Habari zenu wana MMU. Dada yangu anaolewa weekend hii sasa nimeshindwa kumchagulia zawadi gani nimpatie inayomfaa ktk harusi yake. Naombeni ushauri wenu wana MMU ipi itakuwa bora zaidi kwake...?
Mtafutie kitanda kizuriHabari zenu wana MMU. Dada yangu anaolewa weekend hii sasa nimeshindwa kumchagulia zawadi gani nimpatie inayomfaa ktk harusi yake. Naombeni ushauri wenu wana MMU ipi itakuwa bora zaidi kwake...?
Mtafutie gas stove au microwave mume ale kwa wakati asisingizie umeme wala umekatika siwezi kupika
kuna tatizo?mmh !!
We umejuaje, labda ana twenty tu.