nenda ukalime wewe kabwela... tarehe ya muungano inajulikana na kwahiyo sio kitu cha ajabu kama tu waTanganyika wakisema nawao basi muungano huu inawezekana kuvunjwa... ninacho amini mimi ni kuwa waZanzibari wamechoka kuburuzwa... this is the beginning of the end...
Hiyo Serikali ya Tanganyika itatusaidiaje kuondoa umaskini? Tunashabikia vitu ambavyo mwisho wa siku tutajikuta tunarudi nyuma badala ya kusonga mbele! Zenj wanataka kujikabidhi OIC ili wapewe misaada na Waarabu, Wakoloni wao wa zamani, ndio hiyo move ya kujiita nchi ndani ya nchi!
Hata kama CUF wanataka kuvunja muungano ni haki yao ya kikatiba ya kuwa na mawazo tofauti... muungano utakufa katika uhai wako( utashuhudia kuvunjika kwake) nchi ngapi ziliungana na kuvunja muungano ? kwanini isiwezekane Tanganyika na kuwa kama zamani? kuna mtu mmoja alisema hapa kuwa tatizo sio kuvunjika muungano bali waTanganyika hawapendelei kulitumia tena hili jina lao...inawezekana ikawa ni kweli...
Nyinyi mlivyoiuwa Tanganyika mlitegemea na waZanzibari watafuata ...ZANZIBAR ipo pale pale na hiyo Tanganyika mtairushida tena kama zamani muda sio mrefu sana...acheni kupoteza muda wenu kuishikilia Zanzibar... kuna mikoa mingi hapa Tanganyika inahitaji kuangaliwa...
Sio suala la umasikini, ni suala la kuamua hatima ya nchi yetu. Sina sababu ya kulipa kodi kwa wabunge 80 ambao hawathamini kuwa wao ni sehemu ya muungano,na kisha wakaamua mambo yalio ''nje ya nchi yao'' ndani ya nchi yetu. Hatuwezi kubeba gharama za muungano kwa wenzetu wasioutaka. Mfano Kwanini nilipe umeme bei juu kufidia ule wa bure kwenda zenj. Lakini la muhimu ni kuwa muungano uwe kwa maslahi yetu, kwa mantiki tu 70% ya benefit za muungano zinaenda zenj. Fikiria ajira bara[ 60% znz wanaishi na kufanya shughuli bara],
Watu wa bara approx 40 Million wanafaidika na nini kutoka 900,000 population. !!! je sio kinyume chake!
Janius, baada ya kusema mmewatawazisha, ilitosha sio lazima kumalizia kwa maneno mengine hayo ya ******!.Naona mnatapa tapa tu saivi...alitusumbuwa Nyerere...kweli...kwasababu alikuwa dikteta...basi hata akina Kikwete...na Pinda tumewalea na kuwatawazisha mavi wenyewe...!!!!