Zanzibar, Mwanza, Iringa, Mbeya, Arusha, Moshi, Songea, Moro, Dar ni furaha ajabu..

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,856
16,751
Yaani kama huamini ndio hivyo...

Ni shangwe kila mikoa, wilaya...yaani sasa Zanzibar, Unguja na Pemba mama yangu ndio Takbir Allaah akbar....!!!!!!

Yaani ujio wa Lowassa Ukawa ni sawa na kuimwagia CCM conc. acid...!!!

Yaani Furaha ya ajabu ya wananchi tokea mioyoni mwao, kila kona, mitaa, vijiji watu wako ktk TVs, radios tokea jana, wanashangilia tu kama hawaamini vile, wanawapongeza viongozi wa UKAWA kwa akili ya ajabu waliotumia na kuacha maslahi yao binafsi na kuweka Taifa mbele...hasa Mbowe... wanasema Mbowe ni mjanja sana, anajua Siasa za kisasa " Modern Politics" na akili sana...

Yaani utafikiri sijui Yesu karudi Tanzania...Vituo mbali mbali duniani vya radio na Tv, BBC, VOA, ALJAZEERA, DW, Press Tv, etc walirudia rudia taarifa hizo kila mara hadi leo...

Na hii ndio SAUTI YA WATU, ni sauti ya Mungu... VOXY POPULI, VOXY DEI...!!!

Asanteni sana Ukawa, asante sanaaa Lowassa, umebadili kabisa akili za watu mamilioni duniani na mioyo ya watanzania sasa wamepata courage, na uhuru wa kweli, tumetoka ktk utumwa wa kifikra... sasa tuko huru... October sio mbali, haya ndio maamuzi Magumu...

Bravo Ukawa, Bravo Lowassa... na Mungu yuko nasi...!!!
 
Uko zanzbr ipi au znzbar gan umwona wanashabikia hcho npo safarini kuja dar cjakutana na furaha hzo labda ww unitajie ni sehemu gani zanzibar wanafurahi
 
Basi ww ni kiziwi au kipofu vyote...!!!

Wee maalim hauko sawa weye..!!!

Asa mie niseme uongo wa nani..!? tokea jana wee ulikuwa wapi.."? hukuona..? una tatizo labda..
 
Hyo furaha imeanza muda gani nina wiki nipo zenj jana jamaa mpaka anaongea nipo mjini mpaka usiku nipo mitaani na hata leo asubuhi mapaka naondoka npo maeneo ya mjini haya niambie hyo furaha wanashangilia bafuni au chooni
 
Yaani kama huamini ndio hivyo...

Ni shangwe kila mikoa, wilaya...yaani sasa Zanzibar, Unguja na Pemba mama yangu ndio Takbir Allaah akbar....!!!!!!

Yaani ujio wa Lowassa Ukawa ni sawa na kuimwagia CCM conc. acid...!!!

Yaani Furaha ya ajabu ya wananchi tokea mioyoni mwao, kila kona, mitaa, vijiji watu wako ktk TVs, radios tokea jana, wanashangilia tu kama hawaamini vile, wanawapongeza viongozi wa UKAWA kwa akili ya ajabu waliotumia na kuacha maslahi yao binafsi na kuweka Taifa mbele...hasa Mbowe... wanasema Mbowe ni mjanja sana, anajua Siasa za kisasa " Modern Politics" na akili sana...

Yaani utafikiri sijui Yesu karudi Tanzania...Vituo mbali mbali duniani vya radio na Tv, BBC, VOA, ALJAZEERA, DW, Peace Tv, etc walirudia rudia taarifa hizo kila mara hadi leo...

Na hii ndio SAUTI YA WATU, ni sauti ya Mungu... VOXY POPULI, VOXY DEI...!!!

Asanteni sana Ukawa, asante sanaaa Lowassa, umebadili kabisa akili za watu mamilioni duniani na mioyo ya watanzania sasa wamepata courage, na uhuru wa kweli, tumetoka ktk utumwa wa kifikra... sasa tuko huru... October sio mbali, haya ndio maamuzi Magumu...

Bravo Ukawa, Bravo Lowassa... na Mungu yuko nasi...!!!

Walizima umeme jana wakadhani mzigo hautafika Tanzania nzima. Sasa jamaa wameuanika huko duniani. Si mchezo
 
Back
Top Bottom