Viongozi mlioko juu naombeni mliangalie kiyakinifu hili swala.

Ritchy Breezy

JF-Expert Member
Dec 9, 2020
391
579
Wakuu,wakubwa kwa wadogo poleni na majukumu.

kuna jambo nataka kushare nanyi wapendwa linaumiza sana nafsi yangu kila nikitafakari.
kuna jambo Viongoz wa tz bara ni kama bado vipofu hiyo haiguarantee hata sisi wananchi tukae kimya au maslahi binafsi ndugu zangu?..
kwanini bara tumeruhusu kwny katiba yetu kuwa raia wa visiwani aweza kuwa rais ikiwa mtu kutoka bara katiba yao hairuhusu hata kuwa makamu kwa mtu alietoka bara?nadhani ni muda sahih wa kufanya marekebsho ya katiba kwenye hlo eneo..
Mtu kutoka Tz-z'br ngazi ya juu ya uongozi ambayo anaweza kuongoza mwisho iwe makamu wa rais na ikitokoea rais akafariki au kupatwa na janga lolote asiweze kuendlea na kuongoza basi-
makamu wa rais atakua rais kama atakua raia kutoka tz.bara lakn hawezi kuw rais kama anatoka visiwani z'bar..
huu muungano ni mzuri lakn complicated sana viongozi kuweni makini kwa maslah mapana ya nchi yetu
NDO MWANZO MTU ANAKOPA KWA JINA LAKO THEN AKAFANYE MAENDELEO KWAO.
viongozi/watu mliopo kweny hii forum lifikishen kwa wahuska.
 
Mkuu haina faida rais kutokea zanzibar sinui bar aende zanzibar blah blah tu wao wapo kitafuta chakula cha watoto wao ile ni kazi yao..wewe aChana nao utaumia kichwa buree tafuta hela ya kubadilisha mboga basi
 
Back
Top Bottom