Zawadi ipo kwa ataeweza hili swali

Zawadi ipo kwa ataeweza hili swali

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Naamini hili jukwaa wengi mnajua kucheza na namba, Zawadi ya kifurushi cha 1 gb mtandao wowote ipo kwa ataeweza hili swali na kuelekeza njia aliyotumia, ukiweza weka namba au nifate p.m unipe namba nikuunge 1 G.B mtandao wowote.

UPDATES: HADI SASA HAKUNA ALIYEWEZA, CHANGAMKIA FURSA

swali.png
 
sitaki kuamini kwamba hili swali linawapasua vichwa hadi wana wa tech
 
Nimejifunza kitu kutokana na wachangiaji hawa wachache [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hapo X ipo kwenye nafasi ya numerator pamoja na denominator.....

Nimeijaza kwenye calculator ikareply can't solved
 
Ngoja nigoogle kwa maana wengine hesabu tulipata mswaki
 
Naamini hili jukwaa la tech wengi mnajua kucheza na namba, Zawadi ya kifurushi cha 1 gb mtandao wowote ipo kwa ataeweza hili swali na kuelekeza njia aliyotumia, ukiweza weka namba au nifate p.m unipe namba nikuunge 1 G.B mtandao wowote.
View attachment 592794
Huwezi pata thaman ya X kwenye hilo swali labda ungesema tu solve tupate mlinganyo wenye degree kumi na zaidi hata calculator za hii nchi zina solve mwisho degree nne[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,ok wale wanao kumbuka advance algebra yale ma paschal triangle wajaribu maana expansion za hapo sio za kawaida
 
Ni kweli kwsabbu kuna unknown 2 x and c so utakachopta ni mlinganyo na sio thamn ya x
 
Back
Top Bottom