MI Nataka bidhaa kutoka huko Zanzibar ila siku hizi Watu wakule wamekuwa wezi Sana
Natafuta pesa niende kutalii huko mwezi desemba.
Natafuta pesa niende kutalii huko mwezi desemba.
Kwamba Wazenji sio waaminifu??!!!.MI Nataka bidhaa kutoka huko Zanzibar ila siku hizi Watu wakule wamekuwa wezi Sana
Karibu Zanzibar.Natafuta pesa niende kutalii huko mwezi desemba.
Vinapatikana. Maeneo mengi kwa sasa kwenye viwanja ni kuanzia mitondooni, kisauni, maungani, kombeni na kwenda mbele huko.Viwanja vya makazi vinapatikana huko Zanzibar? Na bei ni shilingi ngapi kama vipo?
Kareeb sana. December kunanogaNatafuta pesa niende kutalii huko mwezi desemba.
Mie pia nitakuwa huko mwezi December kama vipi tutafutane.Natafuta pesa niende kutalii huko mwezi desemba.
Na taratibu zake za kumiliki ardhi zikoje kwa sisi ambao siyo Wazanzibari Wakaazi?Vinapatikana. Maeneo mengi kwa sasa kwenye viwanja ni kuanzia mitondooni, kisauni, maungani, kombeni na kwenda mbele huko.
Bei jipange walau kuanzia m25
Kiongozi siku hizi guest bubu zipo kibao tu pale kisauni kuna wachaga wamefungua guest zipo kama tatu karibu karibu na bei ni nafuu sana mpaka elfu 5 kwa short time.Afadhali umefikilia kuweka mada ya wazenjibar, japo wenyewe wamelala maana walikuwa hawana sehemu maalum iliyopo ndani ya jukwaa as muungano.
Naendelea na hili hapa...
Kwanza guest houses kwa unguja ni shida sana kupata kulingana na eneo unalotaka kustay, itakulazimu upate chumba (mfano) darajani alafu shuhuli zako ziwe ZU.
Wenyeji hawapendi Mtanganyika apange kwenye nyumba zao tena akiwa jisnia ya kiume bora wa kike anafikiliwa.
Ubinafsi ni mkubwa sana, ukifahamika umetoka bara, labda utoe product bora/nzuri kuliko ila unapigwa juju mapema asubuhi!.
Pia mpaka kesho najiuliza, sababu ya gharama ya usafiri kwa boat how ni kubwa sana kulinganisha na distance?.
Na ...
Kwanini usinunue uko uliko?MI Nataka bidhaa kutoka huko Zanzibar ila siku hizi Watu wakule wamekuwa wezi Sana
Asante sana inabidi nije nikutafute time ikifika.Fikia kwangu
Lunatic