Zanzibar wapeleka barua UN kuvunja Muungano

Wanaharakati wa zanzibar wamefikia hatua hiyo baada ya kuona hawaridhiki na matendo ya Muungano na hatimaye kuwasilisha uhitaji wao wa kujitenga UN.

Mytake: Kama muungano ukivunjika si hamna CCM au? ila ngojea tuwaze plan B

source BBC

Na ukivunjika Sababu ni ccm . Wao wameufanya muungano ni wao na bila ya wao hakuna muungano. Ndio maana wazanzibari wameikataa ccm znz lakini wakapeleka majeshi kutawala kwa nguvu. Hivyo tatizo kubwa la muungano ni ubinafsi wa ccm.
Wanayo haki ya kwenda UN kwani hakuna haki tena
 
Kosa kubwa walilolifanya baazi ya viongozi wa znz ni kukubali kuungana na waafrika' hawa watu wengi wao hawanaakili kabisa kuungana nao ni kujirudisha nyuma zaidi ya miaka mia.Hata ukisikiliza hoja za hao wanaojiita wasomi waafrika wanaotetea muungano bac utagundua hazina mashiko ni za hovyo kabisa za aibu.
 
Wanaharakati wa zanzibar wamefikia hatua hiyo baada ya kuona hawaridhiki na matendo ya Muungano na hatimaye kuwasilisha uhitaji wao wa kujitenga UN.

Mytake: Kama muungano ukivunjika si hamna CCM au? ila ngojea tuwaze plan B

source BBC
Muungano unavunjwa na UN au Watanzania? akili za madafu hizi wakati mwingine ni shida
 
Dhambi ya ubaguzi aliyosema Julius hiyoooo, sasa hivi watagundua kwamba hakuna wazanzibari, maana si alisema ni kama kula nyama ya mtu, ukiionja huachi.... mmh babu nae alijuaje haya mambo ya nyama za watu lakini!!!!!!!!!!!!!!!!?

Kuto kuridhika na yanayotendeka siyo ubaguzi.
Wajitenge. Waendelee na maisha yao.
 
Mi nakuambia wakifanikiwa kuna nusu ya Wazanzibar watahamia Bara...
watakao hamia bara ni wazanzibara tu sio wazanzibari,na wazanzibari watahama bara warudi zanzibar,hii sehemu sisi inatuuma sana tuna uhusiano nayo wa moja kwa moja, sisi tuna mali zetu huko bara,nyumba,maduka lakini tukiachana basi tutaviacha na tunasamehe kila kitu.
 
Muungano unavunjwa na UN au Watanzania? akili za madafu hizi wakati mwingine ni shida

Un watavunja kama upande mmoja unashikilia kwa nguvu na upande mwengine hautaki. UN unaweza kulazimisha kura ya maoni...
Imefanyika east timor kujitoa indonesia , juba kujitoa sudan
Hapa tanganyika ni tembo dhidiya sisimizi znz. Hivyo UN ni wazi kabisa inaweza kuamua. Kumbukuka hii ni united republic ya nchi 2 . Hivyo ili kutambuliwa hivyo mkataba wake upo UN
 
Wanaharakati wa zanzibar wamefikia hatua hiyo baada ya kuona hawaridhiki na matendo ya Muungano na hatimaye kuwasilisha uhitaji wao wa kujitenga UN.

Mytake: Kama muungano ukivunjika si hamna CCM au? ila ngojea tuwaze plan B

source BBC
Maalim na mshabiki wake wanatapatapa !
 
Dhambi ya ubaguzi aliyosema Julius hiyoooo, sasa hivi watagundua kwamba hakuna wazanzibari, maana si alisema ni kama kula nyama ya mtu, ukiionja huachi.... mmh babu nae alijuaje haya mambo ya nyama za watu lakini!!!!!!!!!!!!!!!!?
tusiruhu jamhuri ya pemba wala jamhuri ya unguja. itatuletea balaa. hawa ni wetu tayari tumewakaribisha kuishi tanganyika kibao na vyeo tunawapa hadi uwaziri. yote kuwanusuru wasichinjane.
 
Afrika tutaendelea kuwa wajinga na wapumbavu siku zote..
ifike wakati waafrija tupigane vita ya sisi kuungana na siyo vita ya sisi kutengana.
full stop.
 
tusiruhu jamhuri ya pemba wala jamhuri ya unguja. itatuletea balaa. hawa ni wetu tayari tumewakaribisha kuishi tanganyika kibao na vyeo tunawapa hadi uwaziri. yote kuwanusuru wasichinjane.
Mkuu hayi ni yale ya yule mheshimiwa alipokuwa Kanisani au ni yako yanafanana tuu ?
 
Afrika tutaendelea kuwa wajinga na wapumbavu siku zote..
ifike wakati waafrija tupigane vita ya sisi kuungana na siyo vita ya sisi kutengana.
full stop.
Kumbuka maneno ya Abeid Karume, "Muungano ni kama koti likikubana utalivua" yaani alimaanisha ikiwa upanfe mmoja wa Muungano unaona hautendewi haki basi hauna budi kujiondoa, sasa yanini uulazimishe kama ndoa ya kanisa pale awali?

Bahati nzuri hata katika upande wa kiimani mtu ukiona mmoja kati yenu wanandoa huridhiki na matrndo au mambo yake basi unaruhusiwa kuomba kujiondoa na ikishindikana kwa ombi ndipo tumia njia nyingine.

Kwanini upande huu ulazimishe kwa maslahi ya wachache wa Wazanzibari ambao wananufaika kwa unafiki wao na kushibisha matumbo na familia zao ?
 
Back
Top Bottom