zawadi nzuri ya birthday kwa wadada

zawadi nzuri ya birthday kwa wadada

G-sting 3, nyeusi nyeupe na nyekundu
Nyeusi akisafiri
Nyeupe ukiwa naye
Nyekundu akiwa b.r.e.e...!
 
sapraiz ha with engagement ring..........atakupenda hatariiii
 
kesho ndo iyo imefika, ntawambia karespond vipi zawadi ntakazompelekea. Underwear imetajwa sana ivyo lazima nimpelekee.
 
Zawadi nzuri ambayo unatakiwa kuitanguliza kuwa wa kwanza ww kum-wsh her birthday,,afu tafuta chain nzur ya silver eh ila uongeze hela kduchu bhana then umpelekee!!
 
Back
Top Bottom