Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,420
Yanayoendelea Zanzibar yanashangaza ! polisi wamejipa ukubwa wa Kimungu .Zanzibar nchi nzuri inayoharibiwa na wakoloni
Wanaiga kutoka makao makuu ya Mkoloni.Zanzibar nchi nzuri inayoharibiwa na wakoloni
Ukiona panya anajishebedua mbele ya nyau ujue kuna kashimo karibu yake , haya yanayofanywa na polisi wa zanzibar hayakubaliki hata na shetani .Nadhani Kuna mambo mengine ambayo si Ya Lazima Askari wanayalazimisha yatokee tu
Kuna kila aina ya ukweli hapa .Kumbe watu wanaojitoa mhanga sio kwamba walizaliwa na roho mbaya ila ni dhuluma
Hatupendi kufika huko mkuu , ndio maana tunaandika kila ubaya ili wakubwa wauone .Hakuna mtu aliyezaliwa gaidi,
Andaa mil 7Zanzibar nchi nzuri inayoharibiwa na wakoloni
Za nini?Andaa mil 7
Za safari ya kwanda kuny£# debe alaf ckuiz hakun cha wakili wala nnZa nini?
Daah kama ni hivi hali si nzuri, mtuhumiwa si ana haki ya kuwa na wakili?CHAMA cha Mawakili Zanzibar ( ZLS ) Kimesema Naibu Mkurugenzi wa Mashitaka Zanzibar ( DDCI ) , Salum Msangi amevunja sheria za nchi kwa kuwatishia kuwaunganisha na wahalifu wanaofanya vitendo vya hujuma mawakili wote watakaowatetea watuhumiwa hao.