Zanzibar wapeleka barua UN kuvunja Muungano

mmemkwa

Member
Nov 9, 2011
54
11
Wanaharakati wa zanzibar wamefikia hatua hiyo baada ya kuona hawaridhiki na matendo ya Muungano na hatimaye kuwasilisha uhitaji wao wa kujitenga UN.

Mytake: Kama muungano ukivunjika si hamna CCM au? ila ngojea tuwaze plan B

source BBC
 
Kwa wale wafuatiliaji wa mambo ya muungano tangu zamani, mtakumbuka kuwa ilishaelezwa kwamba watakaouvunja muungano huu ni wazanzibar wenyewe kutokana na ulevi tu wa viongozi wao.
 
Wanaharakati wa zanzibar wamefikia hatua hiyo baada ya kuona hawaridhiki na matendo ya Muungano na hatimaye kuwasilisha uhitaji wao wa kujitenga UN.

Mytake: Kama muungano ukivunjika si hamna CCM au? ila ngojea tuwaze plan B

source BBC

Ni wavuta bange :bange: watatu, wanaojiita wana harakati
 
mi naona tutalakiane tu, ndoa gani hiyo kila siku mke kutishia kurudi kwao. Hebu na wajitenge haraka tuangalie mambo ya tanganyika yet. Kesho wataanza kutengana tena wao kwa wao kama mwlm alivyosema."sisi waunguja wao wapemba"
 
Kwa mtanzania wa kawaida hili halimnyimi usingizi. Labda kwa Jk na lichama lake ambao wanapata masilahi ya kuabudiwa wanapokwenda zanzibar
 
Siku zote niliishasema mimi nitabaki kuwa mtanganyika na si Mtanzania. wacha waondoke bwana kwanza hakuna wanaloingiza kwetu......
 
:photo:UBINAFSI MTUPU!

WAJIANDAE KUTURUDISHIA VIWANJA VYETU WANAVYOISHI HASWA KULE ILALA BUNGONI NA KIGAMBONI:poa
 
mi naona tutalakiane tu, ndoa gani hiyo kila siku mke kutishia kurudi kwao. Hebu na wajitenge haraka tuangalie mambo ya tanganyika yet. Kesho wataanza kutengana tena wao kwa wao kama mwlm alivyosema."sisi waunguja wao wapemba"

hayo ya kujitenga wao huko kwao ni yao kwani sisi yanatuhusu nini si tujenge tanganyika yetu tu
 
CUF wapo serikalini na wao kipaumbele katika mwongozo wao wa chama chao nikuvunja muungano hiki nilikitegemea na CCM ya zanzibar isha kuwa CUF!!CCM ya Dr Salimin Amour imetolewa kwenye system waliopo ni wazanzibar bila kujali itikadi.
 
:photo:ubinafsi mtupu!

Wajiandae kuturudishia viwanja vyetu wanavyoishi haswa kule ilala bungoni na kigamboni:poa

kwani zinazotengana ni watu au serikali??? Mbona kenya na uganda hata kule uingereza kuna watanganyika na wazanzibari wenye viwanja maduka mashamba hata watoto na maisha yanaenda hamna chuki yoyote ????wewe unaishi ulimwengu gani ??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom