Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Alazwe mahali pema.....kisa cha kuuawa ni nini?

Tukio linasema kuwa alikuwa akielekea kwenda kusarisha misa ya leo akiwa njiani ikatokea gari ghafra lenye watu waliomfyatulia risasi na mauti yakamkuta.Sasa tusaidiane kujua kisa.
 
Aisee! Alafu tutaambiwa uhalifu wa kawaida!

Haya mambo yanaelekea kuwashinda!
 
Padre E. Mushi Paroko wa parokia ya Minara Miwili Zanzibar ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiofahamika asubuhi hii.

Ameuawa wakati akijiandaa kuingia kanisani akitokea kwenye gari yake ambapo ghafla ilitokea gari ndogo na waliokuwamo ndani ya gari ile wakamrushia risasi.

Kwa siku za hivi karibuni kumekuwako na vitisho vya wazi wazi dhidi ya wakristu huko visiwani Zanzibar ambapo inaelezwa kuwa jeshi la polisi halijafanya juhudi yoyote kuzuia tishio hili. Kumekuwapo na vipeperushi vinavyodai kuwa kupigwa risasi kwa padre Ambrose sio mwisho wa mapambano.

Taarifa hizi zimeripotiwa direct toka Zanzibar.
 
Ni habari iliyotangazwa na Radio Wapo Fm this morning,nimesikia kuna mtangazaji muwakilishi kutoka ZNZ alikuwa akiripoti moja kwa moja kutoa huko,amepigwa risasi wakati akishuka kwenye gari kanisani ili aingie kuanza misa ya asubuhi.kuna gari inayosadikika kubeba wauaji hao mara baada ya kumpiga risasi alipoanguka gari hiyo iliondoka haraka eneo la tukio.

Haya ni matokeo ya utawala wa JK na CCM yao,wanachoendelea kututengenezea ni hatari sana,tukio baya sana hili ambalo implication yake iko based kwenye dini.utawasikia wanavyotoa pole za kinafiki,utwasikia wanavyotoa matamko ya kinafiki,utawasikia wanavyotoa kauli za kukemea kinafiki,mtawasikia pia watakavyotoa ahadi za kuwatafuta na kuwakamata wauaji wa Padri mushi lakini ni kinafiki,sana sana watamkamata mwendawazimu wajifanye wauaji wamewakata,kama ilivyokuwa sinema ya Dr Ulimboka.lakini ukweli ni kwamba machafuko yananukia ambayo mtengenezaji wa hali hii ni CCM na viongozi wao.Natamani sasa ZNZ itangazwe kuwa si sehemu salama kwa Wakristo.
 
Polisi waende mbali zaidi, walianza na kumpiga risasi padre Kimaro, leo Padre Mushi kulikoni?
 
kidumu chama cha mapinduzi na sera za udini ilizozianzisha

wako busy kuamulia nani achinje badala ya mambo ya msingi


CCM must go.....

Hakitufai....


Na huu muungano una faida gani jamani?
 
Nayalaani mauaji haya kwa nguvu zangu zote.

Mwanga wa milele umwangazie ee bwana,apumnzike kwa amani
 
wazanzibar walipofikia ni hatari, waachiwe nchi yao huo ndo ukweli, la sivo tutajaza thread za rest in peace every day, bila kung'ata maneno tafuta waraka wa kanisa katoliki zanzibar, waraka huo umetengeneza chuki kubwa kwa walio usoma...mbona hawapigwi wachungaji ni mapadre tu, kwa nini wao, na kwa nini leo, mbona kanisa la kwanza east africa lilijengwa zanzbr, pili panatakiwa kuchunguzwa hata personal life zao in character
na nyie wazanzibar msijifanye mmepinda kuua uua watu na ikibidi huyo shekh Ilunga akamatwe kwa kile kina itwa ushahidi wa kimazingira na afikishwe kulupango, aseee
 
Tatizo umeshalitaja mbele ya swali lako au unataka upewe tatizo gani tena?
Tatizo ni kuwa waislamu hawatupendi na wana vita na chuki kubwa sana juu ya ukristo at the same time wakristo wanaendelea kulala usingizi fofofo wakizani hawa jamaa ni ndugu zetu.
pole sana kama una mawazo haya ambayo me nimeya-highlite
 
Tatizo umeshalitaja mbele ya swali lako au unataka upewe tatizo gani tena?
Tatizo ni kuwa waislamu hawatupendi na wana vita na chuki kubwa sana juu ya ukristo at the same time wakristo wanaendelea kulala usingizi fofofo wakizani hawa jamaa ni ndugu zetu.
pole sana kama una mawazo haya ambayo me nimeya-highlite
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom