Zanzibar: Serikali yatangaza ongezeko la wagonjwa 6 wa COVID-19. Idadi yafikia 94 Tanzania (Aprili 16, 2020)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,814
11,991
Wizara ya Afya Zanzibar yatangaza wagonjwa wengine wapya 6 wa virusi vya Corona. Wagonjwa wanne ni vijana.

EVt-iQHWkAAQS0h.jpg
 
Wagonjwa sita huku vijana wakiwa watano
Not good to hear but facts must be accepted.

Zanzibar ina watu wachache. Ungefanyika utaratibu wa kuwapima watu wote ili kudhibiti maambukizi mapya.

Ni jambo la kushangaza sana kwa nchi yetu - hakuna random testing. Tunapima watu ambao tayari wanaumwa au wanaohisiwa kuambukizwa tu! Wenzetu, karibia nchi zote wanafanya random testing. Sijui tatizo ni vifaa au will.

Inasikitisha sana kusikia hata hospitali wanakotibiwa wagonjwa wa corona, hakuna japo mashine za kufulia nguo za wagonjwa. Wauguzi wamewekwa kwenye mazingira magumu.

Hivi kweli nchi yetu inashindwa hata kununua mashine za kufulia kwaajili ya hospitali? Sisi ni nini tunachoweza? Je, ni uzembe, kutothamini maisha ya watu au ni kweli hatuna uwezo?
 
... mzaha mzaha yamekuwa kweli! Now the rate of transmission is exponential; hali ni mbaya kuliko tunavyodhania.
 
Back
Top Bottom