Zanzibar haina uwezo kuchangia sawa na Bara’

Sisi Waislam wa Tanganyika tunataka huu muungano uvunjike tupambane vizuri bungeni ukiangalia bunge letu lote sisi Waislam eti tunawakilishwa na Waislam wa Zanzibar ili aliwezekani, bunge letu asilimia 95 limejaa Wakirsto hiyo aslimia 5 ni kutoka Zanzibar bora huu muungano uvunjike tu tupiganie haki zetu.
 
Tumechoka bora huu muungano uvunjike twende pasu kwa pasu.
 
Zanzibar haina uwezo kuchangia sawa na Bara’

Na Sharon Sauwa, Mwananchi

Posted Jumanne,Novemba12 2013 saa 24:0 AM

KWA UFUPI

Inadaiwa haina mapato kujiendesha na kuchangia Muungano kama Srikali tatu zitapitishwa Katiba Mpya

Dodoma.Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Fedha na Uchumi ya Baraza la Wawakilishi la Zanzibar, Salimin Awadhi Salimin amesema Zanzibar haitakuwa na uwezo wa kuchangia uendeshaji wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano kama muundo wake utakuwa wa Serikali Tatu.

Amesema Zanzibar haiwezi kuchangia hata kwa asilimia 10, hivyo kuukubali mfumo huo kunauweka Muungano katika hatihati ya kuvunjika. Katika utekelezaji wa utaratibu huo, Tanzania Bara na Zanzibar kila moja inatakiwa kuchangia asilimia 50 ya gharama za uendeshaji wa shughuli za Serikali ya Muungano.

Akizungumza katika semina ya Wabunge wa Muungano na Wawakilishi wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar mjini Dodoma jana, Salimin alisema hali hiyo inatokana na udogo wa uchumi wa Zanzibar na kusisitiza kuwa mfumo wa sasa wa serikali mbili ndiyo unafaa.

Rasimu ya kwanza iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba Julai mwaka huu ilikuwa inapendekeza kuundwa kwa Serikali Tatu; za Muungano, Tanzania Bara na ile ya Zanzibar.

Alisema wakati wa kujadili mfumo huo ni lazima kuangalia suala la kiuchumi katika Serikali mbili zilizopo, iwapo zina uwezo wa kugharimia uendeshaji wa Serikali ya Muungano.

“Tunapokuwa na Serikali ya Tanganyika, tunapokuwa na Serikali ya Zanzibar, tunapokuwa na Serikali ya Muungano kwa vyovyote vile matumizi yatakuwa makubwa mno,” alisema Salimin katika semina hiyo iliyoandaliwa

na Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), kujadili Rasimu ya Katibu Mpya.

Alisema Serikali ya Muungano itatakiwa kuhudumiwa kwa mapato yanayotoka katika Serikali mbili zinazounda Muungano, jambo ambalo Serikali ya Zanzibar haiwezi.

“Mimi ni Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Uchumi ya Zanzibar, nauangalia uchumi wangu wa mapato ya kila mwaka. Je, tunaweza kuchangia hata asilimia 10?” alihoji.

Alisema mapato ya Zanzibar kwa mwaka 2013/2014 ni Sh240 bilioni tu na kutoa mfano wa Wizara za Mambo ya Ndani na ile ya Ulinzi ambazo ziko chini ya Muungano kuwa bajeti yake ni kiasi cha Sh1.3 trilioni kwa mwaka wa fedha wa 2013/14.

Alisema amepiga hesabu na kugundua kuwa gharama ya kuendesha wizara zote za Muungano inakadiriwa kuwa Sh3 trilioni.

“Kama Sh3 trilioni zitahitajika katika kuendesha Serikali ya Muungano, sisi Zanzibar tukiambiwa tuchangie hata asilimia 10 tu ambayo ni sawa na Sh300 bilioni tutaweza?” alihoji Salimin.

Chanzo: Gazeti la Mwananchi

Tunaelewa Tanganyika inaumia sana zanzibar kudai mamlaka yake ndio mana mumechanganyikiwa kila mara munatumwa kuleta hii thread., kwa ufupi zanzibar ikawa na uwezo isiwe na uwezo sasaiv Wazanzibar wameamka, Zanzibar ya sasa siyo ile ya zamani na sasaiv Wazanzibari mpaka wahakikishe bendera yao ya zanzibar inapepea UN., pa pa pa pa.!,
 
Tunaoiombea sana bendera hiyo na wimbo wa taifa. Tunawaombea mema sana. Tanganyika haina maumivu yooyote kwasababu haihitaji znz. Labda utueleze maumivu hayo ni yapi kama unayo japo moja.

Pili, bendera na wimbo wa taifa havitoshi kama kuna jeshi la nchi jirani.
Tatu, sasa hivi mambo mzuri kabisa, kama mnataka bendera na wimbo wa taifa basi msije Dodoma.
Mwambie Ally Saleh na wajumbe wengine 14 wajitoe katika tume.

Kama wajumbe wa tume ya Warioba watafikisha rasimu ya mwisho katika bunge la katiba ambalo wznz watakuwepo, basi hapo bendera itapepea Chumbe na mwisho wa sauti ya wimbo wa taifa itakuwa mji mkongwe.
New york itakuwepo ile iliyopo, tena ikipepea na mungu ibariki Afrika.
 
@JokaKuu , hizo balozi na mambo mengine yote yanalipiwa na Tanganyika.
Utashangaa sana eti wanasema nafasi za ubalozi ziwe sawa. Hawa hawajui gharama wanajua vyeo na ajira baasi. Sheni kasema hilo wazi kama rais sasa wachumi uchwara wanataka tuamini 240 ndizo Tanganyika inazinyonya.

Kuhusu jeshi, hilo halimo katika bajeti ya SMZ tangu mwaka 1964.
Hilo hawalisemi wanachotaka ni misaada sawa sawa.

Tena walikwenda mbali na kuuliza eti kwanini hakuna mkuu wa majeshi aliyewahi kutoka znz, bila aibu wala haya.Hawajui gharama wanajua vyeo tu.

Mwenyekiti wa kamati kasema wao mapato yao bila kuondoa senti tano ni bilioni 240 ambazo zinatosha kuhudumia tume ya Warioba tu. Angalia moto wao wakati wanataka wajumbe wawe sawa, hawajui gharama wanajua nafasi za ajira na vyeo.

Leo wanasema muungano unawanyonya, tumewaambia wasije katika bunge la katiba ili kila kitu kiishe, hawataki.
Nimemsoma GHIBUU, kama walivyo wznz wengi wanataka mamlaka kamili halafu wanataka mkataba na Tanganyika.

Nimewauliza mkata uhusu mambo gani, hakuna jibu.
Hili swali hakuna anayeweza kulijibu kwasababu wanajua mkataba unahusu gharama za ulinzi, ajira, ardhi na soko la watu milioni 40.

Tanganyika haitafaidika na mkataba huo kwasababu kuna nini cha kushirikiana na znz the least to say.
Ndio maana umepiga stop Chumbe

Wanasema Tanganyika inawanyonya, nauliza katika mambo 22 yaliyokuwa ya muungano ni yapi Tanganyika ilifaidika kupitia mgongo wa znz.
Katika yale 15 yaliyoondolewa nani ameathirika zaidi. Tanganyika imepoteza nini kwa kuondoa 15.
Hawana jibu, kelele tu, namba hawataki kabisa kuzisikia.

Mkataba wanaosema ndio ukupe wenyewe kwa lugha laini. Maana yake msituache tubebeni kiaina.

Hawa jamaa muda wa kuwaone haya umekwisha ni kuwapa kavu kavu bila mchuzi.
Kama wanataka mkataba wafanye na Mohamed Dewji au Mengi ambao mapato yao yanalingana nao.

This time around hatutaki kubebana tena, njooni Dodoma na kitu mezani. Kama mna 240 semeni halafu mkae kimya mwenye kitu asema.

Mkija Dodoma mkubali kuwa muungano mnautaka na uwe mwisho wa kelele zenu.

Tumechoka, miaka 48 ya roba la karafuu sasa basi.

Tuacheni tupumue, nendeni mkaijenge znz ya neema. Tunawatakiwa heri sana. Hatuwahitaji mnatuhitaji

Nguruvi3, JJ(cert of std VII, member of village planning committee, ten cell leader)
The public enemy Number 1

Eti gharama za balozi zinaendeshwa na Tanganyika ? Hivi wewe nambie una elimu gani ? Unafahamu vipi mambo ya uchumi na uwendeshaji kwa ujumla ?

Nikufahamishe kwanza mgeni yoyote ambaye anaetaka kuja zanzibar lazima aombe visa kwa kupitia balozi ya tanzania, hivi kuna wageni wangapi wanaongia zanzibar kwa mwaka ? Hivi hizo pesa zinakwenda wapi ? Zanzibar munaipa 4.5 .

Kuna kitu kimoja ambacho watanganyika munajichanga au sijui hamuelewi, zanzibar ni nchi, hataka kama ina watu 10, ina haki sawa na nchi yoyote ile, eti kuwa zanzibar ina watu 1.5 milioni haiwezi kuchangia sawa na Tanganyika katika muungano ? Mbona hoja hizi hazina mashiko ? Hivi Rwanda na uganda katika EAC zinatoa asilimia 10 au 15 kutokana na udogo wao ? Au kila mwanachama anachangia sawa katika EAC ?

Nadhani tungejifunza muungano wa EAC tusiende mbali huko EU, acheni ujinga ambao usikuwa na maana, Zanzibar haiwezi kuchangia asilimia 50 kama haijarudishiwa mamlaka kamili ya nje na ndani, ili iweze kujikwamua kiuchumi, nasema tena kama zanzibar itakuwa huru asilimia hamsini inaweza kutoa ispokuwa kama tutachangia asilimia hio, lazima katika mgao asilimia 50 tupewe , iwe kifedha, madaraka,uwongozi,wizara katika uwendeshaji, na mengine.

Kama hamuelewi bado endeleeni kupiga kelele, ikiwa muna hoja njoo ukumbi wa salama zanzibar tuwafahamishe, kwa kumalizia wale wote ambao wanapiga kelele kwamba kwanini tuna ng'ang'ania muungano, ukweli ni kwamba sio kama hamujui zanzibar inatawaliwa kimabavu ingawa tunaserikali yetu, jeshi lote liliopo pale linaendeshwa na serikali ya muungano, munao uwezo wa kuwanya vyoyote viongozi wetu, na wananchi wake na sio leo wala jana mwaka 2001 muliwauwa zanzibar wengi tu, kisa kulazimisha kutawala ccm, na serikali ya muungano inahusika kwa mauwaji, viongozi wetu wanahofu ya kuongea katika suala la muungano, na ndio mukaona hata rais wa zanzibar hana kauli yoyote ile, hata maoni yake binafsi juu ya muungano hawezi kutoa, kazi kusema eeeh chama changu serikali mbili.

kumbukeni JUMBE mulimvua urais dodoma, kila alitaka kuja na azimio la serikali tatu, huo ndio utawala wa mabavu wa dodoma , chinjio la viongozi wa zanzibar.

Kama kutaitishwa kura ya maoni zanzibar juu ya huu muungano, nakuhakikishieni utakataliwa haswa hautakiwi tena, hilo suala la mkataba ni suala ambao lilikuwa haliepukiki, kutokana na mfumo ambao bubu uliwekwa wa sheria juu ya mchakato wa katiba.
 
GHIBUU , kama balozi zinapata mapato ya VISA kw watalii wajao znz, nani analipa mishahara ya balozi hizo na nani anahudumia wizara ya mambo ya nje kama alivyosema Rais Sheni..Kumbuka znz haina bajeti hiyo.

Pili, kama ni suala la watalii kuingiza mapato vipi suala la ulinzi na usalama ? Mapato ya znz yaningia eneo la muungano kutoka chanzo gani?

Vipi elimu ya juu, pesa zinaingia kutoka znz kwa utaratibu gani

Tatu, hayo ya EU ni wazanzibar wameshauri. Sisi tulisema kwanini tusikutane EAC au SADC kwa amani na salama. Hatujawahi kutaka mkataba wa Uswiss , Hong Kong n.k.

Nne, nimekuuliza endapo mkataba utakubaliwa, je ni mambo gani wazanzibar wanataka yawe katika mkataba. Hili lipo straight forward halihitaji mabavu au shinikizo.

Tunahitaji jibu kutoka ukumbi wa salama, mnapendekeza nini kiwe katika mkataba.

Na kwanini mnapanedekeza mambo hayo, na yana faida ipi kwa pande zote mbili.

Tano, kwavile mumetaka mamlaka kamili tunauliza hiyo serikali ya muungano itachangiwaje? Nusu kwa nusu au kwa kuangalia udogo na eneo?

Sita, kama unakubali kuwa Zanzibar ni nchi kama mshirika Tanganyika hilo ni kweli na sawa kabisa. Sasa mbona tukizungumzia gharama mwenyekiti wa kamati ya fedha anasema hamuwezi? Je wewe na mwenyekiti wa kamati mnapingana kwa lipi?

Saba, Sheni ameuliza, znz inachangia nini katika ulinzi na usalama, mambo ya ndani, mambo ya nje n.k. Wewe una maoni gani kuhusu kauli ya Sheni.

Nane, kwavile unadhani kura ya maoni haiwezekani(inawezekana mumekataa), swali labgu kwako ni hili

  1. Kwanini mumekubali wajumbe wa tume ya Warioba washiriki mchakato?
2. Kwanini mumekubali na kudai idadi kubwa ya wajumbe wa bunge la katiba?

Tisa, je kwa kuzingati hoja namba 8 hapo juu unaweza kurudia tena kuwa wznz hawataki muungano? Na kama hawataki hayo niliyoyataja hapo 8 yametokea kwasababu zipi.

Hebu tuendelee kidogo kudadavua hoja baada ya nyingin
 
Last edited by a moderator:
Tunaoiombea sana bendera hiyo na wimbo wa taifa. Tunawaombea mema sana. Tanganyika haina maumivu yooyote kwasababu haihitaji znz. Labda utueleze maumivu hayo ni yapi kama unayo japo moja.

Pili, bendera na wimbo wa taifa havitoshi kama kuna jeshi la nchi jirani.
Tatu, sasa hivi mambo mzuri kabisa, kama mnataka bendera na wimbo wa taifa basi msije Dodoma.
Mwambie Ally Saleh na wajumbe wengine 14 wajitoe katika tume.

Kama wajumbe wa tume ya Warioba watafikisha rasimu ya mwisho katika bunge la katiba ambalo wznz watakuwepo, basi hapo bendera itapepea Chumbe na mwisho wa sauti ya wimbo wa taifa itakuwa mji mkongwe.
New york itakuwepo ile iliyopo, tena ikipepea na mungu ibariki Afrika.

1. Wakati saiv Zanzibar ipo ktk harakati za kudai mamlaka kamili kama hapo awali tulivyougana na Tanganyika., nyinyi tanganyika mumeshindwa kuonyesha uzalendo pia kudai Tanganyika yenu, mumejivisha koti la Tanzania peke yenu ili benefit zote kutoka mataifa ziishie chumbe hazifiki zanzibar wakati neno Tanzania lilipatikana baada ya kuungana herufi 3 kutoka zanbar na 3 kutoka Tanganyika. maumivu yenu sasa yanakuja mutalikosa jina Tanzania na hamutaki jina lenu kuitwa Tanganyika, then Zanzibar ina vitega uchumi kibao ambavyo munatunyanyasa mtavikosa., kwani hujuwi? hilo 1.

2. Kwa sababu Tanganyika ilifanya hadaa na kuifanya zanzibar mkoa miaka yote hiyo ndio mana hata jeshi mumetuziba macho majeshi yote ni vichogo kutoka bara. tukiwa huru na mamlaka tutakuwa na jeshi letu hatuhitaji wakuria kutoka bara., kumbuka vita ya Idiamini ni majeshi ya zanzibar yaliyomkomesha idiamini dada

3. Kuja dodoma ndivyo mulipotugaragiza tena wazanzibar kwamba kila jambo liamuliwe dodoma zanzibar muliondoa hayo mamlaka miaka yote hiyo tokea babako wa taifa nyerere, sasa basi tutafanya maamuzi yetu kama nchi Zanzibar. Ally Saleh atakuja dodoma ili kuinasua zanzibar kwenye makucha ya Tanganyika na hapo ndio mwisho wa Dodoma., dodoma mtakutana nyinyi na chadema na NCCR mageuzi.,

4. Wimbo wa Taifa upo mjomba, Zanzibar ilipindua kwa mtutu wa bunduki tofauti na nyinyi Tanganyika nchi yenu mulipewa tu Zanzibar ilipigana kiume kutoka kwenye makucha ya wakoloni ndio tukapata uhuru wa zanzibar nenda katika historia usome., na bendera ya zanzibar ilikuwepo na inshaalah itarudi na itapepea UN kama kawaida.

''Siisi soteee tumeegombokaa kwa ndugu zeeetu walopotea, walio walio pigania nchi yetu makusudi makusudi ya kutugomba hatusaha hatusahau maisha yetu kwa roho kwa roho zao walozitoa ......................''
 
Nimeulizahebu taumbieni ni misaada kiasi gani znz inakosa? Hebu weka namba.

Je, bilioni 30 zilizopelekwa znz bila kujua ni za nini zilitoka nchi gani?
Je, ulinzi na usalama mnachangia kipi ambacho mnadhani ni zaidi ya misaada mnayopata?
Je, wizara ya mambo ya ndani, nje na ulinzi na usalama kama alivyosema Sheni hamchangii, ni uongo?

Je, wale wanafunzi wanaopewa mikopo wasiorudisha tofauti na wabara wanalipiwa na nani kutoka hazina Dar.
Je, mishahara inayotoka hazina Dar kwenda SMZ (Muulize komandoo na Aman) ipo katika fungu gani?
Hivi kupewa umeme uisolipia siyo msaada au lazima utoke ulaya
Je, 4.5 mnayopata kutoka pato la taifa ninyi mnachangia nini katika hulio pato?

2.Kwani wakati wa vita ya Amin Znz ilishiriki vipi ( Echolima).
Brigedia ngapi zilitoka znz na ilimwadabisha vipi Amin?Ziliharamiwa vipi. Hebu weka namba(samahani )

3.Mkishakuja Dodoma mumeshakubali kila kitu. Kwanini msigome kuja kabisa.
Mtafanya jambo gani ambalo mlishindwa kulifanya kwa kukubali tume ya Warioba.

4. Haa!!! leo imekuwa znz ilipindua kwa mtutu! si kila siku mnasema ni mamluki kutoka bara waliofanya mapinduzi.Wapi unasimamia wewe, mapinduzi daima! au mapinduzi zii.Zipo kambi mbili, wewe upo kambi ipi.

5.Tunataka sana bendera ipepee UNO lakini hilo halitokei kama hamtafanya maamuzi magumu.
Maamuzi magumu si kutia mguu Dodoma, maamuzi magumu ni kama yale mlioshindwa ya kura ya maoni, tume ya Warioba.

Mkataba ubaki Chumbe, njooni Tanganyika mrudi salama

Hizo porojo mtafute Salimn Awadh na balozi seif ali iddi akupe hizo hesabu za uongo ambazo Tanganyika inaisaidia Zanzibar., lakini mbona hukutaja trilioni ngapi zanzibar inaidai Tanganyika fedha zake taslim ilizochangia kuanzisha benki kuu? na hadi leo mapato mnabana huko?

Eti umeme bure, ivi wewe umekuwa mwehu kiasi gani hata usifahamu kwamba zanaibar inalipia umeme kutoka Tanganyika kama vile ambavyo tungeingia mkataba na nchi jirani au nyengine yeyote kupata huduma hiyo tena kwa nafuu zaidi?

Matrilioni mangapi munainyanyasa zanzibar kwenye mapato yanatoka zanizbar kwenda tanganyika kuanzia ushuru wa bandari hadi biashara ndogo ndogo zinazofanywa na wajasiria mali kutoka Zanzibar.

Mikataba yote ya kimataifa imeingia na serikali ya Tanganyika, Rais Dr. shein akija Tanganyika amekuwa kama mjumbe wa nyumba 10.,

kura ya maoni vipi? Zanzibar asilimia 66% walitaka mkataba uvunjwe muungano huu wa kidhalim

Naelewa mkuu ww ni shemegi yake Pinda., ila fahamu kwamba Zanzibar sasa imeamka na ukweli ni kwamba haturudi nyuma mamlaka ya Zanzibar yanakuja soon., izo serikali 3 zikiwepo na muungano ambao utakuwepo kuuvunjia kabisa ni dakika 5 tu., mumeingia kwenye mtego mtaumia sanaaa na ndio maana sasa munaenda mbio ili turudi kwenye serikali 2., haiwezekani ngooo!!

Thuluthi 2 iliyokubalika kwa upande wa Zanzibar na thuluthi 2 kutoka Tanganyika inatosha kuukata mzizi wa fitina kwenye Bunge la Katiba hakuna tena simple majority., utaenda ww na kibaka prof. kapuya kupiga makofi dodoma., shuwain

kumbe mumeumiaaa enn., na bado sasa ngoja maalim seif 2015 awe Rais wa Zanzibar hii ni rasha rasha tu mkuu, lo siento amiga.,

Lakini mkuu yote ya nini haya sisi tunataka nchi yetu tu. Kwa nini mnataka kunufaika kupitia mgongo wa Zanzibar., emu kama ni mzalendo dai Tanganyika yako usiwe mtumwa hadi kufa kwako., jikazeni hilo jina la Tanganyika ni lenu wenyewe.,
 
Narudia tena na tena, Wazanzibar wakija Dodoma wamekubali muungano, period.
Kama hawataki muungano wasije na bunge la katiba halitakuwepo.
Ukumbuke wametoa maoni tume ya Warioba ukiwa ni ushahidi kuwa wamo katika mchakato wa kuandika katiba.

Tuliwaambia wasusie tume wao wakaona idadi ya ajira 15 ni muhimu sana, wakamtanguliza Ally Salehe wa BBC ambaye sasa kakaa kimya anavuta mapesa. Hivyo mkija Dodoma kaaeni kimya muambie nini kifanyike.

Pili, hakuna kelele za madai ya kuanzisha benki kuu. Nadhani unajua katika 4.5 znz inayopata haichangii hata senti tano.

Tatu, tukianza kuweka hesbabu za ulinzi na usalam mtauza kisiwa.
Nne, usisaahu kuwa miaka 48 znz haijachangia chochote kwasababu mwaka 2013 wana bilioni 240 pungufu ya za Mzee Reginald Mengi.

lakini pia kama mnadai kitu vunjeni muungano msuluhishia atatafutwa mtapewa mnachokidai.
Wewe unadai asilimia 11 mwenzako asilimia 89.

Hata kama itakuja asilimia 90 ya wznz Dodoma, kitu wanachopaswa kuelewa ni kuwa wamekuja wenyewe.
Makao makuu yatakuwa Dodoma na watakuja Dodoma. Wakisha panda meli tu kuvuka bahari, kelele wanaacha chumbe, hesababu na mantiki zinatangulia.

Thisi time around hatusikii la udogo au wingi. Ukitaka usawa ni lazima uchangie sawa.
Haiwezekani uchangie kidogo halafu ule sawa. Hizo hesabu mwisho chumbe.

Na watakapokuwa wanakuja bendera ya taifa ndiyo itakuwa mbele, wimbo wa taifa ni mungu ibariki Tanzania.
Wakridui na kufika malindi wafungue vitambaa vyao na na nyimbo au kwaya.

Message ni kuwa as long as mtakuja Dodoma mkubali yaishe. Period.

pole sn mkuu, Zanzibar lazima ije dodoma kuzimaliza nguvu za Tanganyika kwa Zanzibar.,, kama umewahi kusikia Adui lazima huuliwa kwa silaha yake ndivyo ambavyo tutaikata mizizi CCM Dodoma.,,

Ivi ww huna macho? Warioba ndio mulimtegemea mbona amekuangusheni ameleta mfumo wa serikali 3 badala ya 2 muzlizokuwa munaziabudu? mbona munaenda mbio saivi hamlali serikali 3 hamzitakiiii? ivi ww upo dunia gani? waulize wenzako wametoka jasho hadi la meno.

ngoja nikutoe uchafu wa maskio sasa., nimewasikia wenzako wanalalamika kwa hofu wanasema serikali 3 zanzibar lazima itakuwa na mamlaka yk alafu huu muungano wakati wowote nutavunjika hautadumu., tunawacheka sana sisi ndio target yetu., period! Serikali 3 ndio mfumo uliokuwa kwenye ilani ya chama cha CUF., period!

chupi imewabana., we are comming dodoma to kill CCM for the last tym., period! ww kama mbabe toka kifua mbele udai Tanganyika yako usiwe mtumwa ndani ya nchi yk., Tanganyika ndio nchi yenu muliyopewa bila jasho na wakoloni, Zanzibar ilipigana kiume kutukomboa, period!

Lakini usjali ukiwa na passport yk au permit maalum utakuja zanzibar kutembea unywe kahawa na kashata na halua, jioni utaenda kula piza au urojo foro, muda wako ukiisha utasepa ndivyo watu wanavyoishi katika nchi za watu duniani.,
 
Hoja ipo wapi, mimi sina ufundi wa matusi.
Kwa uchache ninaweza kutumia namba matsui nilidahfeli mtihani.

Ni hivi hata hizo 3 sifikirii ndio maana nawahimiza wznz wasije Dodoma kabisa.
Fuatilia rekodi utaona nilivyosaidia kutoa mawazo ya znz huru.
Tatizo znz ni woga hawapo tayari wakipewa fursa.Wkairudi malindi na vijibweni kelele sana.

Ni hivi kuja Dodoma ni kuja makao makuu ya nchi.
Mkija Dodoma mlete kitu mezani si maneno , kudai vyaeo au ajira.

Halafu mkishatua Dodoma mumekubali yakaisha. BLW juzi walikuja Dodoma na habari ya kuomba znz isamehewe gharama kwasababu inachangia herufi tatu za muungano. Wakirudi Unguja utasikia kelele. No, this time tunasema wekeni kitu mezani.

Naona wewe ni mchanga sana
Tume ya Nyalali ili[endekeza serikali 3 wakati Seif wa CUF akiwa CCM na serikali mbili
Tume ya kisanga ilipendekeza serikali 3 wakati huo Seif yupo magereza
Tume ya mwanzo ya warioba *acha ya sasa* ilipendekeza serikali 3

Hivyo serikali 3 ni wazo lililokuwepo wakati Maalim wa CUF akiwa CCM na magereza.
Yeye hana lolote kuhusu hili. Siyo wazo la CUF

Lakini pia Maalim wa CUF amesema hataki serikali 3 akisadiwa na Ahmed Rajab na akina Jusa.
Lipumba ambaye ni mwenyekiti anasema serikali 3. Kwahiyo ni makosa kusema CUF ina msimamo juu ya hili.

Maalim Seif alishakana serikali 3 akisaidiana na Waarabu Ahmed Rajab, Jusa na Ally Salehe.
Wao wanataka mkataba ambao Tanganyika imesema haina sababu ya mkataba na znz ila znz inaweza kuwa na mkataba na Reginald Mengi wa Tanganyika.Ndio maana Maalim amebaki nao Chumbe na hautavuka.

Mkija Dodoma mumekubali kila kitu na mtakjuja tu kwasababu mnahitaji muungano kuliko tunavyowahitaji.
Mtakuja tu znz haiuzungushi mbele ya Tanganyika teh teh teh teh
 
Sisi Waislam wa Tanganyika tunataka huu muungano uvunjike tupambane vizuri bungeni ukiangalia bunge letu lote sisi Waislam eti tunawakilishwa na Waislam wa Zanzibar ili aliwezekani, bunge letu asilimia 95 limejaa Wakirsto hiyo aslimia 5 ni kutoka Zanzibar bora huu muungano uvunjike tu tupiganie haki zetu.

Kumbe ccm ni ya WAKRISTO eeh? Maana wabunge waliojaa bungeni ni wa chama hicho. Watamzania ndio waliwachagua hao wabunge WAKRISTO au ccm mlichakachua mshinde uchaguzi kisha mkajaza WAKRISTO BUNGENI?
We ritz ni MDINI sana, hufai katika jamii ya wanadamu!
 
GHIBUU,

..I am 100% with u.

..tushirikiane kupitia EAC au SADC.

..mambo yote kama ulinzi, biashara, etc etc yapo ktk mikataba ya vyombo hivyo.

..tena nchi mwanachama inaruhusa ya kuchagua kipengele gani isaini na kipi isisaini.

..haya malumbano ya Tgk vs Znz hayawezi kuisha ikiwa tutakuwa wawili peke yetu.

..kwasababu muungano wa sasa hivi umeingia ktk hali ya kutoaminiana, itasaidia sana tukiwa na wenzetu katika jumuiya kama ya SADC au EU kupunguza migogoro moja kwa moja baina ya wa-Tgk na wa-Znz.

cc gombesugu, Barubaru, Nguruvi3

Maneno sawia kabisa kwani hata ukiangalia kihistoria, kimaadili na hata kiuchumi nchi hizi mbili huru haziwezi kabisa kuungana bali kilichofanyika ni kuunganisha kimabavu na kuanza kuburuzana. na ndio maana Kero za Muungano kila kukicha zinaongezeka badala ya kupungua. Ni kwa sababu historia inawasuta na kuwahukumu.

msingi mkubwa ni KUUVUNJA kabisa kisha kama mtakubaliana tena muunde muungano kwa kushirikisha wananchi (kwa maana waulizwe kama wanataka nchi hizi ziungane na aina ya muungano).

Kwa sasa hakuna jinsi zaidi ya kila mtu achukue mbao zake kwa amani na usalama..
 
Hoja ipo wapi, mimi sina ufundi wa matusi.
Kwa uchache ninaweza kutumia namba matsui nilidahfeli mtihani.

Ni hivi hata hizo 3 sifikirii ndio maana nawahimiza wznz wasije Dodoma kabisa.
Fuatilia rekodi utaona nilivyosaidia kutoa mawazo ya znz huru.
Tatizo znz ni woga hawapo tayari wakipewa fursa.Wkairudi malindi na vijibweni kelele sana.

Ni hivi kuja Dodoma ni kuja makao makuu ya nchi.
Mkija Dodoma mlete kitu mezani si maneno , kudai vyaeo au ajira.

Halafu mkishatua Dodoma mumekubali yakaisha. BLW juzi walikuja Dodoma na habari ya kuomba znz isamehewe gharama kwasababu inachangia herufi tatu za muungano. Wakirudi Unguja utasikia kelele. No, this time tunasema wekeni kitu mezani.

Naona wewe ni mchanga sana
Tume ya Nyalali ili[endekeza serikali 3 wakati Seif wa CUF akiwa CCM na serikali mbili
Tume ya kisanga ilipendekeza serikali 3 wakati huo Seif yupo magereza
Tume ya mwanzo ya warioba *acha ya sasa* ilipendekeza serikali 3

Hivyo serikali 3 ni wazo lililokuwepo wakati Maalim wa CUF akiwa CCM na magereza.
Yeye hana lolote kuhusu hili. Siyo wazo la CUF

Lakini pia Maalim wa CUF amesema hataki serikali 3 akisadiwa na Ahmed Rajab na akina Jusa.
Lipumba ambaye ni mwenyekiti anasema serikali 3. Kwahiyo ni makosa kusema CUF ina msimamo juu ya hili.

Maalim Seif alishakana serikali 3 akisaidiana na Waarabu Ahmed Rajab, Jusa na Ally Salehe.
Wao wanataka mkataba ambao Tanganyika imesema haina sababu ya mkataba na znz ila znz inaweza kuwa na mkataba na Reginald Mengi wa Tanganyika.Ndio maana Maalim amebaki nao Chumbe na hautavuka.

Mkija Dodoma mumekubali kila kitu na mtakjuja tu kwasababu mnahitaji muungano kuliko tunavyowahitaji.
Mtakuja tu znz haiuzungushi mbele ya Tanganyika teh teh teh teh

Jamaaa kwa kunung'unika huyu. Pole sana.

badala ya kulalamika na kusema WaZnz tumeewaambia wasije Dodoma , NI VIZURI USEME TUTAWAZUIA PALE AIRPORT AU BANDARINI WASIJE TANGANYIKA KUHUDHURIA VIKAO VYA BUNGE NA MENGINEYO.

Kwani kusema tumewaambia BILA MATENDO ni sawa na kunung'unika na kungoja fadhila na huruma ya wasomaji jambo ambalo ni aibu kwa nchi kubwa kama Tanganyika.

Pole sana
 
Hoja ipo wapi, mimi sina ufundi wa matusi.
Kwa uchache ninaweza kutumia namba matsui nilidahfeli mtihani.

Ni hivi hata hizo 3 sifikirii ndio maana nawahimiza wznz wasije Dodoma kabisa.
Fuatilia rekodi utaona nilivyosaidia kutoa mawazo ya znz huru.
Tatizo znz ni woga hawapo tayari wakipewa fursa.Wkairudi malindi na vijibweni kelele sana.

Ni hivi kuja Dodoma ni kuja makao makuu ya nchi.
Mkija Dodoma mlete kitu mezani si maneno , kudai vyaeo au ajira.

Halafu mkishatua Dodoma mumekubali yakaisha. BLW juzi walikuja Dodoma na habari ya kuomba znz isamehewe gharama kwasababu inachangia herufi tatu za muungano. Wakirudi Unguja utasikia kelele. No, this time tunasema wekeni kitu mezani.

Naona wewe ni mchanga sana
Tume ya Nyalali ili[endekeza serikali 3 wakati Seif wa CUF akiwa CCM na serikali mbili
Tume ya kisanga ilipendekeza serikali 3 wakati huo Seif yupo magereza
Tume ya mwanzo ya warioba *acha ya sasa* ilipendekeza serikali 3

Hivyo serikali 3 ni wazo lililokuwepo wakati Maalim wa CUF akiwa CCM na magereza.
Yeye hana lolote kuhusu hili. Siyo wazo la CUF

Lakini pia Maalim wa CUF amesema hataki serikali 3 akisadiwa na Ahmed Rajab na akina Jusa.
Lipumba ambaye ni mwenyekiti anasema serikali 3. Kwahiyo ni makosa kusema CUF ina msimamo juu ya hili.

Maalim Seif alishakana serikali 3 akisaidiana na Waarabu Ahmed Rajab, Jusa na Ally Salehe.
Wao wanataka mkataba ambao Tanganyika imesema haina sababu ya mkataba na znz ila znz inaweza kuwa na mkataba na Reginald Mengi wa Tanganyika.Ndio maana Maalim amebaki nao Chumbe na hautavuka.

Mkija Dodoma mumekubali kila kitu na mtakjuja tu kwasababu mnahitaji muungano kuliko tunavyowahitaji.
Mtakuja tu znz haiuzungushi mbele ya Tanganyika teh teh teh teh

Hata kama tume za nyalali na kisanga zilitaja serikal3 maalim akiwa wazr kiongoz ccm au jela kwani ni kosa baada ya kuanzisha chama cha CUF katika ilani ya chama cha CUF kuwepo mfumo wa serikali 3?? period., ni kwa sababu hii ilionekana kwa wakati ule ingekuwa suluhisho kwa tanganyika kutoendelea kuinyanyasa zanzibar.

Ivi kwa mtazamo wako ww haya mamlaka kamili inayodai zanzibar yameanzishwa na CUF?? haya yalianza tokea rais wa kwanza wa Zanzibar baada ya kuona Tanganyika wanafanya hila katika muungano ndio nyerere akaamua kumtwanga risasi Rais Karume na kumuua., kutoka hapo ilikuwa mtu yeyote kuutaja muungano ni uhaini anasekwa ndani na anaitwa muhaini., nani asiyejuwa?

Halafu ufahamu siyo CUF tu iliyotaka Makataba, WAZANZIBARI asilimia 66% kwenye kura ya maoni ndio walitaka muungano wa mkataba., lakin kwa sababu warioba tume yk haikutaka mkataba wakapendekeza serikal 3 wazanzibari pia wameona ni hatua nyengine mbele isipokuwa muhim bado tunataka mamlaka na tayari rasimu imesema muungano utakuwa wa shirikisho wa nchi 2., kwann kusiwe na mamlaka zanzibar? tunasubir rasimu ya 2.,

ww na salmin awadh kaeni na hesabu zenu za vidole zanzibar haina uwezo wa kuchangia muungano sijuw sh bili 240., time is too late brother mamlaka ya zanzibar yanakuja soon inshaalah., endelea kuwa mtumwa ndani ya nchi yk usitetee tanganyika yako.,
 
Back
Top Bottom