Zanzibar ni member wa SADC?

Scotland,Northern Ireland,England and Wales all of these are nations with their own rules but united together to bring up a one strong nation called United kingdom.And the strongest arm overtaking all is England.
Na hilo je unalizungumziaje???
Na hapa kinachoitwa muungano ni nini???
Tanganyika inajulikana km Tanzania bara.
Ukisikia Tanzania bara basi ujue Tanganyika tayari hyo.
Kila muungano wa mataifa una policies zake unaozitengeneza kuhusiana na hiyo Union.
 
Rais wa Tanzania bara ni nani na wimbo wa Taifa lake ni upi , je bendera yake ni ipi ?
 
Muungano Ni UKOLONI TUU FULL STOP
 
Hapa mkuu umejitoa ufahamu hakuna ukweli wowote.... Atuna viongozi wakubwa watano kwenye URTC ya 1977 kwamba shain ni Kama waziri asiye na wizara maalumu labda kwa uteuzi wako
 
Mkuu Pascal Mayalla acha kuibananga katiba ya JMT, wapi imemtaja Rsis wa Zanzibar kama miongoni mwa viongozi wakuu wa JMT? Kwenye JMT yeye ametajwa kama Mjumbe wa BLM. Hii ya kusema ni miongoni mwa viongozi wakuu ni ya kiprotocal zaidi, anakuwa kama senior Minister!
 
Hapa mkuu umejitoa ufahamu hakuna ukweli wowote.... Atuna viongozi wakubwa watano kwenye URTC ya 1977 kwamba shain ni Kama waziri asiye na wizara maalumu labda kwa uteuzi wako
Kiukweli elimu ya uraia inahitajika sana. Kumbe watu hamjui kuwa rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum na alifanikiwa na JPM. Nchi yetu Ina viongozi wakuu 5 wa kisiasa wanaotembea na msafara wa vingora.
  1. Rais wa JMT
  2. Makamo wa Rais
  3. Waziri Mkuu
  4. Rais wa Zanzibar
  5. Makamo wa Zanzibar
P.
 
Rais wa Zanzibar mbona sioni nafasi yake. Labda km kaalikwa ngoma kuja kusherehesha zenye uasili wa visiwa
 
Hoja zako zimekaa vizuri
 
Alikuwa meza kuu? Mbona Kassim Majaliwa kahudhuria alikuwa anawakilisha nchi gani? Lukuvi naye vipi? Shein kahudhuria kama Waziri tu wa JMT
Mnajichanganya kwenye katiba cheo cha waziri kina teuliwa na rais tu na ndiye anaye weza kutengua, je Shein kateuliwa na nani
 
Rekebisha kidogo kuhusu wanaopewa msafara wa ving'ora ... Siku hizi hata DC, Askofu, Shekh, RC, waziri, Daimond, and all the hell wanapewa ving'ora kwa utashi wao
 
Nakataaa labda jaji mkuu nakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…