Zanzibar 2020 Zanzibar: Waliouawa wafikia 10 - (October 27, 2020 Update)

Nimegundua wadanganyika mnapenda sana siasa na kudanganyana. Hii mihemko ingekua mnaileta kwenye kujiletea maendeleo kwenye uchumi wa viwanda tungefika mbali sana. Yaani aidia ya dona kantri ya mkulu ingekua reality ndani ya miezi 6!
Walikuwa jela kwa miaka mitano..
 
Hao waliopigwa risasi wapo wapi?
Una uhakika gani kama hiyo risasi ni kutoka kwa askari? tutakuwa na uthibitisho upi kuwa hiyo sio siraha yake mwenyewe,au ametumia picha isiyohusiana na tukio lenyewe kuketa taharuki?tumia akili.
Usiache kwenda kupiga kura,rudi nyumbani baada ya kupiga kura.
Umejitoa ufahamu vyema kabisa kwa nini nikalale bana ?
 
ALERT : Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)

Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.

Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9

#ZanzibarLivesMatter
View attachment 1614174
Type source ya habari hizo na nani amethibitisha
Taarifa nyeti na muhimu hivi haionyeshi nani kausema nani, nani shuhuda nani kahojiwa, hakuna picha wala clip
Please stop this nonsense.
Kama habari halo ni credible tuletee taarifa ya Polisi, au Daktari, Vyombo rasmi vya Habari au mahojiiano na ndugu au mashuhuda sio kuleta taharuki humu JF bila vielelezo
Acheni UJINGA huo..
Tunaumizwa sote
 
Tuambieni sababu ya wao kupigwa risasi na polisi. Kwanini wauawe wao pekee na si wengine? Kuna jambo lipo nyuma yao
 
Hii damu inayomwagwa hii...
Uongozi ni kutangulia mbele wakufuate, Sasa kwanini viongozi wenu wa Chadema na ACT ni kama kunguru hawawezi kutangulia wao bali kuwatanguliza watu tu. Msioitii sheria bila shurti, damu za watu zitakuwa juu yenu kina Mbowe na genge lake.
 
ALERT : Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)

Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.

Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9
Taarifa za mtu kuuawa zinatolewa polisi na kuthibitishwa na daktari. Vinginevyo ni uhuni.
 
Ndiomana tunazimiwa mitandao kwa upumbaf kama huu,mambo mazito kama hayo huwezi kuyaleta kienyeji namna hiyo.

Kuna watu hawatokwenda kupiga kura sababu ya kutiwa hofu, kwa ujinga kama huu.

Thibitisha hizi taarifa zako,otherwise stop this nonsense.
Vyombo vya habari vya ndani haviripoti taarifa za mauwaji.
 
Uongozi ni kutangulia mbele wakufuate, Sasa kwanini viongozi wenu wa Chadema na ACT ni kama kunguru hawawezi kutangulia wao bali kuwatanguliza watu tu. Msioitii sheria bila shurti, damu za watu zitakuwa juu yenu kina Mbowe na genge lake.
Ni kweli kabisaa, mie huwa najiuliza ni kwanini NYERERE kile kipindi cha vita ya IDD AMINI hakutangulia mbele yeye ili kumkabili adui badala yake akatanguliza watoto wa watu wengine!!!.Ni kwanini NYERERE alikuwa Kunguru hakuweza kutangulia??.
 
Unajifanya mjuaji huku hujui kuwa risasi inamissfire. Huyu ameonesha risasi ya moto iliyomissfire na kuwa ejected ili kuwaonesha wapuuzi kama wewe kwamba zinazotumika ni risasi za moto.
Kama aliweza kuokota risasi iliyo misfire akipiga picha alishwa nini kumpiga picha aliepigwa risasi?
 
Back
Top Bottom