Kuvunja tu bodi na Serikali kuendelea kuwa ndiye wakala pekee, hakusaidii, hauwezi kukawa na ushindani sehemu ambayo wewe upo peke yako.
Ndio maana kila shindano lazima liwe na pande mbili.
Ili kuboresha bandari zetu, Lazima Zanzibar iruhusu kampuni binafsi ku operate kama wakala, pale wanapokuwa appointed na kuondoa sheria inayowapa shirika la serikali kuwa ndio wakala pekee.
Huko ndiko ambako Tanzania Bara kupitia Tasac tunapelekwa.
As long as mtu hana mshindani, haweza akafanya kazi kwa ufanisi, maan anaju hata asipofanya unavyotaka, hauna mbadala, itabidi umsubiri tu.