Zanzibar 2020 Zanzibar: Waliouawa wafikia 10 - (October 27, 2020 Update)

Unajifanya mjuaji huku hujui kuwa risasi inamissfire. Huyu ameonesha risasi ya moto iliyomissfire na kuwa ejected ili kuwaonesha wapuuzi kama wewe kwamba zinazotumika ni risasi za moto.
Ganda la live amunition na blanks zinajulikana kabisa kwa upasukaji wake
 
Watu wanakuja juu na kupinga sijui risasi haijatumika

Hii ni lugha ya picha na si kwamba hiyo risasi ni ya eneo la tukio ,bt kuashiria risasi za moto zimetumika

Sawa na habari ya mtoto amebakwa haimaanishi ataonesha sura au sehemu za siri zilizobakwa
 
ALERT : Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)

Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.

Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9

#ZanzibarLivesMatter


Brainwashing ni kitu cha ajabu sana. Inashangaza kuona mtu mzima anakuwa tayari kufa kwa ajili ya maslahi binafsi ya mtu fulani. Mwaka 2001, Maalim Seif alihamasisha riots. Alipopewa maslahi yake binafsi, akawaambia wafuasi wake watulie. Hakika hiyo ni selfishness ya ajabu sana! Siwezi kutoa kafara watu wengine kwa maslahi yangu binafsi.

Usipoweza kwenda Ikulu kwa njia ya ballot box, kubali yaishe, kwa sababu huo ndiyo utaratibu wa kikatiba. Huwezi kulazimisha matokeo yawe ya ushindi kwako, kwa sababu huo hautakuwa uchaguzi tena!
 
Mahakama zinamuogopa Magufuli Polisi wanamuogopa Magufuli Wanajeshi wanamuogopa Magufuli sasa sisi wananchi tukimbilie wapi wakati anatuua?

Je, tukiingia Msituni na kuanza harakati nani wa kulaumiwa?
Siuende
 
Wapemba ni Mabingwa wa kubuni uongo ila kwa bahati ni waoga.
Hakuna alieuwawa, uongo unatengenezwa kwa uweledi.
Jiulize usikuu huo wanampiga ndani mabomu,au kina vita? musiwe wajinga mpaka ukawapofua, wananchi wameuliwa tena wakiwa kwenye shughuli zao za kawaida, halafu munasema ni uongo,muongo ni huyo jiwe wenu na chama chake,miaka 50 kazi yenu kupanga na kusema uongo mukdhani kila MTU ni muongo.
Hao majeshi walopelekwa huko ni wasenge wanalo jua kuonesha makeke kwa raia walio tulia,badala ya kupigana na wanaume wa kweli. Juzi tu si mulituambia kumeingia magaidi,kwa vile majeshi ni wasenge wakakimbia wakaacha vifaru,cos baradhuli hawezi pigana na mwanamme,ubabe wake wote ni kumuonea alie dhaifu.
 

Attachments

  • VID-20201027-WA0007.mp4
    6.7 MB
Propaganda za kijinga, na ni uchochezi!

Kwa waliopitia jeshini hata mgambo wanafahamu kabisa kuwa unachokionyesha kwenye picha ni risasi nzima ambayo haijatumika!

Sasa anayedaiwa kuuawa kwa risasi hiyo alivurumishiwa kwa manati?
Utaacha lini ujinga,kwani amekuambia risasi iliyopo pichani ndio imefanya mauaji
 
Mahakama zinamuogopa Magufuli Polisi wanamuogopa Magufuli Wanajeshi wanamuogopa Magufuli sasa sisi wananchi tukimbilie wapi wakati anatuua?

Je, tukiingia Msituni na kuanza harakati nani wa kulaumiwa?
ww umekufa sio
 
Back
Top Bottom