Zanzibar: Rais Mwinyi avunja Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Meli na Uwakala baada ya kutoridhishwa na uendeshaji na utendaji wa shirika hilo

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,060
4,044
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amvunja bodi ya wakurugenzi wa shirika la meli na uwakala.

Taarifa iliyotolewa leo Jumanne Novemba 15, 2020 na katibu kiongozi, Dk Abdulhamid Mzee inaeleza kuwa kuvunjwa kwa bodi hiyo kunatokana na Serikali kutoridhishwa na uendeshaji na utendaji wa shirika hilo.

Zanzibar.jpg
 
Safi sana Mhe. Rais Dr. Hussein, tuko pamoja nawe katika kuijemga nchi yetu.hii sio awamu ya kuchekeana wala kubembelezana. unataka chapa kazi hutaki tupishe.

Kwa mwendo huu tutanyooka tu.
 
Kuvunja tu bodi na Serikali kuendelea kuwa ndiye wakala pekee, hakusaidii, hauwezi kukawa na ushindani sehemu ambayo wewe upo peke yako.

Ndio maana kila shindano lazima liwe na pande mbili.

Ili kuboresha bandari zetu, Lazima Zanzibar iruhusu kampuni binafsi ku operate kama wakala, pale wanapokuwa appointed na kuondoa sheria inayowapa shirika la serikali kuwa ndio wakala pekee.

Huko ndiko ambako Tanzania Bara kupitia Tasac tunapelekwa.

As long as mtu hana mshindani, haweza akafanya kazi kwa ufanisi, maan anaju hata asipofanya unavyotaka, hauna mbadala, itabidi umsubiri tu.
 
Act Wazalendo tunaunga mkono hatua zinazochukuliwa na Rais Mwinyi. Ni wakati wa kuwatumikia wananchi, POROJO źote tukutane 2025.
 
Natabiri siku za usoni yatajirudia yale ya "Ndio Mzee", Nyerere na Mwinyi Sr.

Kimahesabu Mzee Mchonga alistaafu Urais mwaka 1995 na sio 1985!

Sasa Mzee wa Burigi anampa muongoz kila kitu huyo dogo, na dogo anakubali ili aje akabiziwe kiti kikubwa cha huku bara! Baada ya hapo Jiwe atakuwa anaongoza nchi akiwa mapumzikoni Burigi
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
zanzIbar ipo katika reforms za kamarada doktor.sasa inakwenda kuwa neeema tupu.nimefurah kuona mji mkongwe usafi uwe kipaumbele na mitaro ya maji.pale ndio.kitovu cha utalii.zile sewage sytem zilikua aibu kwa wagen
pawe mahali pasaf sana
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom