Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,810
Nyerere ndie nö 1 alieipoteza Tanganyika!
...
Akumbukwe kwa lipi?
Ivi unajua bila u..... Wa nyerere kusingekua na mivutano hii?
...
Dah! Naskitika sana nikiona mtu anaejiona anaakili timamu afu akaleta story za nyerere kuhusu muungano! Story zenyewe za kumsifia!
...
Wizi mtupu!
Acha ungese mtoto wa kiume,kama unaringia tanzania basi elewa tanzania haijawahi kupata uhuru na wala haijawahi kutawaliwa,jitambue wewe ni mtanganyika.
Naona swali hilo ulipaswa kumuuliza Nape na mwenyekiti wake na mpango wao wa serikali mbili,Zanzibar na Tanzania.Weye umetokea wapi tena?? Tanzania Bara ni nchi gani hiyo tena? Mbona mwatuchanganya nyie?? Na Tanzania ndiyo wapi huko tena?
Hivi Rais wa nchi/Jamhuri ya Zanzibar ni nani?
inauma sana tunapelekwa kama hatuna akili vile
usijibabaishe!
Sema tu wewe ni mshabiki wa serikali mbili!
hapoo ndipo ugomvi ulipo. Ukitaka kugombana na wazenji waambie hivyo tu. Muungano wa kweli ni ule ambao nchi zinapoungana inapatikana nchi moja tu. Sasa huu muungano wetu wa nchi moja kupotea na nyingine ikabaki mi siuelewi kabisa.
Acha wehu we mburula yule mkatoliki alikua na akili sana.Elim yako ya madrasa ndo iliyokupotosha na kuwaza kinyumenyume
Kukosa kiti UM hakuondoi ukweli kwamba Zanzibar ni nchi. Tanzania ni Muungano wa nchi ngapi? Kama ilikuwa nchi wakati wa kuungana na Tanganyika, itaendelea kuwa nchi milele kama ilivyo kwa Tanganyika ambayo imekuwa "ruhani" yaani nchi isiyoonekana.
mkuu mimi ni muumini wa serikali moja tu.
Rais wa Tanganyika ni nani mkuu?
hiyo haiwezekani hadi kurudi kwa masihi
good option ni serikali 3mkuu siwezi kupinga mawazo yako, but kuundwa serikali moja haiwezekani kutokana mchakato unavyoendelea!
...
Jee ikiwa hiyo haiwekani?