Zanzibar haina uwezo kuchangia sawa na Bara’

Zanzibar haina uwezo kuchangia sawa na Bara’

....kwa kuzingatia idadi ya watu wa Znz vs Tanganyika, unafikiri Znz inastahili asilimia ngapi ya misaada toka nje, na nafasi za ajira ktk serikali ya muungano??
JokaKuu watu mitini!
Kuna maneno umeyatumia hayatakiwi katika mada. Mfano, idadi na asilimia. Haya yanahusisha namba na tawimu ambazo 'sisi hatuzitumii kule kwetu' teh
 
Barubaru,

..kwa kifupi ni kwamba labda, labda, mnaweza kujigharimia wenyewe.

..lakini hamuwezi kuwa pamoja na sisi milioni 40++ halafu tukagawana gharama za matumizi 50/50.

..Mwenyekiti wa Kamati ya Uchumi na Fedha ya baraza la wawakilishi amekiri hivyo.

..hata takwimu toka TRA kama zilivyonukuliwa ktk ripoti ya JFC zinabainisha suala hilo.

..ningekuwa nataka kumfunga mtu kamba nisingeleta taarifa ambazo zina ushahidi wa kitakwimu.

..hizo takwimu ni facts. tunaweza kuwa na different interpretations, lakini hatuwezi kubadilisha hizo facts.

cc gombesugu, Nguruvi3
Dawa ya muungano huu ni mkataba tu, hatuhitaji rais wala bunge,wala mawaziri, ni pande mbili za muungano tu kukubaliana mambo ambayo tutakayo kuwa na ushirikiano kama jirani, kila upande uwe na mamlaka yake kamili nje ndani.

Huu muungano hatuwezi kuchangia asilimia 50 kwa sababu vyanzo vyote vya uchumi vimehodhiwa na serikali ya muungano, ni vyema kama tutakubaliana kuchangia asilimia hamsini, basi zanzibar inahitaji mamlaka kamili ili iweze kujikwimu kiuchumi , uwezo tunao.

Pia sio kuchangi tu asilimia hamsini, hata katika kugawana mapato na uwendeshaji wa serikali lazima tugawane kwa asilimia 50 , ni kweli kwamba idadi ni kubwa upande mmoja wa muungano na mwengine ni mdogo, lakini tunaweza tukawa na ushirikiano mzuri tu kama tutakubaliana na kuridhiana, sio kwa kulazimishana, ni mambo yanahitaji kujadiliwa kwa kina na muda, na sio kukurupuka, wenzetu bara la ulaya kabla hawajaunda EU, walikaa miaka mingi sana hadi kufikia muungano huo, sisi tunakurupuka.

Nadhani kwanza Tume ya Katika ikatuletea katiba ya Tanganyika na pia kuipa zanzibar mamlaka kamili kwanza, na kutoa muda kwa kila upande wa muungano, kukaa na kujadili suala la muungano, mambo gani tushirikiane, hilo ni suala linahitaji muda mrefu.

Kwa kumalizia tu, sioni haja kuwa na muungano huu, ni bora kila upande ukawa na mamlaka kamili na kujiamulia mambo yake tukakutana EAC ushiriano mzuri.
 
..nakubaliana na hoja yako kwamba idadi ya watu ni muhimu.

..kama ni hivyo mbona mnataka mpewe 10% ya misaada toka nje?

..mbona mnataka mpewe 20% ya ajira ktk serikali ya muungano?
Mbona walitaka wajumbe sawa wa tume ya Warioba? Mbona wanataka wajumbe sawa wa bunge la katiba? Mbona wanataka kupokezana nafasi za uongozi wa nchi? Mbona wanataka idadi ya viongozi wa serikali ya muungano wawe sawa?
Mbona wanataka kuwe na uwiano wa mabalozi(upumbavu) sawa?
JokaKuu siku zote penye mafao mzanzibar anataka usawa. Penye gharama anataka idadi ya watu na eneo.
Ndio maana nasisitiza kuwa hesabu na matumizi ya namba hayapo huko visiwani.

Lakini pia lazima barubaru aelewe kuwa kukusanya mapato na kuchangia muungano ni vitu viwili tofauti.
Znz imechangia bilioni 24 katika muungano zingine katika Trilioni ni Tanganyika.
Znz hiyo hiyo ikachotewa bilioni 32 zisizo na kazi kupitia ofisi ya makamu wa rais anayefanya kazi za znz lakini kulipwa na Tanganyika.

Hakuna mznz anayeongelea gharama za ulinzi na usalama ambazo ni zaidi mara 7 ya mapato ya znz kwa mwaka mzima.
Hawajui gharama hizo lakini wanauliza misaada.

Hakuna mznz anyeuliza gharama za wanafunzi 1000 wa znz wanaolipwa na mapato ya Tanganyika.
SMZ imeggharamia wanafunzi 800 kasema sheni. Hapa nina maana kati ya 1800, 1000 wanalipwa kutoka hazina Dar

Wameshindwa kulipa umeme, yaani power halafu kuna mtu anasema wanonewa.
Umeme wanadaiwa zaidi ya bilioni 100 ambazo ni 40 ya pato lao kwa mwaka.
Kati ya hizo bilioni 20 zimeliwa na ZEC, lakini wznz wanasema ni kwasababu ya muungano.

Hivi kuna uwinao gani wa asilimia 20 ya ajira kwa watu milioni 1 ukilinganisha na 80 kwa watu milioni 40.
Hapa ni namba tu zinasumbua maana wenzetu namba wanaziona kama adui.

Tume ya Warioba inachangiwa 0 na SMZ kama litakavyokuwa bunge ambalo wanajiandaa kuja.
By the way bajeti ya tume ya Warioba ni takriban 230 sawa na mapato ya 240. Tukisema tucahngia nusu ina maana zan wanabaki na 120 bilioni.

Wabunge wao waliopo Dodoma wengine wakiwa na majimbo sawa na mitaa wanalipwa kutoka hazina Dar kwa kuwakilisha nchi jirani. SMZ haitoi hata senti tano,halafu kuna mtu anataka usawa, kama si uzuzu sijui ni kitu gani

Wakati Mramba akiwa waziri wa fedha, pesa za mishahara zailitoka Dar kwa cheki ya bilioni 20 kila mwezi kulipa wafanyakazi. Kuna watu wanasema eti znz inaidai Tanganyika.

Kilichopo mbele yetu ni bilioni 240, bajeti ni bilioni 700, hakuna anyejiuliza hiyo tofauti anatoa mjomba gani?
Ni namba hakuna kuuliza maana utakuwa umegusa adui mkubwa wa wznz.

Nimeuliza hapa, naomba niambiwe nani na wapi aliwahi kuongelea hesabu kati ya makundi na watu hawa
1. Maalim Seif 5. Nasor Moyo 10. BAKAZA
2. Ahmed Rajab 6. Profesa Shariff 11. UAMSHO
3. Jusa 7. Amani Karume 12. BLW
4. Mansour Himid 9. Duni Haji 13. SMZ

I wish wasiende Dodoma

Samahani nimeka namba, sasa nasubiri matusi

Let them go!
 
..ndugu yangu kuna majedwali ktk hiyo ripoti yanaonyesha kinachokusanywa Znz na kinachokusanywa Tanganyika.

..any way, mimi na wewe tumetoka mbali. nakuelewa unachotaka kusema. tuachane tu na huu mjadala kwasababu naona hausongi mbele.

cc gombesugu, Nguruvi3

JokaKuu,

Tafadhali kuwa mstahamilivu japo kiduchu...najua sindano ya Al Duktuur Mufti Barubaru inauma mno,lakini vumilia ndugu yangu!

Naona Maalim Nguruvi3,katukana mno humu jamvini sasa kachoka na wala hakuna alomwopoa...ati sasa anajifanza yakuwa yeye katuwekea nambari na kwa kuwa sisi twaogopa mambo ya nambari kama anavyodai,basi yeye sasa ati anasuburia "matusi" tu!? Kwi! Kwi!

Wajua humu JF,kuna vituko/vitimbi na vichekesho vingi mno! Dah! Kwi! Kwi!

Najua huyo Nguruvi3,anashadidia mno pale umzongapo Mufti Barubaru,yaani imekua kama vile wewe wapiga ngoma naye huyo Nguruvi3 ndo kageuka mchezaji wako! Dah!

Mie natarajia punde kurejea tena hapa jamvini,takujibu kiduchu baadhi ya bayana zako pamoja na zile za huyo Nguruvi3.

Mag3...tafadhali jongea hapa jamvini. Kuna wakti wewe "ulinilaumu" mie binafsi yakuwa ati "sipendi" kuchangia masuala makubwa ya nchi/Taifa ati kwasababu "sina" uchungu/sijali hizo khabar!?

Sasa mbona wewe Mag3,umekimbia humu!?...au unaona hayo masuala ya ngono za huyo Bwana Kapuya ndo muhimu kuchangia kuliko kuja jamvi hili!?...yaani "naona umeshikilia bango" mpaka umfunge maskini yule "Mzee wa Watu wa Kinyamwezi"!?Dah! Haya bana! Kwi! Kwi!

Ahsantani sana.
 
JokaKuu watu mitini!
Kuna maneno umeyatumia hayatakiwi katika mada. Mfano, idadi na asilimia. Haya yanahusisha namba na tawimu ambazo 'sisi hatuzitumii kule kwetu' teh

Hatujakimbia asilan!

Ni kwamba tu,tuna shughuli nyinginezo ambazo ni muhimu zaidi kuliko malumbano haya ya punda na farasi! Kwi! Kwi!

Ahsanta.
 
Dawa ya muungano huu ni mkataba tu, hatuhitaji rais wala bunge,wala mawaziri, ni pande mbili za muungano tu kukubaliana mambo ambayo tutakayo kuwa na ushirikiano kama jirani, kila upande uwe na mamlaka yake kamili nje ndani.

Huu muungano hatuwezi kuchangia asilimia 50 kwa sababu vyanzo vyote vya uchumi vimehodhiwa na serikali ya muungano, ni vyema kama tutakubaliana kuchangia asilimia hamsini, basi zanzibar inahitaji mamlaka kamili ili iweze kujikwimu kiuchumi , uwezo tunao.

Pia sio kuchangi tu asilimia hamsini, hata katika kugawana mapato na uwendeshaji wa serikali lazima tugawane kwa asilimia 50 , ni kweli kwamba idadi ni kubwa upande mmoja wa muungano na mwengine ni mdogo, lakini tunaweza tukawa na ushirikiano mzuri tu kama tutakubaliana na kuridhiana, sio kwa kulazimishana, ni mambo yanahitaji kujadiliwa kwa kina na muda, na sio kukurupuka, wenzetu bara la ulaya kabla hawajaunda EU, walikaa miaka mingi sana hadi kufikia muungano huo, sisi tunakurupuka.

Nadhani kwanza Tume ya Katika ikatuletea katiba ya Tanganyika na pia kuipa zanzibar mamlaka kamili kwanza, na kutoa muda kwa kila upande wa muungano, kukaa na kujadili suala la muungano, mambo gani tushirikiane, hilo ni suala linahitaji muda mrefu.

Kwa kumalizia tu, sioni haja kuwa na muungano huu, ni bora kila upande ukawa na mamlaka kamili na kujiamulia mambo yake tukakutana EAC ushiriano mzuri.
Kwa mfano mambo gani? Hebu tutajie matatu tu.
 
GHIBUU,

..I am 100% with u.

..tushirikiane kupitia EAC au SADC.

..mambo yote kama ulinzi, biashara, etc etc yapo ktk mikataba ya vyombo hivyo.

..tena nchi mwanachama inaruhusa ya kuchagua kipengele gani isaini na kipi isisaini.

..haya malumbano ya Tgk vs Znz hayawezi kuisha ikiwa tutakuwa wawili peke yetu.

..kwasababu muungano wa sasa hivi umeingia ktk hali ya kutoaminiana, itasaidia sana tukiwa na wenzetu katika jumuiya kama ya SADC au EU kupunguza migogoro moja kwa moja baina ya wa-Tgk na wa-Znz.

cc gombesugu, Barubaru, Nguruvi3
 
Last edited by a moderator:
JokaKuu,

Tafadhali kuwa mstahamilivu japo kiduchu...najua sindano ya Al Duktuur Mufti Barubaru inauma mno,lakini vumilia ndugu yangu!

Naona Maalim Nguruvi3,katukana mno humu jamvini sasa kachoka na wala hakuna alomwopoa...ati sasa anajifanza yakuwa yeye katuwekea nambari na kwa kuwa sisi twaogopa mambo ya nambari kama anavyodai,basi yeye sasa ati anasuburia "matusi" tu!? Kwi! Kwi!

Wajua humu JF,kuna vituko/vitimbi na vichekesho vingi mno! Dah! Kwi! Kwi!

Najua huyo Nguruvi3,anashadidia mno pale umzongapo Mufti Barubaru,yaani imekua kama vile wewe wapiga ngoma naye huyo Nguruvi3 ndo kageuka mchezaji wako! Dah!

Mie natarajia punde kurejea tena hapa jamvini,takujibu kiduchu baadhi ya bayana zako pamoja na zile za huyo Nguruvi3.

Mag3...tafadhali jongea hapa jamvini. Kuna wakti wewe "ulinilaumu" mie binafsi yakuwa ati "sipendi" kuchangia masuala makubwa ya nchi/Taifa ati kwasababu "sina" uchungu/sijali hizo khabar!?

Sasa mbona wewe Mag3,umekimbia humu!?...au unaona hayo masuala ya ngono za huyo Bwana Kapuya ndo muhimu kuchangia kuliko kuja jamvi hili!?...yaani "naona umeshikilia bango" mpaka umfunge maskini yule "Mzee wa Watu wa Kinyamwezi"!?Dah! Haya bana! Kwi! Kwi!

Ahsantani sana.

..samahani lakini nadhani hata wewe umegeuka kama kikaragosi wa Barubaru.

..hii thread inakwenda ukarusa wa 11 sasa lakini na sioni popote pale mkitetea hoja zenu kwa data, au taarifa zozote zile frm a credible or independent source.

..ndiyo maana wakati mwingine nasema I understand what ur up to.
 
Wataongea tu, hakuna namna.

Kwa sasa tuna serikali mbili, serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Muungano -ambayo kimsingi inahusika na mambo ya Tanganyika na yale ya Muungano. Kama mwenyekiti anasema kuwa Zanzibar haina uwezo wa kuchangia Serikali ya Muungano endapo kutakuwa na serakali tatu, maana yake amekiri kuwa hata sasa hivi Tanganyika ndio inalipa 'bills' zote. Sasa huo unyonyaji aoimba Maalim Seif unatoka wapi?

Na siku zote tumekuwa tunasema hapa, madai ya pasu kwa pasu yasishie kwenye kuepeana nafasi za kazi peke yake, kila upande wa Muungano uwalipe watu wake.

Wasipokuwa makini hii inakula kwao, maana Tanganyika wamechoka kuitwa wakoloni, sasa watadai serikali moja au tatu.
Mimi binafsi Wazanzibari huwa siwaelewi hata kidogo. Ni watu wa kulalamika tu. Ebu tuchukue population ya watu wa Dar es salaam, ni kubwa kuliko Waunguja na Wapemba. Kuna wilaya ambazo ni kubwa kuliko Zanzibar na Pemba. Maliasili zipo za kumwaga Tanganyika. Kwa ufupi hawa watu hawajui kula na kipofu. Ukweli serikali tatu ni mtego wa kuwaengua Wazanzibari. Wapo Wazanzibari ambao wanaishi Tanganyika, na ukimweleza habari ya kuvunja Muungano mnakosana. Hawa wanaelewa faida za muungano. Maalim Seif shida yake madaraka, lakini sio uchumi wa Wanzazibari.
 
..samahani lakini nadhani hata wewe umegeuka kama kikaragosi wa Barubaru.

..hii thread inakwenda ukarusa wa 11 sasa lakini na sioni popote pale mkitetea hoja zenu kwa data, au taarifa zozote zile frm a credible or independent source.

..ndiyo maana wakati mwingine nasema I understand what ur up to.

JokaKuu,

Nimekubali kwa moyo thabit hiyo hishma na wadhifa ulonipa wa kuwa mie ni karagosi wa Mufti Barubaru! Dah!

Nafahamu yakuwa hapo umetumia demokrasia yako/freedom of speech kunena yayo!...nimefurahika!

Hoja au maelekezo yetu huwezi asilan kuyaona maana nakhis tayari una-conclusion zako kichwani!?

Hata hapo unapojaribu kumrubuni huyo GHIBUU,yakuwa ati yakuwa "unakubalina" na hoja zake!?...mimi binafsi najua kwanini umekua mwepesi kusema/kukubali hivyo! Lakini haina neno...

Kumbuka,kama vile ulivyowahi kumwambia Barubaru,yakuwa sisi soote twajuana uzuri mno maana haya malumbano tumeanzia kitambo!?...

Ahsanta sana.
 
gombesugu,

..asante kwa bayana zako hapo juu.

..sasa na mimi nakuacha na nukuu toka kwa Raisi wa Znz Dr.Ali Mohamed Shein.

Kuhusu hilo, Dk Shein anasema: "Jeshi la Wananchi na JKT (Jeshi la Kujenga Taifa) wanatumia mabilioni mangapi, Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia... Sisi (Zanzibar) tunatoa ngapi kakati hizo?"
 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa Wazenji bwana si mnaona wameshaanza kutoa nje? Si ndio walikuwa wanadai serikali tatu hawa kuwa kila watu we na yao wapate kupumua🙂

Unajua akina Mzee Warioba wamewapa serikali yao makusudi ili hii sinema wote tuione mwisho wake...lakini watapewa serikali yao na soon tutafika mahali watu wataulizwa mwataka serikali moja au kuendelea na tatu. Na sisi haturudi tena kwenye mbili...mana huko kwenye mbili tulisha shindwana na hawa jamaa. Itabidi wachague tatu au moja. Kwisha!

Mambo yenyewe wamdedai 'haki sawa kwa wote' kwenda mbele tumesema sawa. Wanataka Equal partnership...haya wee. 'Hakuna kumezana 'sawa wazee. Malipo ya serikali yetu muungano pia hatuna haja kuumizana. Unasikia watu wakidai hapo hatuko sawa...unajiuliza kivipi?

Akina Mzee Warioba na akina Kiwete wasoma alama za nyakati watu hawakukurupuka kumwaga hizi serikali tau kama wwenyewe walivyolilia. Wale waliokuwa hawaelewi fumbo la serikali tatu sasa watakuwa wamepata idea.

I TOLD YOU!! Unakumbuka hii topic??: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...wa-serikali-tatu-post7171659.html#post7171659
 
Wenzako walikuwa Dodoma juzi hawakusema hayo, walichukua posho wakapanda meli.
Tunataka mpate znz yenye neema ili muendelee zaidi ndio maana tunasema susieni bunge la katiba ili mambo yaishe.
Mkija tu mumekubali kila kitu.

Nendenei mkajenge Dubai yenu hakuna wa kuwazuia tena tunawatakiwa heri muwe kama Luxenbourd au Emirate.
Hakuna anayewakatalia hilo, lakini basi onyesheni nia. Siyo kelele na posho.
Kung'ang'ania vyeo na ajira bila kujua zinatengenezwaje ni ukupe.

Miaka 50 mgongoni tumechoka, tuacheni tupumue

Kula 5 Nguruvi3! Hakika hawa jamaa waajabu sana maana kama ni dhamana ya muungano ipo mikononi mwao, maamuzi ni yao wenyewe na sio kukaa kuanza kuilalamikia Tanganyika. Mi naona hawa jamaa ni wazugaji tu kuonyesha Public kuwa hawataki muungano kumbe ni waongooooo!. KAMA WAZANZIBAR WANGEKUWA HAWATAKI KWELI BASI WANGEONYESHA KWA VITENDO na wala hakuna atakayewalazimisha kwa mabavu. wananikera sana hawa jamaa yaani utafikiri DEMU NDANI YA CHUMBA ANAYESINGIZIA ETI CHUMBA KIMEFUNGWA HAWEZI KUTOKA HUKU FUNGUO ANAIONA INANING,INIA MLANGONI. Halafu kuna huyu ustaadhi hapo anayedai ni mchumi, kwa hali yoyote kama hakuna muungano basi kimapato Tanganyika will make a lot, tena tungependa znz iwe kama dubai,doha nk, hii haihitaji elimu kubwa hata Semister ya kwanza inatosha. ZNZ ikiendelea basi hata Tanganyika itaneemeka sana ingawa itatakiwa kuimarisha Doria za boti za Polisi kuzuia wanaojitoa muhanga
 
Wewe uliyo nayo kwanini huweki?

Acha uvivu ahali yangu.

Kwani unashindwa nini kwenda tu hapa Dar es salaam, Sukari house mitaa ya posta. hapo utapata hayo na mengine mengi sana ya kukusaidia kujua ukweli sahihi wa uchumi wenu.

Na pasi na shaka itakuondoa dhana kuwa Znz wanawanyonya.

KLakin katika hiyo stadi iliyowekwa , umepitia jedwali namba 2, na kuona bayana ipo wapi?

Pole sana
 
gombesugu,

..OK, nimekuelewa kuhusu msimamo wako kwambo MOU ni sehemu ya mjadala huu.

..sasa nina maswali yafuatayo:

1. je Znz ina uwezo wa kuchangia masuala ya muungano sawa na Tanganyika?

2.je Znz ina uwezo wa kuchangia MOU na masuala ya muungano sawa na Tanganyika?

..mwisho, kwa msaada niwasilisha ripoti ya Joint Finance Committee ambayo Barubaru aliomba tuiwasilishe.

http://jfc.go.tz/downloads/mapato.pdf

cc Nguruvi3

JokaKuu,

Nimekusoma Mkuu.

Yawezekana labda ni kweli yakuwa kwa sasa SMZ haina uwezo kiuchumi wala raslimali kuchangia huo Muungano wenu uso hati wala uthibitisho!?

Lakini ni muhimu mno pia tujikumbushe na kurejea awali japo kiduchu kihistoria;yaani wakti ule 1964 pale Nyerere na yule Karume walipoamua kutiliana sahihi huo "muungano"!

Tukumbuke yakuwa hiyo 1964,SMZ/Zanzibar ilikua ni nchi yenye akiba njema na uwezo mzuri mno wa kujikimu kiuchumi...na pia wapo baadhi ya Wanataaluma wa uchumi wanathibitisha yakuwa ilikua imara kuliko hata hiyo Tanzania Bara aka Tanganyika!?

Muhimu pia kuzingatia yakuwa penye Muungano wowote,ni dasturi ya kitaaluma/logic kuzingatia vigezo vinginevyo vingi mno na wala tu si uwezo wa senti/kiuchumi,kama vile wewe na Nguruvi3 mnavyojaribu kutuaminisha/kulazimisha hapa jamvini!?

Na wala si lazim au ndo kigezo kikuu,kuchangia nusu kwa nusu kiuchumi/senti kwenye muungano... mbona mifano ipo mingi mno humu duniani kwenye mataifa mbalimbali na makubwa yaloungana!

Takwambia mifano kiduchu tu;European Union,United States of Amerika na hata ile ilokua USSR.

Historia za hiyo miungano yoote hapo yadhihirisha na kuthibitisha yakuwa vigezo vingine kadhaa vilitumika/vinatumika kuridhia na kufanikisha miungano hiyo,mbali na hiyo monetary power/fiscal capability...ambayo hapa jamvini nyinyi ndo malalamiko/manung'uniko yenu makubwa mno!?

Kwa mfano katika ile European Union;kwani twaezafananisha nguvu za kiuchumi/kijeshi au mchango wowote pale Strasbourg baina ya hawa Poland,Estonia,Lithuania,Slovakia...na hawa Uk,Germany,France,The Nerthelands!?

Je kwa mfano huo huo;waeza fananisha mchango wa kiuchumi kwa ile Central government katika ya hawa Texas na California...labda na hawa Connecticut,Nebraska,Hawaii,Detroit!?

Je kwa kutumia mfano/vigezo vile vile;waeza vipi fananisha kwenye ile ilokua USSR,uwezo/mchango wa kiuchumi uliokua ukitolewa na Moldova,uzbekstan,Turmenkhstan....na hawa Belarus,Ukraine,Russia,Geogia!?

Hiyo mifano ya hizo nchi/miungano ina share equal represantation and in a complimentary way almost in every sector/area within EU and/or USA!

Nakhis yakuwa pamoja na majadiliano haya yoote bado pana mangi mno mnajaribu ku-over look!?

Mfano tena kiduchu...je mnazingatia pia ile geopolitic and/or social geography!?

Hayo tu mawili nilotaja kumbuka ni subject kubwa na pana mno...ina-cover vitu kama security,history of the people,potential natural resources on both sides of the union,socio-economic,shared strategic borderline/s.

Nafikiri mwajua kwa yakini yakua hayo mawili tu niloyataja...geopolitic and social geography... pia yaweza kuwa ni vigezo tosha na labda muhimu zaidi kuliko hata hizo khabari za huo uwezo wa kiuchumi...rejea tena mifano nilokutajia hapo juu kiduchu!

Labda Nguruvi3 hapo kwenye huo mfano wangu wa EU,aeza kuleta hoja ya VETO among few "Big Members"!?

Nakubali,lakini pia ikumbukwe yakuwa hata hao Tangayika aka Tanzania Bara,yaani wana zaidi ya hiyo VETO kwenye huo "Muungano"!

Kwa mfano ya mambo ya kuvunja Usalama wa Taifa wa Zanzibar,Amir Jeshi kuwa ni wa JMT,Foreign Affairs,na mangineyo mangi pita kiasi!

Nisingalipenda kwa sasa kwenda kwa undani/kwa kina zaidi kuhusu Articles of the Union na zile so called "supplimentary Articles"... maana mimi na Nguruvi3,tulishawahi kulumbana/kuzungumzia kwa kina majambo hayo kwenye thread fulani humu humu-JF!

Kuhusu hiyo khabar ya MoU...nafikiri hilo suali hata kwa hao wenzenu Waislam wa huko Tanganyika bado halikubaliki hata kiduchu,na hata Serikali inakiri yakuwa hilo jambo ni mojawapo ya very sensitive issues inayojaribu kurekebisha kwa haraka ili kuweka usawa kwa Wananchi wake wa dini zoote na hata waso dini/imani pia!?

Kwa hiyo nakuhakikishia yakuwa hata kama hiyo SMZ/Zanzibar itakua/ingalikua na uwezo kiuchumi...lakini itakua haiingia akilini asilan,ati kuwataka/kuwalazimisha Wazanzibary ambao soote twajua yakuwa population yao ni takriban 100% Waislam,ati "wachangie" shughuli za Makanisa huko mabara/mikoani!? Duh!?

Nimewahi kumsoma ndugu yetu Elungata,humu humu-JF;ameonyesha na kuthibitisha ubadhilifu mkubwa mno ufanyikao ndani ya hiyo MoU/Makanisa,na huku Serikali ikifumbia macho kwa kuogopa ati kuwakera Makasisi/Kanisa!?

...yakuwa hata pia hakuna ukaguzi wowote wa mahisabu ufanzwao kudhibiti/kufuatilia hayo mabilioni ya Serikali/Wananchi wavuja jasho maskini,kama hayo makubaliano ya hiyo MoU yalivyokua/yanavyotaka!?

Hakuna hata statistics zozote zilizopo hadharani au hata kwa CAG,tangia hiyo Serikali/Edward Lowasa kutiliana mkataba/"MoU" ule na Kanisa!?

Makubaliano hayo yanatumika kujenga Hospitals,Vyuo na Makanisa/Mahekalu makubwa mno...ambayo baade Wananchi wa kawaida/wasiojiweza maskini,wanakwenda kutafuta matibabu na kuhujumiwa kwa kulipishwa tiba au masomo kwa bei mbaya mno kuliko hata kwenye sehemu/huduma hizo hizo zitolewazo Serikalini!?

Ndo maana,Wananchi wenye akili na maarifa yao wameanza kuhoji uhalali na hata "faida"/uhalali wa kuwapo kwa hiyo "MoU"!?

Nafikiri itakua nafanza "makosa" kiduchu hapa kama nitazungumza mno/into details hizo khabar ya hiyo MoU!?...lakini imenilazim kujibu kiduchu kutokana na ulivyouliza kwenye hiyo bayana yako ndugu yangu!

Kwa kifupi,itakua ni dhuluma kubwa mno na unafiki wa kitaaluma,kama unatarajia/mnatarajia kama huo Muungano utaendelea kuwapo,khalaf ati SMZ/Wazanzibary waendelee kukulipieni hiyo "MoU" yenu!? Duh!

Hiyo unayodai ni "report" nami pia nimeichungulia kiduchu...lakini Mufti Barubaru anakataa yakuwa hiyo sio report stahiki alokutuma ukalete hapa jamvini!?...kwa kifupi wewe/nyinyi mumeleta "study" tu!?

Ahsanta.
 
gombesugu,

..asante kwa bayana zako hapo juu.

..sasa na mimi nakuacha na nukuu toka kwa Raisi wa Znz Dr.Ali Mohamed Shein.

Kuhusu hilo, Dk Shein anasema: "Jeshi la Wananchi na JKT (Jeshi la Kujenga Taifa) wanatumia mabilioni mangapi, Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia... Sisi (Zanzibar) tunatoa ngapi kakati hizo?"
@JokaKuu , hizo balozi na mambo mengine yote yanalipiwa na Tanganyika.
Utashangaa sana eti wanasema nafasi za ubalozi ziwe sawa. Hawa hawajui gharama wanajua vyeo na ajira baasi. Sheni kasema hilo wazi kama rais sasa wachumi uchwara wanataka tuamini 240 ndizo Tanganyika inazinyonya.

Kuhusu jeshi, hilo halimo katika bajeti ya SMZ tangu mwaka 1964.
Hilo hawalisemi wanachotaka ni misaada sawa sawa.

Tena walikwenda mbali na kuuliza eti kwanini hakuna mkuu wa majeshi aliyewahi kutoka znz, bila aibu wala haya.Hawajui gharama wanajua vyeo tu.

Mwenyekiti wa kamati kasema wao mapato yao bila kuondoa senti tano ni bilioni 240 ambazo zinatosha kuhudumia tume ya Warioba tu. Angalia moto wao wakati wanataka wajumbe wawe sawa, hawajui gharama wanajua nafasi za ajira na vyeo.

Leo wanasema muungano unawanyonya, tumewaambia wasije katika bunge la katiba ili kila kitu kiishe, hawataki.
Nimemsoma GHIBUU, kama walivyo wznz wengi wanataka mamlaka kamili halafu wanataka mkataba na Tanganyika.

Nimewauliza mkata uhusu mambo gani, hakuna jibu.
Hili swali hakuna anayeweza kulijibu kwasababu wanajua mkataba unahusu gharama za ulinzi, ajira, ardhi na soko la watu milioni 40.

Tanganyika haitafaidika na mkataba huo kwasababu kuna nini cha kushirikiana na znz the least to say.
Ndio maana umepiga stop Chumbe

Wanasema Tanganyika inawanyonya, nauliza katika mambo 22 yaliyokuwa ya muungano ni yapi Tanganyika ilifaidika kupitia mgongo wa znz.
Katika yale 15 yaliyoondolewa nani ameathirika zaidi. Tanganyika imepoteza nini kwa kuondoa 15.
Hawana jibu, kelele tu, namba hawataki kabisa kuzisikia.

Mkataba wanaosema ndio ukupe wenyewe kwa lugha laini. Maana yake msituache tubebeni kiaina.

Hawa jamaa muda wa kuwaone haya umekwisha ni kuwapa kavu kavu bila mchuzi.
Kama wanataka mkataba wafanye na Mohamed Dewji au Mengi ambao mapato yao yanalingana nao.

This time around hatutaki kubebana tena, njooni Dodoma na kitu mezani. Kama mna 240 semeni halafu mkae kimya mwenye kitu asema.

Mkija Dodoma mkubali kuwa muungano mnautaka na uwe mwisho wa kelele zenu.

Tumechoka, miaka 48 ya roba la karafuu sasa basi.

Tuacheni tupumue, nendeni mkaijenge znz ya neema. Tunawatakiwa heri sana. Hatuwahitaji mnatuhitaji

Nguruvi3, JJ(cert of std VII, member of village planning committee, ten cell leader)
The public enemy Number 1

gombesugu,

..Znz mlikuwa na uchumi na uwezo gani?

..mngekuwa na uwezo msingepinduliwa na jeshi la "sungusungu."

..tuna taarifa toka East African Currency board ambazo zinaonyesha kwamba uchumi wenu ulikuwa siyo imara.

..hakuna mtu ana hamu na hizi tambo zenu. Muungano huu bora uvunjwe tu takutane kwenye EAC.
 
Hawataki wanataka mkataba!! Wanataka wajumbe wengi tume ya Warioba na Bunge Dodoma. Hataki kura ya maoni. Hawataki kuvunja wanataka mkataba sijui wa mambo gani.

Hebu tuulize mkataba mnaotaka ni wa kitu gani?
 
Nguruvi3
,

punguza zogo jamvini japo kiduchu...kwani vipi msimamo wa Chadema kuhusu stakabali ya "Muungano"!?

....Teh! Teh!
Ahsanta.
 
gombesugu,

..Znz mlikuwa na uchumi na uwezo gani?

..mngekuwa na uwezo msingepinduliwa na jeshi la "sungusungu."

..tuna taarifa toka East African Currency board ambazo zinaonyesha kwamba uchumi wenu ulikuwa siyo imara.

..hakuna mtu ana hamu na hizi tambo zenu. Muungano huu bora uvunjwe tu takutane kwenye EAC.

JokaKuu
,

Naona masuali yako yanamfurahisha mno kijana wako Maalim Nguruvi3,sio!? Kwi! Kwi!

Hizo anga za kupinduliwa na "sungusungu"...mie siziwezi. Lakini takuitia Sheikh Mohamed Said aje akuweke sawa kwayo,je ubavu unao!? Kwi! Kwi!

But,in a serious note,JokaKuu...nakuaga kwa sasa,nitajitahidi tuzungumze tena labda kesho nikipata wasaa/fursa,na pia tajaribu kujibu bayana yako japo kiduchu.

Wajua leo Wifey/shemejio katamani supu ya "Kizinjibary"...kwa hiyo ndo nenda mtengenezea,maana nalimpa ahadi takriban week sasa!

Salaam,Mag3...mwambie tunasikia kakatiwa 100milioni na Nabii wa Tengeru,ili ammalize Kapuya!? Dah! Teh! Teh!

Ahsanta sana.
 
Back
Top Bottom