Zanzibar iko mbioni kuzama baharini

Zanzibar iko mbioni kuzama baharini

KWA HIYO MKUU UNATAKA KUNIAMBIA VISIWA VYOTE VYA BAHARI YA INDIAN OCEAN VITAZAMA VISIWA HIVYO VIKIWEMO, MAURITIUS, SEYCHELLES, COMORO, REUNION, MADAGASCA n,k

unajua kuwa Zanzibar ni kubwa kuliko visiwa vyote hivyo vilivokuwa jirani na Zanzibar.

Mnafiki mkubwa weeeeeeeeeeeee.........wanasayansi wa uwongo walikupoteza:juggle:
Heee mkuu, unaijua Madagascar??! Rudi darasani kwanza, inaonyesha umetoroka! Visiwa vingi vitazama kwa muda tofauti kwa sababu vimetofautiana miinuko kutoka usawa wa bahari. Kuzama kwa Zanzibar kutakuwa dhahiri kabisa wastani wa miaka 50 ijayo...endeleeni na ubishi.
 
[B said:
ivy blue carter[/B];3207951]loh inaonyesha huna mapenzi na wazenj kbs, unavyohofia izo gharama za uokoaji utadhan zinatoka mfukon kwako bana??
acha izo muungano udumu na ww na wana sayansi wenzio mkalale mbele.

Na binti wa Jay Z yupo humu kumbe,
Siombei mabaya Zbar ila kuhusu gharama za uokoaji yes, huyo jamaa nae atachangia maana analipa kodi.
 
zanzibar ni mkoa,muungano kama hawautaki waseme
 
Hivi Zanzibar au pwani yetu yenye muinuko mdogo ikimezwa na maji faida gani tutapata?
 
Naona mnachambuana na kuchambana sana,Chambueni mada,elezeni ufahamu wenu,si kujiona mnajua kila kitu eti kwa kuwa mna pHD,Masters ya vyuo vya nje ya nchi.Jambo 1 tu ambalo mlizingatie,hakuna aliyekuja na chochote hapa duniani na hayupo atakayeongeza au kupunguza chochote,hayupo kamwe.Hata wewe.Mvua zanyesha zajaza udongo baharini,nani aurudisha?Kisiwa chameguka kile,malighafi toka bara,Arabuni,uzito waongezeka,amin nakuambieni,litatokea.Kisiwa kitabaki kuwa simulizi,ilikuwepo Zanzibar.Subirini kesho.
 
KWA HIYO MKUU UNATAKA KUNIAMBIA VISIWA VYOTE VYA BAHARI YA INDIAN OCEAN VITAZAMA VISIWA HIVYO VIKIWEMO, MAURITIUS, SEYCHELLES, COMORO, REUNION, MADAGASCA n,k

unajua kuwa Zanzibar ni kubwa kuliko visiwa vyote hivyo vilivokuwa jirani na Zanzibar.

Mnafiki mkubwa weeeeeeeeeeeee.........wanasayansi wa uwongo walikupoteza:juggle:

Angalau Reunion na Mauritius vina milima, watu watahamia milimani. Lakini Zanzibar iko karibu sana na usawa wa bahari. Joto likiongezeka kidogo tu na bahari ikayeyuka, vimezama
 
KWA HIYO MKUU UNATAKA KUNIAMBIA VISIWA VYOTE VYA BAHARI YA INDIAN OCEAN VITAZAMA VISIWA HIVYO VIKIWEMO, MAURITIUS, SEYCHELLES, COMORO, REUNION, MADAGASCA n,k

unajua kuwa Zanzibar ni kubwa kuliko visiwa vyote hivyo vilivokuwa jirani na Zanzibar.

Mnafiki mkubwa weeeeeeeeeeeee.........wanasayansi wa uwongo walikupoteza:juggle:

ongea kisayansi mkuu,sioni kitu hapo juu tofauti na kelele za kujihami.
 
FF, sometimes you are too exreme to the extent of loosing simple reasoning.
Kwa kuwa aliyeleta hiyo taarifa ya kuzama kisiwa cha Zbar basi alitakiwa azungumzie kuachana kwa rift valley kupisha bahari! Hiyo kwake haikuwepo, kwa kuwa unayo basi iweke hapa.
Mbona amezungumzia na visiwa vingine pia?
Usiwe na akili za ki-Jusa Jusa bana.
Tatizo ni elimu ahera,hata mtu asome vipi elimu dunia bado ataweka mbele elimu ahera
 
kwa umri wangu nitashuudia mwanza wa tukio hilo(kama mungu akiniwezesha)nitawaambia situliwaambia mkapuuza.
 
achana na kisiju, umeliona ji refinery linalojengwa huko? Wachaaaaa! pwani ya tanzania hususan, mkuranga, kisiju, kilwa, lindi mpaka mtwara ndio utajiri mkubwa wa tanzania ulipo. Kama hujawahi kanunuwe viwanja huko, vitawasaidia sana wanao.

::noor oil refinery & pipeline tanzania::

utajiri wa tanzania au tanganyika?
Kwani swala hili ni la muungano?
Hivyo visiwa kama vingezama before 2020 ningefurahi sana
 
utajiri wa tanzania au tanganyika?
Kwani swala hili ni la muungano?
Hivyo visiwa kama vingezama before 2020 ningefurahi sana

Sasa unafikiri hiyo ramani ikisha chorwa kutakuwa kuna cha Tanganyika hapo? si ndio inazikwa kabisa. Kama kulikuwa kuna mabaki ya kaburi ujuwe hiyo ndio inasawazisha kabisa.
 
Wazanzibari msipige kelele sana, mimi nnachowashauri mfanye style ya Taiwan, wacha huku wapige kelele muungano sijui Tanzania nyie huko wakija kwa visa., Wenyewe wataachia.
 
kama zanzibar ikizama, kigamboni, kawe, ununio hawawezi kupona, kuzama kwenyewe maji yanapanda au visiwa vinadidimia?
 
Katika mkutano wa wataalamu wa sayansi wa kuzindua INTERNATIONAL YEAR OF PLANET EARTH (IYPE) uliofanyika hotel ya Ngurudoto hotel kuanzia tarehe 8-9 may 2008 Arusha na kushirikisha wanasayansi waliobobea kwenye mambo ya Global warming ullripoti kuwa visiwa vyote vya Tanzania ikiwemo Zanzibar na Mafia vitauwa vimezama kabisa majini itakapofikia mwaka 2100.Walieleza mfano wa kisiwa cha Ras Nungwi huko Zanzibar ambacho tayari kimeshamezwa na maji kwa mita 100 na kiwango cha maji kinaendelea kupanda kumeza Zanzibar Taratibu.

Bara tusishangae iko siku tutawaona wanzanzibari wanalilia muungano wakiwa wanaelea kwenye maji kama samaki.
Vizame ili, Tuheshimiane!
 
Dua la kuku ...
We msomi feki, kuna uzi humu ulikuwa unakomaa kuwa utafiti haupingwi bila utafiti mwingine, hapa tunajadili madhara yatakayovikumba visiwa kutokana na uchafuzi wa mazingira na mabadiliko ya hali ya hewa. Wewe kwa unafiki wako unakuja hapa na habari za kuku!!! Kwa hiyo wewe baada ya habari hii umefanya utafiti ili kuipinga ndo ukaibuka na mambo ya kuku??? Au leo kwa unafiki wako unataka kutumia maneno matupu bila utafiti kupingana na utafiti wa kisayansi?! Haya, endeleeni na habari zenu za kuku.
 
Magogoni kuta pona kweli, na eneo kubwa la liji letu liliko kwenye usawa wa bahari vipi?; Kwani wamesema maji yatapanda kwa mita ngapi vile?
Jamani tutunzeni mazingira, Global warming itatumailiza; Japokuwa kina Bush walikuwa wakisema ni usanii mtupu, hakuna ushahidi wa kisayanzi; mie yangu macho.
 
Back
Top Bottom