HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,702
- 48,146
Mwili unanisisimka hapahizi zawadi hizi
kuna mdada alipewa zawadi ikiwa imefungwa kwenye box zuri kabisa
alivoenda kufungua akakuta pedi zilizotumika..na yai
Mwili unanisisimka hapahizi zawadi hizi
kuna mdada alipewa zawadi ikiwa imefungwa kwenye box zuri kabisa
alivoenda kufungua akakuta pedi zilizotumika..na yai
Kwetu hata idadi ya fedha za rambi rambi hazitangazwi hadharani ili usiku wafiwa wasivamiwe. Sembuse zawadi za harusi=)mimi nashauri M-PESA,TIGO PESA,cheque au TT zitumike basi
Mwili unanisisimka hapa
Kuna harusi wanawapangia watu zawadi
Kweli mkuu... Kuna sendoff moja ilifanyika majuzi basi wakawaambia wageni waalikwa kuwa zawadi ni pesa tu. ....

kwetu hata idadi ya fedha za rambi rambi hazitangazwi hadharani ili usiku wafiwa wasivamiwe. Sembuse zawadi za harusi=)
Bora sisi Wachagga zawadi zetu unapewa full mjengo na mzazi/wazazi...siku ya harusi unakabidhiwa hati ya nyumba kwa mbwembwe nyingi...
Ninyi mnaosubiria zile za kwenye maboksi subirini kutiliwa unga wa kimeta huko...
hao nadhani walikuwa wachaga tu
Duuh.. swala la zawadi ni kumuomba Mungu saaanaa. .. kuna dada alinishuhudia alipewa box zuri lililofungwa kwa gift paper siku analifungua anakuta panya aliyekufa baada ya hapo kila akibeba mimba mtoto hufia tumboni..
kila mtu na imani yake ila kwa waaminio KUZIPONYA na KUZITAKASA kabla ya kuzitumia wafanye hivyo,