mimisa
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,511
- 1,441
ha ha ha ha ha ha
mpaka mnakohoa nje sasa
mpaka mnakohoa nje sasa
Chezeya 'morning glory" LOL
Chezeya 'morning glory" LOL
wivu tayari jamani. bebiiiiiii njoo pande hii na mie nataka kama hiyo,
Munkari, unamfahamu sungura1980?
tunaomba Munkari awe mkweli na muwazi wakati anajibu hili
Hapo chacha!!
JF bwana,mtu anaweza kukumwagia tindikali hivi hivi!!Sasa mimi mbona siulizwi?
Majibu: Hanifahamu
Chezea tindikali wewe??
Hapo chacha!!
JF bwana,mtu anaweza kukumwagia tindikali hivi hivi!!Sasa mimi mbona siulizwi?
Majibu: Hanifahamu
Chezea tindikali wewe??
si amekwambia uzee mwisho chalinze jamani, hujamuelewa au kiburi? after all ww unaaongea saa ngapi na bebi yako Munkari. kutwa kucha kuchunguza malavi navi yetu?
I wish ningekua miye.