''''''zawadi kwa wadada wa hili jukwaa'''''''

''''''zawadi kwa wadada wa hili jukwaa'''''''

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
941178_442482945845307_2092604542_n.jpg
 
Zawadi! mbona sielewi elewi hapa? Unataka tuone jinsi ya kuvaa viatu visivyokutosha? inaonekana hivi vilinunuliwa na mawifi vivaliwe siku ya harusi... yote hii ni kumdhalilisha bibi harusi
 
Nilidhan ni zawadi kwa wanaume wa jf
 
Zawadi!
mbona sielewi elewi hapa? Unataka tuone jinsi ya kuvaa viatu
visivyokutosha? inaonekana hivi vilinunuliwa na mawifi vivaliwe siku ya
harusi... yote hii ni kumdhalilisha bibi harusi

Umewaza mbali!!
Amechorwa vizuri ila hicho kiatu jamani!
 
Sina matatizo ya macho ila kuna vitu ukivitazama kwa makini unaweza usiamini macho yako ndo maana nikaona macho yanawasha kwa namna Fulani maana mhhh kuna mvuto sio wa kawaida
kwani unamatatizo ya macho mkuu unapoona miguu yenye michoro
 
Sina matatizo ya macho ila kuna vitu ukivitazama kwa makini unaweza usiamini macho yako ndo maana nikaona macho yanawasha kwa namna Fulani maana mhhh kuna mvuto sio wa kawaida

Halafu kuna watu wanasema eti kupakaa hina ni kujichafua mwili.....hina ina raha zake usiombe upakiwe hina ufukiziwe na udi chumbani wallah kutoki lol..
Cc Angel Nylon n mimi49...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom