MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,607
Angalia nchi nyingine zenye population ndogo - sio kigezo peke hicho. List of countries by population - Wikipedia, the free encyclopedia
Nadhani suali la jawabu yako umejipa mwenyewe kwenye hii orodha uliyoweka hapa, KWANI ZANZIBAR HAIMO hata kwenye mabano angalau tukasema ni sehemu ya Tanzania. Au kama unataka kujiridhisha zaidi angalia hapa nchi za Afrika zinazotambulika: List of sovereign states and dependent territories in Africa - Wikipedia, the free encyclopedia.
Wazanzibari kujidai kuwa wana nchi ni ndoto tu. Kwa nini hamfanyi kama ambavyo wengine wanaota kudaiTanganyika yao?.
Kwa ufupi, wale wenye ndoto za Uzanzibari na Utanganyika ni kuwa wamerogwa, na waliowaroga (Nyerere na Karume) wameshakufa. Kubalini matokeo.