Kwa wingi wa watu meaning population ni kama wilaya ya Jamhuri ya Muungano!!
Kwa sensa ya mwaka 2002 idadi yao ilikuwa ni sawa na watu wakinondoni ambao walikuwa 1.4m
Kwahiyo familia yenye mtoto mmoja hiyo sio familia? Ila familia yenye watoto wengi ndio familia?Kwa wingi wa watu meaning population ni kama wilaya ya Jamhuri ya Muungano!!
Hata Tanganyika siyo Nchi jamani. Matokeo ya muungano: Zanzibar na Tanganyika viliacha kuwa nchi. Nchi ikabaki kuwa JMT. Maneno yote ya mjadala wa Nchi au siyo nchi kwa pande zote ni lazima yaishie kuvunja muungano!!Muungano tunaweza kuuongelea kwa hisia tofauti na tukasema yote tunayotaka kusema. Lakini sasa naona kuna haya maneno maneno ya kusema Zanzibar si nchi. Je hii dhana ni sahihi ? kutoka kipengele kipi cha katiba? Ama ni kwa hisia hisia zetu tu? Iwapo ni hisia tu, ni haki kweli kuvua utambulisho wa eneo kikejeli kejeli kweli. Na kama sio nchi, Zanzibar ni nini sasa? Mkoa? wilaya ama ni kitu gani?
kwa mujibu wa katiba ya JMT zanzibar sio nchi ni sehemu ya muungano tu ila kwa kwa mujbu wa katiba ya SMZ zanzibar ni ila inpotekea sheria mbili zikaconflict each katiba ya JMT in hold true so zanzibar sio nchi
Kitongoji
Muungano tunaweza kuuongelea kwa hisia tofauti na tukasema yote tunayotaka kusema. Lakini sasa naona kuna haya maneno maneno ya kusema Zanzibar si nchi. Je hii dhana ni sahihi ? kutoka kipengele kipi cha katiba? Ama ni kwa hisia hisia zetu tu? Iwapo ni hisia tu, ni haki kweli kuvua utambulisho wa eneo kikejeli kejeli kweli. Na kama sio nchi, Zanzibar ni nini sasa? Mkoa? wilaya ama ni kitu gani?
Mmeishaambiwa mara nyingi tu kwamba kulingana na katiba ya Jamhuri ya Muungano, Zanzibar ni Sehemu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mengine utajiongeza mwenyewe kama ni mkoa, wilaya, kata, kijiji au kitongoji.
Hata Tanganyika siyo Nchi jamani. Matokeo ya muungano: Zanzibar na Tanganyika viliacha kuwa nchi. Nchi ikabaki kuwa JMT. Maneno yote ya mjadala wa Nchi au siyo nchi kwa pande zote ni lazima yaishie kuvunja muungano!!
kwa mujibu wa katiba ya JMT zanzibar sio nchi ni sehemu ya muungano tu ila kwa kwa mujbu wa katiba ya SMZ zanzibar ni ila inpotekea sheria mbili zikaconflict each katiba ya JMT in hold true so zanzibar sio nchi
ktk list ya nchi duniani,hakuna nchi inayoitwa zanzibar,ila najua nchi Tanzania,yenye mikoa 30,kati ya mikoa hiyo 30,mitano iko ndani ya bahari ya hindi,ikiwemo unguja,pemba na kaskaz na kusin na upi sjui
Petu Hapamajibu yameshatolewa hapo juu
Zanzibar ni sehemu ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ina mamlaka ya kujiamulia mambo yake ya ndani kama uvuvi, kilimo, maji ya kunywa nk! Hivyo kimataifa Zanzibar haina mamlaka wala haki ya kijiwakilisha. Zanzibar haiwezi kuwa na jeshi lake la ulinzi vinginevyo itahesabiwa imeasi na adhabu ya muasi inafahamika. Rais wa Zanzibar hawezi kuwa amiri jeshi wa majeshi ya ulinzi na usalama.