Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,812
- 11,989
Takwimu za Wizara ya Afya zinaonyesha ugonjwa wa #Malaria umeongezeka takriban kwa Wilaya zote 11 za #Zanzibar, huku Takriban asilimia 90 ya Shehia (Kata) zote (388) zimeweza kuripoti angalau Mgojwa mmoja kuanzia Januari 1-30, 2024
Idadi ya Waliofariki Dunia kwa Malaria kuanzia Januari 1 hadi 26, 2024 ni 11 huku Watu waliolazwa kwa Malaria kuanzia Januari 1-30, 2024 wakiwa ni 334 (Unguja 308 na Pemba 26)
Wilaya zilioripoti wagonjwa zaidi
ni Mjini Magharibi A, Magharibi 'B' na Kati, huku Makundi yanaothirika zaidi ni pamoja na waendesha Boda boda, Wajenzi wa Usiku, wanaokwenda kwenye Kumbi za Starehe usiku pamoja na watazamaji mpira nyakati za usiku.
Zaidi, Fungua kiambatanisho ili kusoma