''''''zawadi kwa wadada wa hili jukwaa'''''''

''''''zawadi kwa wadada wa hili jukwaa'''''''

Halafu kuna watu wanasema eti kupakaa hina ni kujichafua mwili.....hina ina raha zake usiombe upakiwe hina ufukiziwe na udi chumbani wallah kutoki lol..
Cc Angel Nylon n mimi49...
Kabisa mpenzi...Napenda sana hinna ijapo sijawahi kupakwa kama bi harusi...nimeambiwa mpaka niolewe :becky::becky::becky:...nikichorwa nilipokuwa mtoto tu!!!
 
Kabisa mpenzi...Napenda sana hinna ijapo sijawahi kupakwa kama bi harusi...nimeambiwa mpaka niolewe :becky::becky::becky:...nikichorwa nilipokuwa mtoto tu!!!

Hahahahahahaha siku ukiolewa tutakupaka nzuri tu na utapendezaaa.....Cc watu8
 
Last edited by a moderator:
Hivi ni kwanini tunakatazwa farkhina?nakumbuka hata make up nikiambiwa hakuna kujipaka sana hutopendeza siku ya harusi???😕😕😕😕😕

No ni mila zetu tunakatazwa tusijipambe watoto wari na wasikua na waume sio vizuri...mie before kuolewa wanja nlikua napaka eid hadi eid lol....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom