kurudi nyumbani kila kitu juu yangu. waage kabisa jirani zako!
Kaizer nimeshasimama kuna kijana mmoja kule siasani nimeshamwambia mabam b anirekebishiiehahaahaha....mwenzenu Madame B ameshachagua fungu lililo jema.....simama uhesabiwe Heaven on earth