Fatal5
Senior Member
- Jul 1, 2011
- 187
- 34
:juggle:KATIBA YA SASA YA ZANZIBAR
Ibara ya 3 na 4 ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Zanzibar inasema hivi:canada:
"Zanzibar ni nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na visiwa vidogo vilivyoizunguka na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar."
Vilevile, Ibara ya 4 ya sheria ya mabadiliko ya katiba inasisitiza, "Zanzibar ni miongoni mwa nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania."
Ibara mpya ya 26(1) inayounda "Afisi" ya rais wa Zanzibar inamtaja rais wa Zanzibar kama "… Mkuu wa nchi ya Zanzibar…"
Ibara mpya ya 2A ya Katiba ya Zanzibar inampa rais wa visiwa hivyo mamlaka ya kuigawa Zanzibar katika mikoa, wilaya na maeneo mengineyo kwa kufuata utaratibu wa sheria iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi.
Ibara mpya ya 24(3) ya katiba ya Zanzibar inasema, kutokana na maombi yanayopelekwa mahakamani kuhusu masuala ya haki za binadamu, uamuzi wa mahakama Kuu ya Zanzibar "… utakuwa ni wa mwisho na hautokatiwa rufaa kwenye Mahakama ya Rufaa ya Tanzania."
HAKUNA TANZANIA BILA YA ZANZIBAR
ZANZIBAR ILIFANYA MISTAKE KUUNGANA NA TANGANYIKA NDIO KUKAUNDWA JINA LA TANZANIA KAMA MUUNGANO HUU USINGELITOKEA BASI KUNGEKUWA HAKUNA JINA LA TANZANIA DUNIANI!!!!!!!!
MAURITIUS , SEYCHELLES, COMORO, VISIWA HIVYO VYOTE NI NCHI KAMILI NA NI MAJIRANI WA ZANZIBAR KATIKA BAHARI YA HINDI NA ZANZIBAR NI KUBWA KI ENEO KULIKO VISIWA VYOTE HIVYO NA POPULATION YA WATU WA ZANZIBAR NI KUBWA KULIKO VISIWA HIVYO!!!!!!!!!!!
WATANGANYIKA TUWACHE TABIA YA KUWAONEA NA KUWATISHA WAZANZIBARI KWA SABABU TUKO NA JESHI, DINI HAISEMI HIVYO TUWACHIE NA NCHI YAO WAFANYE MAMBO YAO KIVYAO KAMA VISIWA VYENGINE TU DUNIANI VYOTE VIKO NA FREEDOM YAO!!!!!!!!
Zanzibar ikiwasilishwa katika UN umoja wa mataifa 1963
KAMA WEWE NI MTANGANYIKA HALISI BASI IJUE HISTORIA YA NCHI YAKO KULIKO KUBERULIWA BERULIWA
TUU NA MAJACUC:focus: