Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,486
ata kadi inafaa sana kaka
ni mwanakamati wa harusi au?
ata kadi inafaa sana kaka
hizo zote sio zawadi mlie sembe nenda kipige kidiga tu hukuna zawadi nzuri kama hii siku muhimu kama hii
Sio utoe zawadi mkikutana na mwenzio kapeleka i phone 5 we na vizawadi vyako vya 50 urudi kutulilia hapa.
Mnunulie Samsung Gallaxy S4 na MacBook Pro bila kusahau Envoque!!
Mkuu kasema ana sh. 50,000/-
Mkuu kasema ana sh. 50,000/-
mpe kazi kitandani ya ukweli tofauti na cku zingine atafurahi
Mnunulie gari
Sasa ana elfu 50 ndio anakuja kuomba ushauri humu kwa hiyo hela ya vocha? Dallas Wheels njoo umuone huyu ana 50,000 anataka ampe zawadi demu wake,je ampe zawadi gani?
ata kadi inafaa sana kaka
kesho ni birthday ya mchumba wangu, zawadi gani nzuri itamfaa? Msaada wenu wadau. Asanteni.