Zanzibar ni Non secular state?

Zanzibar ni Non secular state?

No, mimi sina chuki
Mimi napenda binadamu wote tuishi kwa pamoja, na hata kama tuna imani au tamaduni tofauti kila mmoja anaweza kumvumilia na kumheshimu mwenzake

Hii pointi ya chuki ndio kimbilio la Waislam kila wanapokosolewa, ila kwa mtu neutral ataona Waislam ndio wenye chuki kwa wasio Waislam
Mifano ipo mingi kuanzia hapo Zanzibar, Misri, Sudan, Morocco, Saudi hadi Pakistan,ambako ukiwa tofauti na imani ya Kiislam utanyimwa haki nyingi za raia, kunyanyaswa na hata kuuawa

Mkuu Hebu twambie Zanzibar kuna nini kwani kubwa linalokushulisha?

Na Mbona waislamu wanabaguliwa sana India husemi lolote juu ya Ilo? mbona nchi tele Ulaya na kwengine waislamu wanazuiwa hata kupaza sauti katika adhan za ibada zao? sasa kwanini wao wanapokua katika mazingira yao wakijipangia taratibu zao munakua na tatizo nyie?
 
Mkuu Hebu twambie Zanzibar kuna nini kwani
Zanzibar si ndio mnawafungisha watu biashara kisa eti mmefunga?

Zanzibar si kuliibuka makundi yanayoshambulia makanisa, na mapadri, wamekamatwa mnasema wameonewa, hizo ni propaganda za CCM

Kinachotokea Zanzibar kinatokea nchi zote zenye Muslim majority, sema Zanzibar ipo na Muungano na Tz bara, ndio ukaingilia na kuwadhibiti hao waliokuwa wakishambulia makundi madogo ya wasio Waislam
 
Mkuu suala la mapadri ni la uzushi tu. niliuliza bado naomba jibu mbona mpaka leo hakuna aliyekamatwa na kuhukumiwa kwa ufanywaji wa yale matokeo? Jeshi la Poisi kweli limeshindwa kufanya kazi yake?
CCM walichokifanya kuzua ishu ili kujaribu kuzima kilichokua kinatokea. Au hujui kama haya yalitokea kipindi cha ile mihadhara ya kudai referendum kuhusu muungano? kwanini hayajatokea mda mwengine?

Mkuu kuhusu suala la mfungo ni taratibu zao wenyewe. Mbona hao wanaofungu wenyewe hawalalamiki munalalamika nyinyi?
 
Ni uongo kuwa hakuna makanisa yaliyochomwa na mapadri kumwagiwa tindikali?
Hivi kama mnasingiziwa hapo Zanzibar na Mombasa pia wanasingiziwa?

Huko kufungiwa kuuza migahawa ramadhani watu wanalamika, kama hujasikia mimi nimesikia, kuna jamaa tena Muislam alikuwa akihojiwa ba Clouds na kulalamikia serikali kufunga biashara yake kwa nguvu
 
Mkuu bado hujawazoea CCM kwa michezo ya kuigiza?
 
Every woman should have four pets in her life. A chinchilla in her closet, a jaguar in her garage, a tiger in her bed, and a jackass who pays for everything.

Hili ni nje ya mada dada, Hio ndio beleave yako au ume quote maneno tu?
 
Mkuu bado hujawazoea CCM kwa michezo ya kuigiza?
Dah, mzee
Hivi ngoja nikuulize,
Katika kila nchi yenye Muslim majority kunakuwa na Waislam wanaoishi maisha yao kama kawaida, wao wanamuabudu Mungu wao in peace, hawana habari na mtu

Pia kuna watu wengine ambao wanataka kila kitu kiwe strictly cha Kiislam, kuanzia sheria za nchi hadi staili ya maisha na kila mtu lazima atii, hadi Waislam wengi hawakubaliani na misimamo yao mikali

Unakubali kuwa kuna aina hii ya Waislam Duniani?
 
Mku kwanzo bora usichanganye kesi ya Zanzibar na unapozungumzia Islamic in General hapo ndipo tutakapoweza kujaribu kuelewana japo kidogo

Ukitaka kuujua uislamu uusome Uislamu kwa kupitia uislamu wenyewe nasio sehemu nyengine. Na uislamu hauhojiwi kwa matendo ya waislamu bali kwa taratibu za uislamu. Umenifahmu mpaka hapo?
 
Nyerere alikosea sana kuwaacha hawa watu kuwa mabaki ya sultan ange ruhusu wa bara kuingia visiwani na kujitwalia vigori leo tusingeiyona Zanzibar ya uarabu koko na ya kibaguzi.
Teh teh sipati kina Ngosha na Mura wakiwa na watoto wa kizanzibari
 
Back
Top Bottom