Shule si biashara?? Vyuo vitano unakuwaje masikini...Kuna mali zingine zaidi ya shule? Yaani biashara ?
KING LAWRENCE NI NDUGU YA IVAN NI RAFIKI TUKamati ya watu 4 yachaguliwa kusimamia mali za marehemu Ivan Ssemwanga mpaka watoto wake watakapofikisha miaka 18.
Zari Hassan ndiye msimamizi mkuu ambaye ametakiwa kusimamia shule za Ivan zilizoko Afrika Kusini kikiwemo chuo cha Brooklyn na pia nyumba mbili za Ivan zilizoko Sandton na Pretoria. Pia ametakiwa aishi na watoto wake wote kwenye nyumba moja na nyingine ipangishwe.
Wengine waliochaguliwa ni;
- Ritah Ssemwanga(Dada wa Ivan)
- George Ssemwanga ambae ni kaka mkubwa wa Ivan
- Lawrence Muyanja(Maarufu kama King Lawrence)
Cousin wake...KING LAWRENCE NI NDUGU YA IVAN NI RAFIKI TU
Itabidi mtoto wetu afyatue mmoja equation iwe balanced. Kikemikali italeta shidanimependa hapo kuwa anapaswa kuishi na watoto kwenye nyumba moja wapo ya marehemu hapo SA.
Itabidi mtoto wetu afyatue mmoja equation iwe balanced. Kikemikali italeta shida
Mondiiiii anawakilishwa na Zari kwa kuwa tayari wamekuwa mwili mmojamondiiiiii je?