Zawadi ipo kwa ataeweza hili swali

Zawadi ipo kwa ataeweza hili swali

Acha upunguani hawa jamaa hawalipi atazifike dola 1000 huwezi kuzidraw ever, faida utakayopata ni kutumiwa scam mails maana umewapa email yako na kama unatumia PC wakuhack kbsa.
Umeshawahi kujaribuu
 
Naamini hili jukwaa wengi mnajua kucheza na namba, Zawadi ya kifurushi cha 1 gb mtandao wowote ipo kwa ataeweza hili swali na kuelekeza njia aliyotumia, ukiweza weka namba au nifate p.m unipe namba nikuunge 1 G.B mtandao wowote.

UPDATES: HADI SASA HAKUNA ALIYEWEZA, CHANGAMKIA FURSA

View attachment 592794
ina maaana x huion hapo hadi tuotafute si inaonekana
 
Back
Top Bottom