Hapana ndugu yangu hakuna anaye wng'ang'ania.Mkuu ndo maana nikasema nyinyi hamuwezi kufanya maamuzi magumu bado munataka kutunyonya kama nchi ndogo na pato lake dogo haiwezi kuchangia katika serekali ya muungano kwanini bado munanganga nayo si iwacheni halafu how many times wazanzibar washaonyesha hisia za wazi kwamba muungano hatuutaki mfano ni jumbe huyo huyo ulomtaja ndo aloingia matatizoni kwasababu ya kuhoji muunga wangapi wengine wameingia matatizoni kwa kuhoji muungano HADI SASA MUUNGANO KUUHOJI NI DHAMBI NA SHERIA HAIRUHUSU KUZUNGUMZIA KUUVUNJA na ndo maana unakuta tunatumia ujanja kama kuuvunja ni kesi basi leteni muungano wa wa mkataba unakuta wengine wanajitoa fahamu hawajui eti nini muungano wa mkataba halafu sisi wazenji tumeuzunguza wazi kabisa kama muungano hatuutaki na baraza la wakilishi wameongea kwamba hauna faida na sisi.
HATA KAMA KUNA BAADHI YA WAZANZIBAR WANATAKA MUUNGANO LAKINI MUUNGANO GANI si huu wa kudharauliana kwamba kijinchi kadogo sijui uchimvi gani sasa kama mulijua nchi ndogo ilikuaje mukaungana nao nyinyi mababu hapo ndo utaona kwamba mulikua hamna dhamira njema na hilo tuliliona mapema tulipomaliza kuungana tuu mwaka mmoja tuu mukaanza kubadilisha na kuongeza vitu kwenye mkataba wa muungano na mwisho wake mzee karume alivyoshtuka mukaona ahh ataharibu kila kitu ndo MR X akamaliza kila kitu.
SWALI lini nyinyi watanganyika (jina hamlitaki munataka tanzania bara) mulokaa bungeni mukaongea kwamba muungano hauna faida kwenu tuachane nao hamuwezi na wala hamutaweza sisi ndo tutakaouvunja muungano kwasababu kuna jambazi moja linajifanya kubwa na janja.
TUACHIWE TUPUMUE MIAKA 50 INATOSHA YA UNYONYAJI
Nguruvi3,
Duh! Yaani kweli jamaa yetu safari hii umedhamiria kutuhamisha hapo Tanganyika kwa haraka mno! Kwi! Kwi!
Yaani ndugu yangu JokaKuu maskini,kakwita hata two-seconds hazijafika, umeshakuja jamvini na kutoa hukumu yako kali kabisa!
Lakini kumbuka yakuwa hata Nyerere kipenzi chako,akifufuka leo,basi mtu wa kwanza kumkaba koo itakua ni wewe...maana wewe ndo mmojawapo ya Vinara vya kuendeleza tashtit na taarifa za urongo ili kukandamiza na kudhihaki huo "Muungano"!
Ahsanta.
Cc;Mag3
Nilivyokuelewa ni kuwa kurudishwa kwa serikali ya Tanganyika itakuwa ni afueni kubwa kwa Mtanganyika.Technically Tanganyika ndiyo Tanzania.
Anayelalamika kuhusu Tanzania ni znz. Kama Tanganyika ingekuwa na serikali basi ingekuwa rahisi kufanya ufanyavyo.Lakini Rais wa muungano ndiye ni rais wa znz pia kiufundi.
Pili, Tanganyika muda mrefu wamekaa kimya hadi siku za karibuni waliobaini kuwa uongo wa kunyonywa haupo.
Kashafa na maudhi ndivyo vinasukuma suala hili.
Fikiria, Tanganyika na Watanganyika wamebaguliwa sana visiwani katika kila jambo.
Hakuna siku wamesema wanalipa kisasi vinginevyo waznz wapaato laki 4 wangeonja adha na maudhi ya ubaguzi
Kwa mantiki hiyo anayelalamika kuhusu kunyonywa ni mznz na sisi tunawasaidia kuwaambia znz inawezekana kabisa nje ya muungano, wasichotaka kukifanya ni kuondoka katika muungano unao wanyonya, wanabweka tu
Pamoja na hayo tunaweka mezani kuwa kama wanadhani wananyonywa na sisi tunajua wananyonya na pengine kwa uzumbu kuku wetu hatujui hivyo, sasa ni wakati waamue kusuka au kunyoa. Kwa bahati mbaya hawajui wafanyae nini.
Kinachosikitisha ni pale wanapotaka muungano, tukiwambia tukae meza moja tuzungumzie kitu cha kwanza katika karatasi zao ni vyeo na ajira. Tukiwaambia vipi gharama wanakimbia na kusema hawawezi.
Sasa unadai vipi kitu usichogharamia?
Nafasi imetolewa kuhusu kuandika katiba. Wao walichokiona ni wingi wa wajumbe na si kura ya maoni.
Tanzania haiwezi kudai kura ya maoni yake yenyewe kwasababu humo ndani lipo jina(lipo jina tu) la znz. Kufanya hivyo ni kuwaonea.
Kura ya maoni ya Tanzania inaweza kukataa au kukubali muungano lakini je ni haki kwao kwa kuzingatia idadi yao?
Popote duniani mwenye malalamiko ndiye anapewa nafasi ya kufanya hivyo
Ireland wamepewe fursa ya kuamua hatima yao ndani ya British empire
Sudan kusini wamepewa fursa hiyo wakajitenga
Eritrea wamepewa fursa hivyo wakafanya kweli
Timor mashariki wamepewa fursa hiyo
Hata Tibet wanadai fursa hiyo na si China
Puerto Ricco wamepewa fursa hiyo wakaamua
Quebec wamepewa fursa hiyo wakaamua
Zanzibar wamepewa fursa hiyo, wanchomoa chomoa kwa maneno.
Wakiwa Pemba midomo mipana sana wakivuka bahari kimya.
Huwezi kusema muungano mbaya wakati una wajumbe katika tume ya Warioba.
Huwezi kusema hutaki muungano wakati unadai wajumbe zaidi wa bunge la katiba.
Kinachoonekana ni kubabaika bila kujua wanataka nini.
Pengine nikuambie kuwa Tanganyika walitaka kura ya maoni, kwabahati mbaya wao ndiyo Tanzania hivyo nguvu yao ina limitations na vikwazo. Znz wangeweza kutokana na mifano hapo juu ya nchi nyingine.
Wamechomoa, hawataki! kelele tu
Kama rasimu ya katiba ingefuata utaratibu suala hili lingeisha vizuri sana.
Leo tungekuwa tunaongelea matatizo ya Tanganyika bila kelele za kipuuzi.
Kwabahati mbaya hilo halikutokea.
Hata hivyo pamoja na kutokubaliana na utaratibu na tume ya Warioba in general bado kuna elements nzuri sana za kuutua mzigo.
Katika mambo 22 sasa yamebaki 7 na wala si 11 ya awali.
Katika yale yaliyoondolewa mengi yalikuwa zigo la karafuu mgongoni mwa Mtanganyika.
Kama ikitokea serikali 3 basi Mtanganyika atakuwa ametua sehemu ya mzigo.
Kinachotakiwa kwa Mtanganyika ni kuhakikisha kuwa hiyo serikali ya 3 inachangiwa sawa.
Kama wanadai vyeo, kupokezana uongozi kama urais, kudai ajira sawa LAZIMA waje mezani kujadiliana wakiwa na kitu na si porojo hadithi na uongo kama wa Membe kutoka VISA, waziri wa mambo ya nje asiyekuwepo au kunyonywa kwa kuibiwa sh bil 240 ambazo hazitoshi hata kuendesha wizara ya akina mama na watoto.
Ndio maana tunawambia Watanganyika wae macho na mbinu za hawa jamaa za kudai bila kuchangia.
Kwanini Mtanganyika alipe kodi na kodi hiyo iende kumsomesha mtoto wa nchi jirani huku ikimwacha mtoto wa kitanganyika akitaabika. Why!
Kama hawataweza kuchangia hiyo serikali ya muungano, basi wakae kimya tutawaambi wapi washiriki.
Huwezi kutoa 0 na mwenzako 10 halafu mkadai kugawana sawa sawa mapato! hesabu hizo mwisho Chumbe.
Utaratibu wa vyeo na ajaira uambatane na kuchangia gharama. Hilo lazima walitambue na hakuna hoja itakayojengwa kwa usawa, nchi udogo au nini. Kinachotakiwa ni kitu wala si maeneno na pelepele zisizo na mashiko.
Technically Tanganyika ndiyo Tanzania.

Sasa anataka report ya JFC ili kupata nini zaidi? Pili, yeye hajaweka lakini anadai iwekwe, na nani. Kama anadhani kuna jambo kubwa katika JF Barubaru aliweke hadharani.
Mwenyekiti wa kamati ya fedha ya BLW kasema mapato ya znz ni bilioni 240.
Nimeweka bbajeti ya znz kwa mwaka 2013 katika uzi mwingine.
Inaonyesha mapato ya ZRB na TRA ambayo kwa pamoja na mapato hayajafikia bilioni 500.
Rais sheni kasema wznz wasidharau hiyo 4.5 wanayopata katika muungano. Akauliza znz inachangia kitu gani hadi ilalamike?
Ukisoma bajeti ya znz mambo yafuatyo hayamo
Ulinzi na usalama (ambao wenyewe tu unaweza kuchukua 1/2 ya 240)
Mambo ya ndani (1/4 ya 240)
Elimu ya juu (1/8 ya 240)
Na bado wana access katika mambo yasiyo ya muungano kama afya.
JFC itasaidia nini kwa hesabu za bilioni 240!
Hakuna usawa kati ya Tanganyika na znz hata siku moja. Ni mwendawazimu peke yake anayeweza kudhani kitu kama hicho kipo.
Hawa watu ni kuachana nao, hatuwezi kuishi kwa malalmiko kila siku. Hatuna tunachopoteza.
Tuwaache wajenge Dubai yao ya wakati wa Sultan. Znz yenye uchumi imara inawezekana kabisa lakini lazima wawe tayari kujikomboa kwa kuukata muungano si kudai idadi ya wajumbe bunge la katiba, kamati ya Warioba, vyeo au ajiira.
Let them go !
Hii nyuzi haihusu mambo ya dini. Unachotaka kufanya ni kutuondoa katika mada na ukweli. Tafadhali kama huna hoja kaa kimya.
Tumechoka kusikia habari zako zisizo na mshiko.
Joint financial committee report imewekwa wazi. Hicho ndicho unatakiwa uchangie kwasababu umeomba siku nyingi sana.
Pili, mwenyekiti wa kamati ya fedha ya BLw kasema hamuwezi kuchangia, hilo ndilo unatakiwa uzungumzie
Tatu,
Tafadhali sana usichafue uzi kwa hoja zisizo husika, kama una hoja tofauti anzisha uzi.
Hapana ndugu yangu hakuna anaye wng'ang'ania.
Tume ya Warioba mumetaka usawa wa wajumbe.
Badala ya kudai kura ya maoni ninyi mkaamua kuwachagua akina Ally Saleh wa BBC. Sasa hivi kimyaa
Ninyi mnadai muungano wa mkataba. Sasa kama hamtaki muungano mnataka mkataba wa nini wakati mnatakiwa mkaijenge znz ya kabla ya mwaka 1963.
Bunge la katiba mumedai wajumbe zaidi. Khaa! sasa kama hamtaki muungano mnataka wajumbe waje kufanya nini?
Mlipeleka wajumbe wa tume kwa Warioba wakafanye nini. Mnataka mkataba wa nini.
Ndugu yangu, hebu onyesha wapi Tanganyika ina mnyonya mzanzibar!
Sheni kauliza hivi katika 4.5 mnazopata za pato la taifa ninyi mnachangia kiasia gani?
Mwenyekiti wa kamati ya fedha anasema mapato yenu ni bilioni 240 kwa mwaka. Kwa bajeti ya ulinzi na uslama ambayo ni zaidi ya bilioni 1,300 ina maana kuwa znz bila kuondoa hata senti tano katika 240 haiwezi kuenedha wizara hizo kwa miezi 3.
Hapo nina maana bila kuondoa hata senti tano ya mshahara wa Sheha au ndege za kubeba mikaa kutoka Pemba.
Bajeti ya znz ya mwaka 2013 mapato ya ZBR ni bilioni 100. Hebu onyesha wapi unanyonywa tena naomba uzungumzie TRA
Hebu tueleze wapi mnanyonywa hasa.
Al Akhiy,Barubaru,
Wajua,hapo umegusia kitu cha ukweli na undani mwingi mno.
Lakini wenyewe Wabara aka Watanganyika wanakuwa wakali mno ukigusa hayo maslahi ya Kanisa...sasa hivi huu mnakasha watauvuruga na wataanza kutuita sisi ni "Wadini"/"Magaidi"!? Dah! Yaani tafrani tupu!
Ngoja tuwakurubishe hawa waungwana wawili akina Mag3 na Nguruvi3 hapa jamvini,tuone watakuja na sarakasi zipi kwalo!? Kwi! kwi!
Ahsanta.
Barubaru hebu sasanbua tunakusubiri mchumi.Barubaru, Nguruvi3, gombesugu, Boko haram,
..ripoti ya mapato ya Tanganyika na Zanzibar nimewaleteeni.
..mbona hamtaki kuijadili mmebaki kushambuliana tu??
..kama hamna haja nayo semeni niiondoe, lakini mnitake radhi kwa usumbufu.
..ripoti hii hapa chini. hebu changamkeni basi.
http://www.jfc.go.tz/downloads/mapato.pdf
Imewekwa hapo, toa darsa mchumi.hawana lolote hao zaidi ya porojo za kisiasa tu na hawana moja katika ilmu ya uchumi na hawataki kudarsishwa.
Hata hiyo Joint Finance Commission ni mimi wakwanza kuwaeleza tena niliwasaidia mpaka kuwaambia afisi zao ziko wapi waende kuangalia hizo ripoti badala ya kuleta vijineno vya kwenye vilabu vya ulevi.
Upande wangu nipo tayari kuwadarsisha kila ninapopata wasaa japo wakti mwingine nakua mzito sababu kuuubwa WAO NI WATU WA KUNUNG'UNIKA KILA WAKTI. na hakuna dhambi mbaya kuliko dhambi ya kunung'unika ,( Allah atuepushe nayo).
lakin mdogo mdogo wataelewa tu. Sijakata tamaa katika kuwadarsisha
Haa hivi si mnasema muungano mbaya unawanyonya, sasa mnataka mkataba wa nini tena wakati mnalilia mamlaka kamili.Mkuu,
Sisi tumetoa maoni yetu kama tunataka mkataba jee nyinyi Watanzania bara(Watanganyika) mumesema nini katika maoni yenu??
Kuonesha onyanyaji wa mtanganyika ni rahisi la kwanza kujiuwa na kujitangaza yy ni Tanzania wakati yy ndo mshirika wa muungano la pili kuongeza mambo kwenye mkataba wa muungano tatu kulazimisha viongozi wetu kujiuzulu kana kwamba wao ndo wametuchagulia unataka zaidi ama...... chama kuingiza katiba yake katika sheria za nchi na pia chama kuwa msemaji wa serikali ya muungano badala ya serikali mbili.
Munatugaia 4.5 sisi hatuchangii sawa jee tunajua Tanganyika inachangia ngapi na inachukua ngapi ilikufa baada ya kuzaliwa tuu??? Raisi shwena kusema tunagaiwa haki yake maana nyinyi ndo mulomuweka pale unafikiri atatetea znz na wananchi wake kumchagua mumchague nyie atutetee sisi mhh.
Bajeti yetu ni 240 b hushangai ww kama mtanganyika kuungana na watu ambao bajeti yao ni ndogo population yao ndogo kuliko hata mkoa wenu mmoja halafu hiyo ni bajeti yetu jee na ile ya misaada ya nje ambayo munatumia jina la Tanzania kuchukulia nyinyi bajeti yenu tangu mupate uhuru munagaiwa kama ombaomba na nyenzo mnazo,mwisho ndo maana mukaambiwa muwe wasagaji tuu muzidi kugaiwa na mwisho wake nafikiri unaujua utakuaje kuomba omba kila siku.
TUACHIWE TUPUMUWE MIAKA 50 INATOSHA YA UTUMWA
Barubaru hebu sasanbua tunakusubiri mchumi.
JokaKuu usiiondoe maana hiyo ndiyo utatupa ukweli. Hawa kwa hadithi hawawezekani, ukitaka kumpata mzanzibar mtupie namba.
gombesugu,
..barubaru hawezi kuleta taarifa za Joint Finance Committee ya Tanzania.
..anafahamu kwamba taarifa hizo zinasema kitu kilekile kilichoelezwa na huyo mwakilishi.
..hivi kwani kuna ajabu gani ktk maneno ya mwakilishi? wa-Tanganyika tuko milioni 40++, wa-Zanzibari hamzidi millioni 3, sasa mtuweza vipi kuchangia sawa na sisi?
..mwisho nawaomba msilete mambo ya dini. masuala ya MOU yana thread yake maalumu, hapa siyo mahala pake.
Barubaru, Nguruvi3, gombesugu, Boko haram,
..ripoti ya mapato ya Tanganyika na Zanzibar nimewaleteeni.
..mbona hamtaki kuijadili mmebaki kushambuliana tu??
..kama hamna haja nayo semeni niiondoe, lakini mnitake radhi kwa usumbufu.
..ripoti hii hapa chini. hebu changamkeni basi.
http://www.jfc.go.tz/downloads/mapato.pdf
Nadhani unaona ushahidi mwenyewe, hivi jamii inapoamini kuwa waziri wa mambo ya nje anatoa VISA hapo kuna kitu gani kwa lugha nyepesi.Yaani hizo kashfa,stereotypes na prejudices ndo ulizofundishwa!?
Hivi ni kweli kwa yakini unayaamini hayo uloandika hapo;yakuwa Wazanzibar hawajui asilan hisabati/takwimu!? Duh!!
Pole yako!
Mufti Barubaru naUlamaa Boko Haram...tafadhali wala nyie msichambue lolote/chochote,maana sie "hatujasoma" pia ati ni "wavivu" wa kusoma..."hatujui! kusoma wala kuandika!? Ndo yaleyale!
Al Akhiy,hawa jamaa zetu hamuwawezi kwa malumbano yaso tija,shughulikeni nao tu pale mjisikiapo mna fursa/wasaa wa kuchezea...khasa huyu Nguruvi3!
Ahsantani.
Yaani hizo kashfa,stereotypes na prejudices ndo ulizofundishwa!?