FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,872
- 109,182
Zanzibar si nchi ya muhimu wala ya maana ni kama Kigamboni, Kisiju.(zumbemkuu).
Achana na Kisiju, umeliona ji refinery linalojengwa huko? wachaaaaa! Pwani ya Tanzania hususan, Mkuranga, Kisiju, Kilwa, Lindi mpaka Mtwara ndio utajiri mkubwa wa Tanzania ulipo. Kama hujawahi kanunuwe viwanja huko, vitawasaidia sana wanao.
::Noor Oil Refinery & Pipeline Tanzania::