Zawadi ya mpenzi wangu Munkari

Zawadi ya mpenzi wangu Munkari

si amekwambia uzee mwisho chalinze jamani, hujamuelewa au kiburi? after all ww unaaongea saa ngapi na bebi yako Munkari. kutwa kucha kuchunguza malavi navi yetu?

baby DEMBA nahisi Munkari atamuacha muda si mrefu... Mokoyo umesikia? Munkari hawezi kuvumilia mambo haya, masikio yapo kwetu, kwako umeacha miguu tu?
 
Last edited by a moderator:
wii yaani mara ya mwisho kaka ako kuniletea suprise sijui ilikuwa lini hakiyamama

hahahaaa.....wii mvumilie tu, kaka angu anamambo ya taratibu sana... Japokuwa inaboa mi mwenzio kila siku nafanyiwa surprise na my baby Arushaone.... Pole wii!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom