Wanaharakati wa zanzibar wamefikia hatua hiyo baada ya kuona hawaridhiki na matendo ya Muungano na hatimaye kuwasilisha uhitaji wao wa kujitenga UN.
Mytake: Kama muungano ukivunjika si hamna CCM au? ila ngojea tuwaze plan B
source BBC
mi naona tutalakiane tu, ndoa gani hiyo kila siku mke kutishia kurudi kwao. Hebu na wajitenge haraka tuangalie mambo ya tanganyika yet. Kesho wataanza kutengana tena wao kwa wao kama mwlm alivyosema."sisi waunguja wao wapemba"
hoto:ubinafsi mtupu!
Wajiandae kuturudishia viwanja vyetu wanavyoishi haswa kule ilala bungoni na kigambonioa
Wacha wajitenge,nasi tubaki na utanganyika wetu.