Zanzibar uchafu ni utamaduni?

Kuna mmoja naishi naye nyumba moja ya serikali na tunashea vyombo ila utamkuta na jagi la maji ya kunywa chooni akimaliza anarudi nalo ndani na hana hata wasiwasi.
Huu ni uongo. Kusema ni kitu kimoja na uhalisia ni kitu kingine.
Akianza kufua yale maji aliyofulia boxers zake ndiyo anayatumia kulowekea vyombo vichafu. Mfano sufuria lilopikiwa ugali.
Mtu yeyote akisoma hii anajua ni utunzi kama ule wa Agartha Christie.
Nilichokigundua nyie mnajua kujitawaza ndiyo usafi pekee mnasahau kuwa hata jirani yako na mazingira pia yanatakiwa kusafishwa ili kukamilisha usafi.
Kutawadha ni usafi, kukoga ni usafi na mambo mengone yote yanayoitwa usafi ni usafi ila kukojoa halafu ukaingiza chengelele kwenye chupi, kama mufanyavyo, ni uchafu uliokithiri.
Kwa ufupi nyie usafi wenu umeakaa kibaguzi sana na unatia mashaka na Zanzibar ndiyo inatupa picha ya uhalisia wa usafi wenu.
Hapa sasa umeishiwa na hoja. Hivi usafi/uchafu na ubaguzi vinahusianaje?

Wenye hili jamvi wanaliita Jamii forum home of great thinkers. Jitahidi ufanane nalo kwani umeshakuwemo.
 
1.) Wanatunza historia wakisafisha patakua ka ulaya ... Hata majengo machaafu wanayaacha ivyo kuleta utalii 😀🤣🤣
2.) Kanzu zao zitachafuka hawataki kushika uchafu uscheze nawatu wanatawaza hajandogo ata najiwe 🤣
 
Umeongea ukweli wazanzibari huwa gawatenganishi vyombo vya jikoni na vya chooni,kuna ustaadhi mmoja chupni slibeba jagi la maji kwenda nalo chooni,tukamchenjis alivyotujibu sasa,eti mbona mdomo wako unaenda nao chooni na baadae unatafunia chakula
Ndo kauli yao kubwa eti Kwa vile unaenda na mdomo chooni huna haja ya kubagua vyombo vya chooni na vya jikoni.
 
Kuna mmoja naishi naye nyumba moja ya serikali na tunashea vyombo ila utamkuta na jagi la maji ya kunywa chooni akimaliza anarudi nalo ndani na hana hata wasiwasi.

Akianza kufua yale maji aliyofulia boxers zake ndiyo anayatumia kulowekea vyombo vichafu. Mfano sufuria lilopikiwa ugali.

Nilichokigundua nyie mnajua kujitawaza ndiyo usafi pekee mnasahau kuwa hata jirani yako na mazingira pia yanatakiwa kusafishwa ili kukamilisha usafi.

Kwa ufupi nyie usafi wenu umeakaa kibaguzi sana na unatia mashaka na Zanzibar ndiyo inatupa picha ya uhalisia wa usafi wenu.
Hapa hujaongeza kitu ndivyo walivyo.
 
Punde ukifika Zanzibar Kwa njia ya Ndege au boti utakutana na uchafu usiomithilika (kuanzia Bandarini Hadi Mjini). Unabaki kujiuliza je huu utamaduni Ni Jambo la kawaida kisiwani au ni nini? Tatizo Ni nn haswa?
Kwa kweli Zanzibar waboreshe mazingira aisee,naamini wakijitahidi kwenye usafi watalii wataongezeka mara dufu
 
Zanzibar hamna watu wachafu kulinganisha na dsm na watu wake hiyo unayosema imekaa kimkakati is not true I was been there for a while ila sijaona huo uchafu unaojaribu kuuzungumzia hapa pale forodhani wazungu wanashinda happy Sana.
 
Utetezi wa ovyo kuwahi kuuona.
Tumekaa na Wazanzibar vyuoni. Duh! Hawa watu ni wachafu wa asili wala hutakiwi kwenda kwao kuthibitisha hilo. Mzenji anakwenda chooni ameweka maji ya kutawazia kwenye Chombo anacholia chakula, anakula mchana Chombo alichotumia atasuuza usiku atakapokwenda kuchukua chakula. Chuo kikuu kaangalie kitanda cha Mzenji.
Ni kweli. Labda nikazie kuwa hawa jamaa si wasafi lakini pia hawajui hygiene. Kuwa msafi na kuzingatia hygiene ni vitu viwili tofauti. Ukitaka kuona vituko hudhuria hizi shrehe za mitaani kama harusi au hata mazishi ya hawa jamaa uone. Hasa wapemba.
 
Punde ukifika Zanzibar Kwa njia ya Ndege au boti utakutana na uchafu usiomithilika (kuanzia Bandarini Hadi Mjini). Unabaki kujiuliza je huu utamaduni Ni Jambo la kawaida kisiwani au ni nini? Tatizo Ni nn haswa?
Uchafu ni mzuri pia, ndio maana kila kukicha wazungu wanajaa kule, kwenda kushangaa uchafu na kutuacha sisi wasafi! Asilimia 70 ya ndugu zetu naskia wapo huko wakifanyishwa kazi za majumbani na mahotelini!
 
Punde ukifika Zanzibar Kwa njia ya Ndege au boti utakutana na uchafu usiomithilika (kuanzia Bandarini Hadi Mjini). Unabaki kujiuliza je huu utamaduni Ni Jambo la kawaida kisiwani au ni nini? Tatizo Ni nn haswa?
Ndio maana tulileta wale kunguru wa Zanzibar wasaidie usafi ingawa imekuwa tatizo mifuko ya plastic hawali
 
Back
Top Bottom