Zawadi ipo kwa ataeweza hili swali

Zawadi ipo kwa ataeweza hili swali

Mkuu wakati najaribu kuiandika upya ili ionekane fresh nikagundua kuna step nilichanganya sign so imefanya upya
IMG_20170922_084106_1.jpg
 
Watu wajanja wanajifanya wameweza lusolve swali kumbe kuna website unapachika swali then inasolve wa sekunde mbili. Nimeamua nisikopi maana njia ni ndefu kweli.
 
duuuh.inawezekana hata wewe hujui jibu lake so unataka njia ili ujue au unamsaidia dgo lako kakupa swali umekosa jibu
 
Naamini hili jukwaa la tech wengi mnajua kucheza na namba, Zawadi ya kifurushi cha 1 gb mtandao wowote ipo kwa ataeweza hili swali na kuelekeza njia aliyotumia, ukiweza weka namba au nifate p.m unipe namba nikuunge 1 G.B mtandao wowote.

UPDATES: HADI SASA HAKUNA ALIYEWEZA, CHANGAMKIA FURSA

View attachment 592794
X=0
Hahah kwa maswali nilokuwa nasolve hilo cha mtoto kabisa!
 
Enzi zile niko sekondary na chuo kiswali kama hiki kilikuwa rahisi sana, lakini kwa sasa kagumu
 
Nimejifunza kitu kutokana na wachangiaji hawa wachache [emoji1] [emoji1] [emoji1]
bila shaka umejifunza kuwa hatuna shida na hiyo 1GB maana tunaweza kujinunulia wenyewe.
 
X gan hiyo naona ipo moja ila Umeian dika maratath
 
Naamini hili jukwaa wengi mnajua kucheza na namba, Zawadi ya kifurushi cha 1 gb mtandao wowote ipo kwa ataeweza hili swali na kuelekeza njia aliyotumia, ukiweza weka namba au nifate p.m unipe namba nikuunge 1 G.B mtandao wowote.

UPDATES: HADI SASA HAKUNA ALIYEWEZA, CHANGAMKIA FURSA

View attachment 592794
Hiyo upande wa pili wa swali (kulia kwa upande wetu) ni zero ?
 
Sasa hapo Y imetoka wapi tena? kwenye swali kuna x tu. Duuu Shikamoo hesabu
Amna haijatokea from no where but nili-let y ili ini assist kupata x but Mbele unakuja kugundua huwez kupata y kumbe hata iyo x huwezi kuipata pia labda tu unaweza ku-substute y with the value we let above there
 
Back
Top Bottom