Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Alazwe mahali pema.....kisa cha kuuawa ni nini?

kisa cha kuuawa bado hakijawa wazi...sasa zitatolewa hisia mbali mbali juu ya tukio hili la kusikitisha...ee mungu tunakuomba utupe imani ya upendo miongoni mwa watanzania...kamwe tusiache umoja wetu.
 
Hakuna shida cku yao hao nao inasogea tu ngoja na sisi tuamke jaman haya hadi lini bana.
 
HAPANA tuwe na busara katika kuandika vitu. Sasa Kikwete anahusika vipi hapo?? Kila mtu anajua kuwa kuna group la mashehe huko wenye hulka za kiamsho. wao kila mahubiri ya mihadhara ni kutaka Zanzibar iwe nchi ya kiislamu. JK simkubali hata mimi lakini siwezi kumuhusisha na hili kwa vyovyote vile.

Kuhusu udini nchini nakumbuka speech ya Baba wa Taifa aliongea 1994 pale daslam. Alisema ameanza kusikia chokochoko za kidini. Kimsingi udini ulianza early 1990s. Si JK aliyeleta japo nae kaupalilia upate afya na kukua zaidi.

Kumbe unaujua mchango wa JK katika kuukuza udini, sasa unamwepushaje na lawama?
 
Ni wapi tulikotoka - Nyerere, Amani ilitawala, utanzania uliwekwa mbele kwa maana ya sisi sote tuliitana ndugu.

Wapi tulipo - Kikwete, Amani imetoweka, utanzania umepotea na utambulisho wa dini zetu kutukuzwa. Mfano Anaegombea ubunge ni dini gani? anaeimba jukwaani ni dini gani? mbona huyu amekuja hapa si wa din yetu?

Tunakoelekea - Asipewe uwanja huku huyu, si kwa watu wa dini hii, huyu si dini flani achinjwe - anachinjwa.

Tumefika hapa tulipo kwa sababu ya Mtembezi rais mfia dini wala majukumu yake hayajuwi, Mwinyi hakuwa mfia dini.

Tumefika hapa tulipofika baada ya kuwaacha wachochezi kama Ilunga na mohamedi Said kutawanya Sum kwa hofu ya wanasiasa kupoteza madaraka, wamefanikiwa kutuchonganisha watanzania kwa hoja rahisi na za kipuuzi kabisa sasa kidonda kimepata mkunaji na mkunaji huyu ni mtanzania aliyenyimwa elimu ili atumike kama daraja kwa ccm kuendelea kubaki madarakani

Unakuwaje na Mkuu wa polisi kama Said Mwema ambaye anawaacha watu wanaoelekeza vijana kuchinja watu hadharani? Huyu ni alkaeda aliyevaa ngozi ya utanzania roho yake ni ya msingi wa kidini na malengo kama yale ya Alshababu.

Kikwete na Said mwema Wanamalengo maalumu na mkakati maalum, kwanini Ilunga hajakamatwa?
 
Wakristo wamezidi ukondoo, hawa magaidi watatumaliza, uislamu ni ugaidi na utaendelea kuwa hivyo, ni Mungu gani wanaemwabudu anaeruhusu kuua wengine? Huyo ni shetani tu

Unatoka chooni, kwa nini unatukana dini za wenzio! Ama tuamini kuwa busara haipatikani kanisani
 
HAPANA tuwe na busara katika kuandika vitu. Sasa Kikwete anahusika vipi hapo?? Kila mtu anajua kuwa kuna group la mashehe huko wenye hulka za kiamsho. wao kila mahubiri ya mihadhara ni kutaka Zanzibar iwe nchi ya kiislamu. JK simkubali hata mimi lakini siwezi kumuhusisha na hili kwa vyovyote vile.

Kuhusu udini nchini nakumbuka speech ya Baba wa Taifa aliongea 1994 pale daslam. Alisema ameanza kusikia chokochoko za kidini. Kimsingi udini ulianza early 1990s. Si JK aliyeleta japo nae kaupalilia upate afya na kukua zaidi.
You are still asleep. continue sleeping.
 
without interventions, i can see the days of piece and harmony are numbered!
 
Kuna mtu yeyote anamfaham Shekh yeyote kutoka Zanzibar anaehudum huku Tz Bara?!

Nahitaji kwenda kumsalimia tu, mana sis sote ni ndugu na tunapendana sana.!!!!

R.I.P Padre Mushi, tuliobaki hai tutakutetea kwa njia yeyote wakat ukifika, mana serikal yako imeshindwa..!
 
Haya matukio yanaweza kuendelea kusambaa sana katika sehemu mbalimbali za jamii yetu kwa kuwa nchi yetu sasa imekuwa kubwa sana kiutawala. Matukio ya mauaji yamekuwa yakitokea mara kadhaa lakini hakuna hatua zinazochukuliwa. Hatua zinachukuliwa pale tu utakaposikia polisi amepigwa risasi, watu wasiojulikana wamevamia nyumba ya kiongozi n.k lakini katika hali ya kawaida raia wa kawaida wanaiuawa hovyo na hakuna kinachofanya hali ambayo inafanya watu kuamua kurudisha visasi au kuendelea kutekeleza azima zao bila kuogopa kutiwa nguvuni na serikali.

Ni juzi tu mapadri kadhaa walipigwa risasi Zanzibar na mwingine kuvamiwa huko Iriga, lakini zaidi ya maneno ya kisiasa na kujitafutia umaarufu hakuna kilichofanyika. Matokeo yake ndiyo haya sasa wameua padri mwininge bila sababu za msingi. Serikali itakemea litaisha, waliohusika wataendelea kutamba mitaani na kuendelea kutekeleza malengo yao. Ukobozi wa yote haya sasa siyo serikali ni wananchi wenyewe, kuamka na kujitambua tunakopelekwa na matukio haya. Nina imani wanaoyatekeleza haya ni wachache sana ikilinganishwa na idadi kubwa na wale wasioridhika na yanayoendelea. Ewe mwananchi mwenzangu tafakari na ukukuwe hatua. Hata tukisubiri hadi lini polisi wetu hawana uwezo wa kupeleleza na kuchukua hatua kwa kesi za raia wema ispokuwa wanapogushwa wao na waleo wanaowatumikia.
 
Muungano hapa hauna mahusiano kama wewe si mkristo ngoja nikupe shule kidogo, umishionari au uinjilisti hauna cha muungano wala uzawa wa nchi ndo mn unaona mjerumani alikuja kuubiri injili hapa ndo mn unakuta mapadre watanzania wapo Kenya. Hivyo hilo la Muungano naomba uliwasilishe ktk utoaji maoni wa katiba mpya.
 
Kuna mtu yeyote anamfaham Shekh yeyote kutoka Zanzibar anaehudum huku Tz Bara?!

Nahitaji kwenda kumsalimia tu, mana sis sote ni ndugu na tunapendana sana.!!!!

R.I.P Padre Mushi, tuliobaki hai tutakutetea kwa njia yeyote wakat ukifika, mana serikal yako imeshindwa..!

Tembelea misikiti ya Kichangani, Mtambani, Kwa Mtoro utapata jibu kamili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom