Zawadi Kwa Mwafrika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zawadi Kwa Mwafrika

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Masanilo, Oct 8, 2010.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Wikiendi hii namzawadia Mwafrika mambo ya Chama

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 145
  ndo maana fangas hawaishi
   
 5. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,902
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  du! huyu ni ndugu na salma?
   
 6. MKANDYA

  MKANDYA Senior Member

  #6
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani mbona huo mkutano umejaa watoto!
   
 7. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,279
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Aiseeee, wewe ni mkali.

  Sikuwa nimelitilia maanani hilo. Kumbe ni mambo ya Bongo flava!!!
   
 8. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,729
  Likes Received: 687
  Trophy Points: 280
  . Kwa nini, bkoz of green+yellow?!,Fafanua tafadhari.
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Hiyo ni Kampeni ya Shuka kwa shuka hiyoooo hahahahahaha
   
 10. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  1. Kavaa mkufu kwenye mguu wa kulia tu, humaanisha nini?
  2. Mbona mtumbizaji mwingine ni shemeji? Au ndio chama?
  3. Mkutano umejaa watoto? Nao wamejiandikisha?
   
 11. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 333
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Tafadhari sana wengine tuna areji na rangi za kijani na njano kwa kpindi hiki cha kuitengeneza Tz mpya!
  So its beta ukafind the altenative colour ya kupresent ua feeling
  Arooooooooooooooooo!!!! si huo ukoo atupatani, yan aziivi!! Si ni watu wa Mara, kaka yetu ni Zitto na Dingi yetu ni SLAA!!
  Umepootea!! km vp uztoe izo pics.
   
 12. Azadirachta

  Azadirachta Senior Member

  #12
  Oct 11, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo ya kikuku hayo mguuni hivi hujui maana yake? Biashara ni matangazo
   
 13. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,038
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  ndiyo maana jamaa anahutubia dk saba tu siku hizi kwani wahudhuriaji wake ni watoto, hana cha kudanganya kwani anajua watz wameshamchoka na pia afya yake mgogoro akizidisha hizo saba akiwa amesimama lazima aanguke.
   
 14. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,981
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Vicky kapendeza sana.
   
 15. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,339
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ni kweli kapendeza,sasa na hiyo cheni mguuni ina maana nae yupo katika ile jamii inayotwangwa kotekote au?????
   
 16. Azadirachta

  Azadirachta Senior Member

  #16
  Oct 11, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana sana si unajua siasa za bongo lazima ukubali hata haramu!
   
 17. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,622
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Acha wivu basi,... mpe sifa zake achana na lakini....
   
 18. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 740
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Unweza kuta anafanya hivyo kwa kuto kujua ni nini maana yake!?
   
Loading...