Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
usipumbaze watu waendelee kuvumilia upumbavu wakati maisha yanapotea hamasisha watu kuibana serikali ilinde raia wake bila ubaguzi

Imasikitisha sana ni Kama mdotp kwa unuama na ainu lama hii kutokea katika ardhi ya Tanzania. Watanzani tutulie walati vuomnp vua sjeria vua msdani na nje vikifanya kazi yake. Wenye harufu ya chanzo cha tikio watoe ushirikianp kwa vyomnp vya dola. Na kama alivyotanabahisha kadinal pengo hatuna haja ya kuwa na hisia hisia
 
Polisi wameanza uchunguzi majibu yakipatikana utaelezwa!

Chama
Gongo lamboto DSM
Mkuu itachukua mda gani kupata majibu!
waliochoma makanisa wamesamehewa, waliompiga padre Ambrose wameachwa?
Aliemwagia tindikali shehe kapatikana? UCHUNGUZI MPAKA LINI MKUU NI HATARI!
 
mnachowaza nyie ni wanawake tu na kunywa kahawa, wakati wakristo wanajitahidi kusoma na kendana na tecchnolojia.mmh! kweli, wenda wazimu si mpaka watembee uchi,unamuua mwenzio kisa umeahidiwa wanawake??????
nimeamini, ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni.loh!!!!!!!!
 
Yote unayosema nakubaliana na wewe ila maandiko matakatifu yamesema usiisemee nafsi ya mtu; semea nafsi; roho ya mwanadamu ni kama msitu yaliyomo ndani ya nafsi ya huyajui; hapa unachopaswa kusema tumuombee marehemu; tatizo kubwa wengi wenu mna akili fupi hamsomi vitu na kupambua; asili ya majibizano yangu yametokana wale wanaodai fr. Ambrose ameuawawa na waislamu kwa misingi ya kidini hicho ndicho nisichokubaliana nacho; fr. Ambrose ni mwanadamu kama mimi na wewe; ovu ninaloweza kulifanya mimi hata yeye anaweza kulifanya; kwanini mnataka upelelezi ukomee kwenye sababu za kidini tu? Upo uwezekano mkubwa sana tukio zima likawa limetokana na sababu za kisiasa au kibinafsi!

Chama
Gongo la mboto DSM
Sometimes una overeact. Kumbuka kuna wengine ni ndugu wa karibu wa marehemu tunasoma nyuzi hizi, mnatuzidishia machungu.

Ingetosha kusema kuwa sababu si za kidini na kutetea dini. Lakini kumhusisha marehemu usiyemjua na uovu unaoudhania wewe nadhani umekosea sana.

Tutangulize utu!
 
Naona msambaza chuki mkuu amerejea.....tutarajie posts za kashfa za kidini soon!


Philippians 4 6 Don't worry about anything; instead, pray about everything. Tell God what you need, and thank him for all he has done.7 Then you will experience God's peace, which exceeds anything we can understand. His peace will guard your hearts and minds as you live in Christ Jesus.
8 And now, dear brothers and sisters, one final thing. Fix your thoughts on what is true, and honorable, and right, and pure, and lovely, and admirable. Think about things that are excellent and worthy of praise.9 Keep putting into practice all you learned and received from me—everything you heard from me and saw me doing. Then the God of peace will be with you.
 
Sometimes una overeact. Kumbuka kuna wengine ni ndugu wa karibu wa marehemu tunasoma nyuzi hizi, mnatuzidishia machungu.

Ingetosha kusema kuwa sababu si za kidini na kutetea dini. Lakini kumhusisha marehemu usiyemjua na uovu unaoudhania wewe nadhani umekosea sana.

Tutangulize utu!

Kwanza pole sana kama msiba umekugusa; hapo tupo kujadili ukweli kabla hujaanza kunituhumu ungeanza kuwahoji wanaohusisha mauji na waislamu; usikurupuke na kuingia jamvini kutuhumu watu; muaji alikuwa na sababu zake binafsi ndio hizo tunazotaka kuzijua msitake kutupia lawama waislamu eti kwasababu kauliwa Zanzibar je huko Zanzibar hawakuna wakristo?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu itachukua mda gani kupata majibu!
waliochoma makanisa wamesamehewa, waliompiga padre Ambrose wameachwa?
Aliemwagia tindikali shehe kapatikana? UCHUNGUZI MPAKA LINI MKUU NI HATARI!

Hizi ni kesi ngumu ila uchunguzi utafanyika hata ikichukua miaka 10 haki ya marehemu fr. Ambrose itapatikana tu ni suala la muda na kuvuta subira.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom