Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,608
Kwani Dini ya kiislamu ni utamaduni wa Zanzibar?WAZANZIBAR WANA HAKI YA MSINGI KULINDA TAMADUNI ZAO SILKA ZAO NA UTAMBULISHO WAO
HILO LITALINDWA KWA KILA HALI NITAKALOKUA NA LIWE
Kwani Dini ya kiislamu ni utamaduni wa Zanzibar?WAZANZIBAR WANA HAKI YA MSINGI KULINDA TAMADUNI ZAO SILKA ZAO NA UTAMBULISHO WAO
HILO LITALINDWA KWA KILA HALI NITAKALOKUA NA LIWE
Mbona vyote vilikuja na meli!!hakuna tofauti baba.Nenda kwa Gwajima viuno church
Hata bandarini ukitoa mzigo Zanzibar utapata usumbufu kana kwamba umeutoa IraqIlibidi vitu vyote. Sheria ,katiba n.k za tanganyika zitumike hadi zanzibar.mtu ukitoka bara kwenda znz unaishi kwa shida utafikiri znz sio tanzania,au vinginevyo watuambie znz ni nchi kamili haipo tanzania.
Wazungu wanatembea na vikaptura vifupi hamna shida, shida ipo kama atafanya Mtanganyika.
Ha ha ha , achana na hayo ninamaanisha wewe umekuza taarifa yako yaani harufu tu ya chakula mtu anavamiwa? Mbona nyinyi watanganyika ambao hamjafika znz mnahisia mbaya kwa hivi visiwa.Ndipo akili yako ilipoishia hapo?
Haya maliza huu mfungo uendelee na ile biashara yako pendwa
Jibu swali: Zanzibar ni non secular state?
Zanzibar sio Tanzania?
Kati ya mgeni aliyetokea Ufaransa na aliyetokea Dar es salaam yupi mgeni hapo?
Au hujaona wazungu wakinywa maji hadharani na kuogelea ufukweni na vichupi?
Kwanini umforce mtu aishi utakavyo?
Pale mwezi wa ramadhani wote ni lazima mfunge ole wako uende kinyume
Wanafurahia kuitwa waarabuJaribu kujenga hoja na kukosoa kistaarabu hakika mtume wetu hajawakosoa manasara wala wayahudi kwa kejeli.
Ndukiiiii![]()
Si kweli ndugu.hakuna anaelazimishwa kufunga,wengi hawafungi sababu jambo la kufunga linatokana na imani.
Kinachopiganiwa zanzibar ni kuipata swaumu iliyo sahihi na ili ipatikane funga iliyo sawa ni lazima kukabiliana na yenye kufunguza.nafsi ya mwanadam imeumbwa na matamanio hivyo kula hadharani kutaathiri funga za waliofunga,kutazama Dada zetu wasiojistiri vema maungo yao itaathiri funga.
Kwa mazingira ya Tanganyika hasa dar na miji mingine mikubwa kufunga kwa usahihi ni jambo gumu sana sababu ya mazingira yenye kufunguza kuwepo bila kukemewa kutokana na uwiano wa dini hizi mbili kuwa sawa.
Kufunga si kujizulia kula na kunywa.
Mkuu hiyo ipo kotekote sehemu yeyote yenye idadi kubwa ya waumini wa imani fulani lazima hiyo imani iwe na athari kwenye hiyo jamii.Nchi ikishakua na Waislam kwa zaidi ya 70% hiyo lazima itaendeshwa kwa sheria za Kiislam tu, japokuwa zinaweza kuwa hazijaingizwa kwenye katiba rasmi, ila nchi itaendeshwa kiislam
Waislam wakishakuwa wengi zaidi mahali lazima wafanye sheria zao ndio sheria za nchi
Wakienda sehemu ambazo wao ndio wapo wachache, wataanza kudai kutengewa naeneo ya kuswalia,
Acha upuuzi hoji Vitu Vya MsingiHabari !
Kwa waliowahi kufika au kuishi Zanzibar kipindi cha mwezi wa Ramadhani, almaarufu kama mwezi mtukufu wamewahi kuona sheria kali zilizotungwa na mamlaka ndogo Ila zina nguvu kubwa kwakuwa wasimamizi wakuu si polisi tena bali ni wananchi na polisi husaidia tu panapohitajika msaada.
Sheria ya namna ya kula chakula au vinywaji wakati wa Ramadhani huko Zanzibar zinakera na kunyima Uhuru wa watu wengine.
Inafika wakati hata kwako ili upike itakubidi ufunge milango na uhakikishe haukaangi maana vyakula vikinukia tu wananchi hao wamekuvamia.
Je, Zanzibar si Tanzania ?
Zanzibar ni non secular ?
Ndio unaambiwa kwa vitendo sio kwa maneno. Ukiambiwa kwa maneno si unaleta majibizano, sasa unaambiwa kwa vitendoIlibidi vitu vyote. Sheria ,katiba n.k za tanganyika zitumike hadi zanzibar.mtu ukitoka bara kwenda znz unaishi kwa shida utafikiri znz sio tanzania,au vinginevyo watuambie znz ni nchi kamili haipo tanzania.
Nchi ikishakua na Waislam kwa zaidi ya 70% hiyo lazima itaendeshwa kwa sheria za Kiislam tu, japokuwa zinaweza kuwa hazijaingizwa kwenye katiba rasmi, ila nchi itaendeshwa kiislam
Waislam wakishakuwa wengi zaidi mahali lazima wafanye sheria zao ndio sheria za nchi
Wakienda sehemu ambazo wao ndio wapo wachache, wataanza kudai kutengewa naeneo ya kuswalia,