Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
daaah!!sisy we acha mi leo ndio najifunza kitu
sio bure ndoa nyingi siku hzi zinageuka ulingo wa ngumi!!
huko kwny maukumbi zawadi zifunguliwe palepale ili
wenye chuki zao waumbuke!!
Sio wachagga mkuu, ila naomba nisiseme kabila make naogopa kunyofolewa sehemu zangu!!