Zanzibar uchafu ni utamaduni?

Punde ukifika Zanzibar Kwa njia ya Ndege au boti utakutana na uchafu usiomithilika (kuanzia Bandarini Hadi Mjini). Unabaki kujiuliza je huu utamaduni Ni Jambo la kawaida kisiwani au ni nini? Tatizo Ni nn haswa?
Nadhani kwa watu weusi uchafu ni jadi yenu. Mi simo😂😂😂😂
 
Kwa ufupi jamaa ni wavivu..,hata mazingira ya majumbani kwao hawasafishi.,hawafyeki nyasi...,ukitaka uhakikishe hichi pita barabara ya kwenda Nungwi, nyumba zipo barabarani kabisa ila mazingira machafu.
 
Kuna mmoja naishi naye nyumba moja ya serikali na tunashea vyombo ila utamkuta na jagi la maji ya kunywa chooni akimaliza anarudi nalo ndani na hana hata wasiwasi.

Akianza kufua yale maji aliyofulia boxers zake ndiyo anayatumia kulowekea vyombo vichafu. Mfano sufuria lilopikiwa ugali.

Nilichokigundua nyie mnajua kujitawaza ndiyo usafi pekee mnasahau kuwa hata jirani yako na mazingira pia yanatakiwa kusafishwa ili kukamilisha usafi.

Kwa ufupi nyie usafi wenu umeakaa kibaguzi sana na unatia mashaka na Zanzibar ndiyo inatupa picha ya uhalisia wa usafi wenu.
Hayo mengine sikweli kwamba maji aliyorowekea nguo ndio Hayo anatomia kuoshea vyombo.
 
Hivi mchafu ni nani hapa kati ya yule anayefanya haja kubwa na kutumia makaratasi au kigogo cha mti, anayekojoa na kukukuta na kuutia kwenye chupi na yule anayefanya haja hizo akajidagosha kwa kutumia maji?
Unazungumzia dini? Tafadhali usifanye hivyo, sisi tunajua mengi ila tunaheshimu imani za wenine, vinginevyo endelea tu.
Mkuu, Kuna watu humu jf zikija mada za uislamu wanajifanyaga ni wajinga wa kutupwa
Naombea tu wasifikie level ya upumbavu
 
Utetezi wa ovyo kuwahi kuuona.
Tumekaa na Wazanzibar vyuoni. Duh! Hawa watu ni wachafu wa asili wala hutakiwi kwenda kwao kuthibitisha hilo. Mzenji anakwenda chooni ameweka maji ya kutawazia kwenye Chombo anacholia chakula, anakula mchana Chombo alichotumia atasuuza usiku atakapokwenda kuchukua chakula. Chuo kikuu kaangalie kitanda cha Mzenji.
Hii ni moja Utamaduni wao na ukijaribu kuwasahihisha warakubeza wewe Chogo mshamba sana.
 
Punde ukifika Zanzibar Kwa njia ya Ndege au boti utakutana na uchafu usiomithilika (kuanzia Bandarini Hadi Mjini). Unabaki kujiuliza je huu utamaduni Ni Jambo la kawaida kisiwani au ni nini? Tatizo Ni nn haswa?
Hapana siyo utamaduni wao, walizowea machogo ndiyo walikuwa wasafishaji, sasa machogo wanaanza kupata ujuwaji wanajifanya wao mabosi hawataki ytena kazi za usafi.

Itabidi warudie kama wakati wa Sultani wawalete mabaniani wale wanaoitwa "topas" ndiyo kazi zao hizo.
 
Acha kuonea wivu watu kwenye mambo ya kijinga, na wewe kama unataka si uwe tu shoga? waowaji bado tupo!
 
Back
Top Bottom