Lusajo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2008
- 456
- 30
Naomba kuuliza, hivi Zanzibar (Tanzania Visiwani) kuna viongozi wangapi? na ina watu wangapi jumla?. Kwa sababu nimeona watu wafananishe na Tanzania Bara (Tanganyika) na idadi ya watu, maana nilikuwa nataka kujua "ratio" ya watu na viongozi kati ya Tanzania Bara na visiwani? na Je ni wangapi wanachaguliwa katika viti maalumu kutoka huko? Maana naona kama Viongozi ni wengi sana Zanzibar.