Hii Mada ni nzuri kweli na mm ni mara nyingi napenda kwenda Zanzibar hasa wnangu wanapokuwa likizoZanziba imekalia kiutalii zaidi, yaani main target ni foreigners nje ya Tanzania. Stone town kuna guest houses za kumwaga.
Kwanini hawapendi mtanganyika apange kwenye nyumba yao? Kama wakikataa mtanganyika watampata nani? Wazanzibari hawana utamaduni wa kukodi nyumba wakiwa kwao. Huku mtu kakodi nyumba/chumba ikiwa anasoma chuo mfano. Venginevyo mtu hana pakukaa basi anakaa kwao tu
Umejibu kama unafukuzwa, soma uelewe.Zanziba imekalia kiutalii zaidi, yaani main target ni foreigners nje ya Tanzania. Stone town kuna guest houses za kumwaga.
Kwanini hawapendi mtanganyika apange kwenye nyumba yao? Kama wakikataa mtanganyika watampata nani? Wazanzibari hawana utamaduni wa kukodi nyumba wakiwa kwao. Huku mtu kakodi nyumba/chumba ikiwa anasoma chuo mfano. Venginevyo mtu hana pakukaa basi anakaa kwao tu
hizi ni fikra zako tu kwa vile ni muoga, kupigwa juju haitaki uwe mbara au mkenya, kama kupigwa juju na mshindano wako utapigwa tu. Sasa wamachinga wote waliopo Zanzibar mbona hawakupigwa juju na product zao ni za ovyo tu? Wewe kaa tu wakati kuna wabongo wenzako wanapiga mawe maisha yanasonga mbele hawatamani ata kurudi kwao 😀
Ushawahi kulinganisha operating costs za boti na za bus linalokwenda Tanga kutoka dar 250+ kms?
Yule mpemba ni muongo sana, anaongea uongo mbele ya watu wazima.Hii Mada ni nzuri kweli na mm ni mara nyingi napenda kwenda Zanzibar hasa wnangu wanapokuwa likizo
miaka ya nyuma nilienda na Mama watoto kweli Guest tulikosa mpaka tukafika Maghorofa mengi naona ndio Michungwani katiakati humo mwa maghorofa ndio tukakuta Guest moja na wenyewe wanaishi humo, baada ya maelezo wakatuelewa ni mtu na mkewe ndipo tukaishi siku 2 na kugeuza
hizi mara nyingine hatulali kwani tumeshaamini nyumba za wageni ni lazima uwe na cheti cha ndoa
Jamani km Stone town Guest za bei rahisi zipo tujuzeni maana Bwawani bei haishikiki
Guest za town nyingi target ni foreigners, so bei zao huwa ni za kigeni nazo. Ila kama unataka kukaa town, jaribu kuingia Airbnb.com anza kutafuta ambayo bei yake utaiweza.Hii Mada ni nzuri kweli na mm ni mara nyingi napenda kwenda Zanzibar hasa wnangu wanapokuwa likizo
miaka ya nyuma nilienda na Mama watoto kweli Guest tulikosa mpaka tukafika Maghorofa mengi naona ndio Michungwani katiakati humo mwa maghorofa ndio tukakuta Guest moja na wenyewe wanaishi humo, baada ya maelezo wakatuelewa ni mtu na mkewe ndipo tukaishi siku 2 na kugeuza
hizi mara nyingine hatulali kwani tumeshaamini nyumba za wageni ni lazima uwe na cheti cha ndoa
Jamani km Stone town Guest za bei rahisi zipo tujuzeni maana Bwawani bei haishikiki
Naona nimekujibu point baada ya point ila wewe unaejua kila kitu hukuonesha kosa kwenye point nilizokujibu 😀Umejibu kama unafukuzwa, soma uelewe.
Although kuishi au kuwa mkaazi wa unguja si kwamba unajua everything, you're nothing, nimekaa, kufanya kazi na hata biashara unguja vitu vingi unaonekana huvijui.
Sasa uongo uko wapi?Yule mpemba ni muongo sana, anaongea uongo mbele ya watu wazima.
Anasema guest zipo nyingi!!.
Sisi wengine tushakuwa wenyeji, najua guest bubu nyingi tu na hazipo rasmi zile rasmi zipo pembezoni mwa mji.
Na nyingi ya hizo unakuta mtu alikuwa na familia ambapo watoto wamekuwa wamesepa arabuni au wapo Tanganyika so nyumba imebaki tupu wanaamua kupangisha na bei haizidi 10,000/- per night labda iwe self inazidi kidogo sana.
Hilo usitegemeeViwanja vya makazi vinapatikana huko Zanzibar? Na bei ni shilingi ngapi kama vipo?
Kama ni town kuna guest ipo darajani ni 20000 na 25000 hamna masharti yoyoteHii Mada ni nzuri kweli na mm ni mara nyingi napenda kwenda Zanzibar hasa wnangu wanapokuwa likizo
miaka ya nyuma nilienda na Mama watoto kweli Guest tulikosa mpaka tukafika Maghorofa mengi naona ndio Michungwani katiakati humo mwa maghorofa ndio tukakuta Guest moja na wenyewe wanaishi humo, baada ya maelezo wakatuelewa ni mtu na mkewe ndipo tukaishi siku 2 na kugeuza
hizi mara nyingine hatulali kwani tumeshaamini nyumba za wageni ni lazima uwe na cheti cha ndoa
Jamani km Stone town Guest za bei rahisi zipo tujuzeni maana Bwawani bei haishikiki
Sh 25000 tu ni selfMkuu bei zikoje Hapo Fuoni Lodge?
Vitu vingi ulivyoandika hapa ni uzushi.Afadhali umefikilia kuweka mada ya wazenjibar, japo wenyewe wamelala maana walikuwa hawana sehemu maalum iliyopo ndani ya jukwaa as muungano.
Naendelea na hili hapa...
[emoji1485]Kwanza guest houses kwa unguja ni shida sana kupata kulingana na eneo unalotaka kustay, itakulazimu upate chumba (mfano) darajani alafu shuhuli zako ziwe ZU.
[emoji1485]Wenyeji hawapendi Mtanganyika apange kwenye nyumba zao tena akiwa jisnia ya kiume bora wa kike anafikiliwa.
[emoji1485] Ubinafsi ni mkubwa sana, ukifahamika umetoka bara, labda utoe product bora/nzuri kuliko ila unapigwa juju mapema asubuhi!.
[emoji1485]Pia mpaka kesho najiuliza, sababu ya gharama ya usafiri kwa boat how ni kubwa sana kulinganisha na distance?.
[emoji1485]Na ...
Yah. Mie ni wa hukuUnaishi huko?
Terry shop ni mombasa pale. Sio kisauni. Kisauni inaanzia sheli pale bondeniNa ni kisauni sehemu gani? ni karibu na Pale wanaita kwa mama Terry?
Utakua unakula tu urojo bila shaka!! 🥣 Mimi huo hata kwa viboko sili!!! 🥵Mi mwenyewe Niko Zenj kwa mda
Ila una Raha yake yakheeUtakua unakula tu urojo bila shaka!! 🥣 Mimi huo hata kwa viboko sili!!! 🥵
Ukiona hivyo hata elimu kwao ni tatizo..ujinga na umasikini unawatafuna.Ukifika Zanzibar kwa Mara ya kwanza utaitwa Mtanganyika na sio Mtanzania.
Yaani Hawa watumwa wakinyamwezi waliochunda na kushindwa kununulika utumwani na Kisha kubakia kisiwani Wana kaubaguzi flani ka kimfumo.. wasipokubagua kwa utaifa... Watakubagua kwa Dini.
Wanajiona waarabu kuliko waafrika ila ndo ndugu zangu.. ntafanyaje nawavumilia tu.
Aswaa Wanungwi wao wakisikia wewe m bara hata uwe na hela vipi hawakuozeshi mtoto wao. Kamwe!.
Lakini ndo binadamu ndivyo tulivyo wote wabaguzi tu.
Ukifika Zanzibar kwa Mara ya kwanza utaitwa Mtanganyika na sio Mtanzania.