Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,040
- 9,934
WAZIRI wa Kazi, Uwezeshaji Wanawake, Wazee na Watoto, Maudline Cyrus Castico amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Amekuwa ni mgombea mwanamke wa tano kuchukua fomu hiyo, pia ni wa 32 kwa ujumla wa idadi ya watu waliochukua fomu kugombea urais Zanzibar hadi sasa.