Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,834
- 155,782
buji, au unaitwa mbuzi na mdogo wako alikuwa hawezi kutamka anakuita bujibuji, saaafi sana mazee, lazima screen iwe safi. Good day...
thx yangu iko kleeeeeeeeeeeeeeea
asante mkuu...ila anasafisha katikati tu...na uchafu mwingi hujikusanya pembeni! Any solution to that...??!
avatar yako iko bomba ile mbaya yaani.